Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

Hawa jamaa ni waongo wakubwa ukiwafuata huishi dunia hii hata wao karibia vyote wanavyojinadi ni vibaya wanagonga

1. Wanajifanya hawanywi cocacola lakini wanagonga mitaani kama kawa

2. Wanajifanya hawanywi chai ya majani ya chai ama kahawa na badala yake eti wanajanani gani dizain ambayo hayawezi kufanya kazi ya chai lakini wanazigonga tii kama kawa

3. Wanajifanya eti mdudu ni haramu lakini wanamgonga kimya kimya

4.Siku hizi wamekuwa ni waganga wa kienyeji na wanaibia watu wenye magonjwa sugu kwa kitu wanachokiita "SANITARIUM CLINIC" tena eti wana compyuta ambayo ukishika inatbaini magonjwa yoote mwilini. Utapeli mtupu wametajirika lakini watu wanaendelea kuteseka na magojwa yao
Nafikiri hii kitu hujaifuatilia vizuri. Possibly umesikia story za mtaani tu alafu na wewe ukachukulia juu juu tu Bila kutoka kuufahamu ukweli wote. Nakushauri ufuatilie mwenyewe kwa nia ya kutaka kufahamu ukweli. Ila ikiwa lengo lako sio kutafuta ukweli basi achana na hiyo kitu kabisa na usizungumzie kitu usichokifahamu. Kumbuka Kwa manno yako utahesabiwa haki au kuhukumiwa.
 
Kila kilichotqmkwa na Mungu its Truth kama tu Imeandikwa hiyo chagua. Fact may even be scientific proof hizo kama hazipingani na Ukweli chukua
Kwataarifa yako hakuna kitu Mungu amekataza...

Jua historia ya wakati kitabu husika cha biblia kimeandikwa, tamaduni, mazingira na hali....Makatazo mengine yaliwekwa ili kurahisisha mambo fulani fualani
 
Nafikiri hii kitu hujaifuatilia vizuri. Possibly umesikia story za mtaani tu alafu na wewe ukachukulia juu juu tu Bila kutoka kuufahamu ukweli wote. Nakushauri ufuatilie mwenyewe kwa nia ya kutaka kufahamu ukweli. Ila ikiwa lengo lako sio kutafuta ukweli basi achana na hiyo kitu kabisa na usizungumzie kitu usichokifahamu. Kumbuka Kwa manno yako utahesabiwa haki au kuhukumiwa.
Nawajua in and out huo utapeli wanaofanya ni wa kweli na ni wazi kabisa
 
Kwataarifa yako hakuna kitu Mungu amekataza...

Jua historia ya wakati kitabu husika cha biblia kimeandikwa, tamaduni, mazingira na hali....Makatazo mengine yaliwekwa ili kurahisisha mambo fulani fualani
Kama "HAKUNA KITU MUNGU AMEKATAZA" Je ukilawitiwa yote sawa tu au unamaanisha nini?
 
Hivi nyinyi Wasabato aliyewaambia kuwa kuna vyakula Mungu kakataza ni nani .??? Au mnasoma biblia kama gazeti.. ??
Mi najua ukiuulizwa saaana kuna mambo utayakataa hata wewe. Kwa akili yako kila kitu ni sawa maadam akili yako inakubali tu ? Leo watu wakiwa wanauawa na kuliwa na wenye nguvu na ikafika uliwe wewe hilo utaliwekaje
 
Mi najua ukiuulizwa saaana kuna mambo utayakataa hata wewe.
Mambo kama yapi...??? Nikiulizwa na nani .???

Kwa akili yako kila kitu ni sawa maadam akili yako inakubali tu ?
Nimeshakueleza mada inaongelea vyakula....Jua pia ulaji wa vyakula unaathiriwa na tamaduni za mahalia..

Leo watu wakiwa wanauawa na kuliwa na wenye nguvu na ikafika uliwe wewe hilo utaliwekaje
Kwanini wauawe...??? Hebu jikite kwenye munakasha mzee....unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu..
 
Nazungumzia vyakula mzee....mada inazungumzia vyakula...
Sasa hili neno unalifasiri vipi?

Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.

1 Wakorintho 10:23
 
Sasa hili neno unalifasiri vipi?

Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.

1 Wakorintho 10:23
Nafikiri kabla ya kuniuliza ilo swali kwenye hilo fungu ulilo-quote..ungejisumbua kusoma angalau mistari miwili au mitatu kwa mbele uone St. Paul alikuwa anawapa ujumbe gani kanisa la Korinto...

Pitia hapa
1 Wakorintho 10:25,27
25 Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri;

27 Na mtu asiyeamini akiwaalika, nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri.
 
Mambo kama yapi...??? Nikiulizwa na nani .???

Nimeshakueleza mada inaongelea vyakula....Jua pia ulaji wa vyakula unaathiriwa na tamaduni za mahalia..

Kwanini wauawe...??? Hebu jikite kwenye munakasha mzee....unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu..
Ok. Nimekuelewa . Sasa nikuulize Utamaduni ulioingia wa wanaume kuoana, je kwako utaukataa maana wewe si wako . Je kijana wako wa Kiume akimaliza tu chuo akaleta mchumba amtolee mahari wewe utatoka na bakora au mkeka ili mzungumze?
 
Wewe una chuki binafsi na sisi wasabato,kesho kamsikilize na mwingine utapata mafundisho ya kukujenga
 
Nafikiri kabla ya kuniuliza ilo swali kwenye hilo fungu ulilo-quote..ungejisumbua kusoma angalau mistari miwili au mitatu kwa mbele uone St. Paul alikuwa anawapa ujumbe gani kanisa la Korinto...

Pitia hapa
1 Wakorintho 10:25,27
25 Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri;

27 Na mtu asiyeamini akiwaalika, nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri.
Wewe katika f(25,27) uko kundi lipi anayeambiwa ASIHOJI, au ASIYEAMINI?
 
Wewe katika f(25,27) uko kundi lipi anayeambiwa ASIHOJI, au ASIYEAMINI?

Hili tatizo kubwa mno....Laiti ungelielewa Hiyo Epistle Paul aliandika akiwa na lengo la kutatua tatizo gani kwa wakristo wa Korinto wala usingeuliza maswali ya kipuuzi namna hii..
 
Back
Top Bottom