kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Wanajifanya tu mkuuMzee mwenyewe ina maana hawa watu hawajawahi kusikia mahali popote kuwa MUNGU yupo?
Wanajifanya tu mkuuMzee mwenyewe ina maana hawa watu hawajawahi kusikia mahali popote kuwa MUNGU yupo?
Hapana sio atheist kwakuwa hana utashi wa kutambua na kuchagua upandeMuite non-believers au atheist kikubwa ni kwamba jamaa haamini katika uwepo wa Mungu.
Pia nikuulize swali kwa tafsiri yako mtoto mchanga ambaye bado tabula rasa ni atheist?
Nice one!Atheist definition: 1. someone who does not believe in any God or gods: 2. not believing in any God or gods, or relating to such beliefs, while non believer is a person who lacks belief or faith, as in God, a religion, an idea, or an undertaking.
Ushajiuliza kwamba atheist pia hawezi kuchagua upande wa Mungu maana hajui chochote kuhusu yeye.Hapana sio atheist kwakuwa hana utashi wa kutambua na kuchagua upande
Kinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.
Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)
Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.
Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.
Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.
Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.
Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?
Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Mkuu mfahamishe kiranga afahamu sio vinginevyoKinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.
Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)
Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.
Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.
Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.
Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.
Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?
Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Trust me huyo jamaa atakuja kutoa ushahidi wa kumtambua Mungu siku si nyingiKiranga ukitaka kumuuluza kama uchawi upo,atakwambia ufafanue zaidi kuhusu uchawi unao uzungumzia,Mara atasema mambo ya titration za chemistry binafsi Mimi naona kiranga anamsimamo mkali sana nahii imetokana na uwezo wake mkubwa sana wa kielemu kuhusu hizi dini za duniani
Kama jina lake... Kule Tanga tunaita KIANGA!Atakuja hapa na kasi ya 6G Mara "unakubali Mungu ni muweza wa yote ,ujuzi wa vyote,upendo wa yote kama Mungu yupo asingekubali watoto wachanga wafe"
Bhasi tu kututoa kwenye reli tuamini kile anachoamini..ila huyu kiranga itakuwa ana kiranga sana
Yetooni kharikaKama jina lake... Kule Tanga tunaita KIANGA!
Kama yupo nitajieSio kweli
kiranga alianza kujua maadiko ya kidini baadae tena akanza kuchimbua maandiko yanayo mpinga MunguAtafurahi Kweli akisoma hii compliment