Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,168
- 28,819
Wewe ni Msabato bila shaka.....Sasa kama Msabato uliyeiva mwagika hapa...Tunaomba ufafanuzi wakoAtafute biblia au amtafute msabato alie karibu yake amfafanulie kwa mapana zaidi
Wewe ni Msabato bila shaka.....Sasa kama Msabato uliyeiva mwagika hapa...Tunaomba ufafanuzi wakoAtafute biblia au amtafute msabato alie karibu yake amfafanulie kwa mapana zaidi
Hatupishani sana lile neno lako la kwanzq la " Hakuna kilichokatazwa na Mungu" lilikuwa general. Kama issue ni chakula jaribu kujihoji hivi.Mkuu, sijajua tunapishana wapi.... Nimekueleza hapa tunaongelea vyakula..... Au Auoana ni vyakula...? Mbona Mimejieleza hapa
Sina muda huo mkuu maana hiyo mada siyo fupi kama unavyofikiria!Wewe ni Msabato bila shaka.....Sasa kama Msabato uliyeiva mwagika hapa...Tunaomba ufafanuzi wako
Chakula anachokula binadamu kina tokana na nini..??Hivi biblia inaposema chakula inamaanisha hata kinyesi cha Paka, au nyama za
Issue ya Paulo ilikuwa kuwafikia Wakorintho walipo. Ndio maana asema hiviHili tatizo kubwa mno....Laiti ungelielewa Hiyo Epistle Paul aliandika akiwa na lengo la kutatua tatizo gani kwa wakristo wa Korinto wala usingeuliza maswali ya kipuuzi namna hii..
Umejibu vyema sana...Sina muda huo mkuu maana hiyo mada siyo fupi kama unavyofikiria!
Anyway ya wasabato waachie wasabato na ya dini zingine pia waachie wenyewe
Bado hujajua lengo la Paulo kuwaandikia Wakorinto baria hiyo ya kwanzaIssue ya Paulo ilikuwa kuwafikia Wakorintho walipo. Ndio maana asema hivi
Hapa umesema vizuri Rafiki tena saana . Sasa kipimo chako cha sumu ni kipi? Ni ile ukila unaanguka na kufa au ile sumu itachukua muda kukudhuru au daktari akithibitisha. Kama hapo unapata mkanganyiko rejea biblia Mungu si dhalimu au ana upendeleo kuwa awape hawa wale halafu kitu hicho hicho awanyime wengine.Chakula anachokula binadamu kina tokana na nini..??
Mimea....je ni mimea gani..? Inafaa kuliwa..? Haina madhara ktk mwili kama sumu...? Kama haina madhara kula..
Wanyama...je! Ni wanayama gani..? Nyama yao inamadhara...? Inasumu...?kama haina we kula..
Sijajua kwanini umemuweka binadamu hapo
Quote na ile mistari alivyosema paulo RafikiBado hujajua lengo la Paulo kuwaandikia Wakorinto baria hiyo ya kwanza
Wewe unajifanya kipofu bure au sijui ndo kujipagawisha hukoo? Umesoma wapi kuwa hao walimzidi umri Yesu. Nani aliyesema kuwa ikisemwa brother maana yake ni mkubwa wa mtu? Unataka kulazimisha wakina yakobo wawe wakubwa kuzaliwa hapa dunia ni kuliko Yesu ili itetee ajenda yako kuwa Maria alikuwa bikira mpaka anakufa? Mistari yote niliyokuletea kutoka kwenye maandiko hayajasema kuwa hao ni seniors kwa Yesu. Soma tena ukajitoe kutokujua na kulishwa uongo. Ninyi watu maandiko yako wazi halafu mnatisha watu na maandiko yasiyokuwepo. Acheni uongo.Ndugu auferet dominus naomba fuatana nami kwa umakini ili siku nyingine Usipotoshwe/Kupotosha kwenye hili
Nitaanza na reference zako toka biblia;
1. Matt 12:46 "Yesu alikuwa bado anasema na umati wa watu wakati mama yake na ndugu walipofika kusimama nje" Hapa bado biblia haijaonesha kuwa Maria mama yake Yesu alizaa baada ya Yesu,kwani ndugu zake Yesu wanaweza kuwa ni watoto wa baba au mama mkubwa/mdogo ndugu wa ukoo au Wale Waliolishika na Kulifuata neno Baba yake(Mungu),(kumbuka hata yeye mwenyewe Yesu alishawahilisema hilo sina kumbukumbu nzuri ya mstari ningeweka).
2.Matt 13:55 "Je,huyu si yule mwana wa seremala?Je, mama yake si anaitwa Maria na KAKA zake si kina Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda? Kwa tafsiri yako bwana auferet dominus..,Maria Alishazaa Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda kabla ya kumzaa Yesu..!!!!
Narudi palepale ndugu zake Yesu wanaweza kuwa watoto wa mama mkubwa/mdogo au baba mkubwa/mdogo au wale waliolishika na kulifuata neno la Baba yake(Mungu).
Ukitaka kulazimisha ya kuwa Yakobo, Yosefu, Simon na Yuda kuwa ni kaka zake wa kuzaliwa na Bikira Maria mama wa Yesu, utakuwa unapingana na andiko hili;
Luka 1:26-45(Naomba hapa nichukue mistari michache ila kwa kukusaidia soma yote kama nilivyoweka hiyo mistari)
26 " Mnamo mwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya"
27 "Kwa msichana bikira aitwaye Maria mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosefu,wa ukoo wa Daudi..,ndugu auferet dominus utaona hapa "Msichana Bikira Aitwaye Maria" hilo ni la kwanza,mtu bikira ni mtu ambaye hajazaa..!!la pili kina Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda ni Kaka ndani ya Ukoo wa Daudi na si Kaka wa kuzaliwa na Maria mama wa Yesu...!!!!
34 "Maria akamjibu Yatawezekanaje hayo,hali mimi ni Bikira?Ndugu hapa biblia inazidi kusisitiza kuwa Maria mama wa Yesu alikuwa bikira kabla na baada ya kumzaa Yesu...,ukisema Maria alikuja kuwazaa Yakobo, Yosefu,Simon na Yuda baadae,nitakuuliza ilikuaje pale kwenye Matt 13:55 wawajue Seremala,Maria na wadogo zake yani Yakobo,Yosefu, Simon na Yuda wasimjue kaka yao yani Yesu...?????
Naomba niishie hapa ili nisikuchoshe na natumai utakuwa umepata mwanga kidogo kwenye hili la Maria mama wa Yesu kuwa bikira kabla na baada ya kumzaa Yesu, huu ni upotoshaji mkubwa umekuwa ukifanywa na vikundi mbalimbali,nafikiri kwa kutokusoma vizuri biblia au kwa makusudi.
Asante.
Sumu ni sumu tuu...iwe ya short term au long...Kama ikithibitishwa au baada ya kula ukapata madhara ya moja kwa moja..hakuna mjadala ni kusitisha kula hicho chakula....Sasa kipimo chako cha sumu ni kipi? Ni ile ukila unaanguka na kufa au ile sumu itachukua muda kukudhuru au daktari akithibitisha
Nimepata muda wa kufuatilia mahubiri ya maisha hatimaye yanayorushwa mubashara kutoka Mbeya Tanzania. Nimejiuliza mnataka tufanye nini ikiwa mafundisho yenu yana msigano unaochanganya watu.
Mmoja wenu amekuwa akifundisha kitu kinachoitwa ujasiriamali. Moja ya mafundisho ni ufugaji wa ng'ombe wa nyama na maziwa, pamoja na kuku wa mayai. Maana yake ni kwamba, watu wanahitaji mayai, maziwa na nyama.
Leo namsikia mhubiri akisema ogopa sana mayai! Mafuta ambayo hata kwenye maziwa yamo mengi sana! Pia akaenda zaidi kusema ogopa hasa nyama nyekundu. Nguruwe ni haramu lakini ni kati ya wanyama wenye nyama nyeupe!
Sasa tufanye nini! Tufuge kuku wa mayai kwa ajili ya kuuzia wengine huku sisi tukiyakwepa ama tuache kwa vile mayai ni hatari kama ulivyosema?
Unaweza ukatupa tarehe ya kuzaliwa hao kina Yakobo uliowapachikia ubini na Yesu. ?Unataka kulazimisha wakina yakobo wawe wakubwa kuzaliwa hapa dunia ni kuliko Yesu ili itetee ajenda yako kuwa Maria alikuwa
Ndio, ni mimi. Ushatupa yale masanamu yako ya bikira na misalaba na marozari? Hivi mirozari mmefundishwa kwenye kitabu gani? Wajua wenye kutembea na misalaba na milozali na visanamu ni waoga wa mavampaya. Eti ukiona vampaya we lionyeshe tu msalaba litakimbia kaburini. Muvi zitawauweni nyie. Don’t be such superstitious people. Trust in Jesus and all your worries will be settled. Sio some tell tale maria unaefikiri anakuombea. She is dead!Wewe..!!!!?
Shout ma name! Louder!!Ukishangaa ya Kitaja utayaona ya auferet dominus kaka..!!!!
Bwege wee huna uwezo wa kuelewa hata vitu virahisi. Toka hapa!!Unaweza ukatupa tarehe ya kuzaliwa hao kina Yakobo uliowapachikia ubini na Yesu. ?
Usishabikie bali unatakiwa usikitike na kumuombea,mada iliyoko mezani ni vyakula hayo mengine yanatoka wapi..???Akikujibu niite
Akikujibu niite