Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

Wewe unajifanya kipofu bure au sijui ndo kujipagawisha hukoo? Umesoma wapi kuwa hao walimzidi umri Yesu. Nani aliyesema kuwa ikisemwa brother maana yake ni mkubwa wa mtu? Unataka kulazimisha wakina yakobo wawe wakubwa kuzaliwa hapa dunia ni kuliko Yesu ili itetee ajenda yako kuwa Maria alikuwa bikira mpaka anakufa? Mistari yote niliyokuletea kutoka kwenye maandiko hayajasema kuwa hao ni seniors kwa Yesu. Soma tena ukajitoe kutokujua na kulishwa uongo. Ninyi watu maandiko yako wazi halafu mnatisha watu na maandiko yasiyokuwepo. Acheni uongo.
Duh..!!!

U should read between lines bro..!!!

Nimekuambia kama ni Wadogo basi tafsiri yako itakwenda kupingana na Matt 13:55 yani wale Wayahudi waliwafahamu wadogo zake Yesu yani Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda kabla kaka yao yani Yesu..???
Sijui kama umenielewa lkn..???

Naomba ninukulu Mathayo 13:55
"Je, huyu ni yule mwana wa seremala?Je, mama yake si anaitwa Maria,na kaka zake ni kina Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda?

Hizo reference zako zote hazijaonesha kuwa Yesu alikuwa na ndugu zake wa kuzaliwa na Maria,sijajua wewe unasomaje biblia..???

Kwa kukuongezea maarifa nimekupa Luka 1:30-35 uendelee kujifunza zaidi ili usiendelee kupotoshwa.
 
Nguruwe ni nyama nyeupe wale wasio na Imani hawawezikula, ifikapo 2020 nyama nyekudu itahadimika saizi kilo moja 7000 kwaiyi itapanda zaid
 
Mababu zetu walikuwa wanakula kila kitu na wameishi miaka mingi sana.

Miaka hii kumekuja watalaamu kila kona na umri wa kuishi umepungua.

Mafundisho yenyewe ni mchanganyo tupu kila mtu anasema lake.
 
WASABATO NI SAWA NA KIKUNDI CHA KIGAIDI KINACHOCHAFUA UKRISTO, SAWA NA YALE MAKUNDI MENGINE YANAYOCHAFUA UISLAMU.......Wasabato wana Akili Finyu sana!
 
Walishachanganyikiwa kitambo hao, wewe endelea kuwafuatilia shauri yako utakuwa km wao.
Hata nuhu aliambiwa hivyo hivyo. Matokeo wakaokoka 8. Na Yesu ameahidi hakika atarudi.na yeye ni mwaminifu Wa kwanza. Mungu haangalii wingi. Barikiwa
 
Duh..!!!

U should read between lines bro..!!!

Nimekuambia kama ni Wadogo basi tafsiri yako itakwenda kupingana na Matt 13:55 yani wale Wayahudi waliwafahamu wadogo zake Yesu yani Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda kabla kaka yao yani Yesu..???
Sijui kama umenielewa lkn..???

Naomba ninukulu Mathayo 13:55
"Je, huyu ni yule mwana wa seremala?Je, mama yake si anaitwa Maria,na kaka zake ni kina Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda?

Hizo reference zako zote hazijaonesha kuwa Yesu alikuwa na ndugu zake wa kuzaliwa na Maria,sijajua wewe unasomaje biblia..???

Kwa kukuongezea maarifa nimekupa Luka 1:30-35 uendelee kujifunza zaidi ili usiendelee kupotoshwa.
Biblia niliyosoma imeandikwa hivi katika Mathayo 13:55

55 Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?

Sasa nionyeshe hapo panapoonyesha kuwa Yesu alikuwa mdogo kuliko hao “ndugu” zake. Hebu tafsiri hiyo luka 1:30-35 tukusome ee mchambuzi mahiri wa biblia maana nikikuambia kilichomo utasema naleta za kwenye makambi
 
WASABATO NI SAWA NA KIKUNDI CHA KIGAIDI KINACHOCHAFUA UKRISTO, SAWA NA YALE MAKUNDI MENGINE YANAYOCHAFUA UISLAMU.......Wasabato wana Akili Finyu sana!
Wewe ni Freemason wa order ya ngapi maana wenzako wanaficha kabisa ushetani mwingi walionao. Mason hawezi kuwa mjinga namna yako. Wao ni wajanja kama alivyo lucifer mshindwa.
Ukristo umechafuliwa na baba yako lucifer anayetumia falme zenye nguvu. Imekuwa hivyo kwa miaka mingi na hivi sasa anautumia rumi. Kuwa usome uyafahamu. Idiot
 
Biblia niliyosoma imeandikwa hivi katika Mathayo 13:55

55 Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?

Sasa nionyeshe hapo panapoonyesha kuwa Yesu alikuwa mdogo kuliko hao “ndugu” zake. Hebu tafsiri hiyo luka 1:30-35 tukusome ee mchambuzi mahiri wa biblia maana nikikuambia kilichomo utasema naleta za kwenye makambi

Sawa..,

Matt 13:55
Huyu si mwana wa seremala?wanao ulizana ni wenyeji(Wayahudi),Mamaye si yeye aitwaye Maria?wanaendelea kuulizana, Na nduguze si Yakobo na Yosefu na Simon na Yuda?wanazidi kuulizana na kupeana hbr full stop

Swali:Ilikuaje wale wenyeji(Wayahudi) wawajue Yakobo na Yosefu na Simon na Yuda ambao kwa tafsiri yako ni wadogo zake Yesu wa kuzaliwa waache kumjua Kaka yao(Yesu)....???????
Kupitia andiko hili Matt 13:55 inaonekana Yesu alikuwa mgeni machoni mwao mpaka wakaanza ulizana.Ukiangalia kwa makini utaona hao Yakobo na Yosefu na Simon na Yuda walikuwepo kabla ya Yesu na ndio maana walijulikana wenyeji(Wayahudi)zaidi ya Yesu.

Ukilala kwenye hiyo tafsiri utapingana na Luka 1:26-45,nimekwenda mbali nikakuambia ktk reference zako toka biblia hazioneshi kuwa Maria aliendelea kuzaa baada ya Yesu au kabla ya Yesu.

Ndugu wanaweza kuwa kutoka Ukoo wa Daudi au Watoto baba/mama mdogo/mkubwa kwani Yosefu mchumba wake bikira Maria alikuwa na ndugu zake na Bikira Maria toka Ukoo wa Daudi alikuwa na ndugu zake pia.., ambao Yesu angewaita Baba mdogo/mkubwa au mama mdogo/mkubwa na watoto wao Yesu atawaita Kaka/Dada

Ndugu jipe utulivu mzuri wkt unasoma biblia la sivyo utaona kama biblia inajipinga yenyewe,hata huyo anayekuambia kuwa Yesu alikuwa na ndugu toka kwa Maria mamaye muulize swali hilo uone jibu atakalokupa.

Asante.
 
what impresses me this time is you have come very civilized. I commend you for that and you just made a very fine point here my friend.
Sasa turudi kwenye communication techniques sir. ni hivi tuchukulie kuna kitu kinatokea mbele yako na kinavyotokea huamini kwamba kinatokea hivyo kinavyotokea. kwa mfano unakutana na mtu unayemfahamu siku zote kuwa ni mwanakandanda mahiri say lionel messi. sasa unamsikia anavyoshuka nondo za gaenecological medicine kwa ufasaha mkubwa yani anashuka nondo akieleza matibabu Fulani ya magonjwa ya wanawake kwa ufasaha mkubwa. au unakutana na mbongo flavor Fulani unamsikia akimwaga nondo za nuclear physics na hapo umesimama na mtu mnayekuwa naye mara nyingi mahali pamoja kwa mfano mke wako au ndugu zako ambao nao wanafahamu vizuri tu kuhusu watu hao niliokutajia wakifanya hayo ambayo hawategemewi kuwa na uwezo wa kuyafanya.
hapo ndipo unapouliza kuverify kama haumo kwenye ndoto ya hicho unachokiona. unauliza jamani huyu sio yule mkali wa barca mbona anajua udaktari namna hiyo. au jamani huyu si ni yule rapper wa Kiswahili hivi kapata wapi ujuzi wa mabomu ya north korea. unashangaa kupita maelezo.

kumbuka wasomi wa dini wa wakati huo walikuwa ni makuhani, mafarisayo na masadukayo hao walikuwa wanajua dini yote ya kiyahudi kuliko wengine wote. now anakuja huyu anayefahamika kuwa alizaliwa kwenye nyumba ya yusufu na kuweka kumbukumbu zao vizuri wanaambiana si ni yule ambaye ndugu zake ni wakina yakobo. hapa wanatafuta confirmation ya hicho wanachokiona kwa sababu hawaamini kuwa Yesu alikuwa na uwezo ule wa kunena neno la Mungu liliwapita wasomi, makuhani na mafarisayo. hekima yake ilikuwa kubwa ndipo kutaka kujua kama walichokuwa wakikiona na kukisikia kilikuwa kweli.

Ukiangalia kwa makini utaona hao Yakobo na Yosefu na Simon na Yuda walikuwepo kabla ya Yesu na ndio maana walijulikana wenyeji(Wayahudi)zaidi ya Yesu.
sasa hapa ndipo pa ajabu Zaidi. hao watu walijuaje kuwa akina Yakobo na Yesu wana undugu mpaka waulize kuwa huyu sie ndugu yake wakina yakobo. inference hapa ni kuwa watu hao walikuwa wanafahamu ile familia yote iliyowachanganya Yesu na wakina Yakobo. na kama nilivyosema hapo juu watu hawa hawakuwa wanauliza kitu wasichokifahamu bali walikuwa wakitaka kupata uthibitisho wa kile walichokuwa wakikisikia na kukiona.

Luka 1:26-45 sioni kingine Zaidi ya Mariamu kutangaziwa namna atakavyokuwa mama wa Yesu. lakini mafungu hayo hayasemi maria alikoma kuzaa baada ya kupata mbaraka wa kumzaa Yesu. labda uniambie tena hapa kuna nini cha Zaidi nisichokiona mie mpofu.
 
Japo Topic haizungumzii Ubikira wa Maria ila ngoja na mimi nitoe maoni yangu kidogo:
Kwanza neno Ndugu ni jumuishi( wale wote wa ukoo wako ni ndugu zako) kwahiyo Dada, Kaka,Mjomba,Shangazi,Binamu na kadhalika wote ni ndugu. Hivyo basi chukulia umetokea msiba wa Bwana John na MC atangaze" ndugu zake marehemu waje kutoa neno" Je tutategemea watu gani wajitokeze?.
Pili biblia hajaelezea familia ya Yesu kwamba ilikuwa ya watu zaidi ya 3 yaaani Maria, Yosefu na Yesu inaonesha mwanzo mwisho walikuwa wakiisha watu watatu tu mpaka Yesu anaanza kuhubiri. Labda kuna baadhi ya vifungu tujaribu kuviangalia kwa kina tuone hawa ndugu ni wadogo zake Yesu au la?
Ukianza na Mathayo 2:21, Utagundua familia inatoka mafichoni Misri ikiwa ni ya Watu 3 tu na pia ongeza Luka 2:42-52, Hapa utaona Mtoto Yesu akiwa na miaka 12 lakini bado hana mdogo wake Bali anatembea yeye, mama, baba, na jamaa(Ndugu soma msitari wa 44).
Kwa Ayo machache tuna hakika pasipo shaka kuwa Yesu mpaka anafikisha miaka 12 hakuwa na Mdogo wake au Kaka yake aliyezaliwa na Mama yake.
Tujiulize labda Maria alizaa watoto wengine baada ya Yesu kuzidi iyo miaka 12? Tuone haya maandiko:

Ufunuo 12:5-6. (5 Naye akazaa mtoto mwanaume, yeye atakayewachunga mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Na mtoto wake akanyakuliwa hata hata kwa mungu...........! 6: Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambapo anamahali palipotengenezwa na mungu,............!). Haya maono ya Yohane yanaonesha huyo mwanamke anazaa mtoto mmoja mwanaume ana baada ya huyo mtoto kunyakuliwa( kupalizwa) na yeye huyo mwanamke anaifadhiwa nyikani palipoandaliwa na Mungu, hivyo basi kwenye maono haioneshi huyo mwanamke akizaa watoto wengine. Labda Tuangalie tena hapohapo mstari wa 17. Inaonekana yule Joka baada ya kumshindwa yule mwanamke anarudi kupambana na Wazao wake waliosalia wale wenyeshuhuda juu ya Yesu kristo. Ukiangalia hapo utaona mwandishi wanafunzi wake Yesu wote( ambao ndo wenye Shuhuda juu Yesu kristo) akiwaita Uzao wa Maria maana hata Yesu aliwaita ndugu zake.
Kwa hayo machache nawasilisha!

Nimepata muda wa kufuatilia mahubiri ya maisha hatimaye yanayorushwa mubashara kutoka Mbeya Tanzania. Nimejiuliza mnataka tufanye nini ikiwa mafundisho yenu yana msigano unaochanganya watu.

Mmoja wenu amekuwa akifundisha kitu kinachoitwa ujasiriamali. Moja ya mafundisho ni ufugaji wa ng'ombe wa nyama na maziwa, pamoja na kuku wa mayai. Maana yake ni kwamba, watu wanahitaji mayai, maziwa na nyama.

Leo namsikia mhubiri akisema ogopa sana mayai! Mafuta ambayo hata kwenye maziwa yamo mengi sana! Pia akaenda zaidi kusema ogopa hasa nyama nyekundu. Nguruwe ni haramu lakini ni kati ya wanyama wenye nyama nyeupe!

Sasa tufanye nini! Tufuge kuku wa mayai kwa ajili ya kuuzia wengine huku sisi tukiyakwepa ama tuache kwa vile mayai ni hatari kama ulivyosema?
Umeuliza swali nzuri sana Ndugu . Tunapaswa kula nyama hasa ambayo umeandaliwa vizuri. Nyama nyekundu ni hatari sana kwa maisha ya mwanadamu hii nadhani hata madaktari wqnashauri. Kama utaweza kuacha kula nyama nyekundu ni Bora zaidi lakini kama huwezi kuacha basi ule kidogo sana na hasa kwa wanyama uliyowafuga mwenyewe kwa kuzingatia utalaamu. Kuhusu mayai ni vyema mtu ukala mayai hasa wa kuku wa kienyeji uliyofuga mwenyewe mayai ya kuku wa kizungu siyo Bora kabisa kwa afya ya mwanadamu kutokana na madawa yenye kemikali nyingi
 
Japo Topic haizungumzii Ubikira wa Maria ila ngoja na mimi nitoe maoni yangu kidogo:
Kwanza neno Ndugu ni jumuishi( wale wote wa ukoo wako ni ndugu zako) kwahiyo Dada, Kaka,Mjomba,Shangazi,Binamu na kadhalika wote ni ndugu. Hivyo basi chukulia umetokea msiba wa Bwana John na MC atangaze" ndugu zake marehemu waje kutoa neno" Je tutategemea watu gani wajitokeze?.
Pili biblia hajaelezea familia ya Yesu kwamba ilikuwa ya watu zaidi ya 3 yaaani Maria, Yosefu na Yesu inaonesha mwanzo mwisho walikuwa wakiisha watu watatu tu mpaka Yesu anaanza kuhubiri. Labda kuna baadhi ya vifungu tujaribu kuviangalia kwa kina tuone hawa ndugu ni wadogo zake Yesu au la?
Ukianza na Mathayo 2:21, Utagundua familia inatoka mafichoni Misri ikiwa ni ya Watu 3 tu na pia ongeza Luka 2:42-52, Hapa utaona Mtoto Yesu akiwa na miaka 12 lakini bado hana mdogo wake Bali anatembea yeye, mama, baba, na jamaa(Ndugu soma msitari wa 44).
Kwa Ayo machache tuna hakika pasipo shaka kuwa Yesu mpaka anafikisha miaka 12 hakuwa na Mdogo wake au Kaka yake aliyezaliwa na Mama yake.
Tujiulize labda Maria alizaa watoto wengine baada ya Yesu kuzidi iyo miaka 12? Tuone haya maandiko:

Ufunuo 12:5-6. (5 Naye akazaa mtoto mwanaume, yeye atakayewachunga mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Na mtoto wake akanyakuliwa hata hata kwa mungu...........! 6: Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambapo anamahali palipotengenezwa na mungu,............!). Haya maono ya Yohane yanaonesha huyo mwanamke anazaa mtoto mmoja mwanaume ana baada ya huyo mtoto kunyakuliwa( kupalizwa) na yeye huyo mwanamke anaifadhiwa nyikani palipoandaliwa na Mungu, hivyo basi kwenye maono haioneshi huyo mwanamke akizaa watoto wengine. Labda Tuangalie tena hapohapo mstari wa 17. Inaonekana yule Joka baada ya kumshindwa yule mwanamke anarudi kupambana na Wazao wake waliosalia wale wenyeshuhuda juu ya Yesu kristo. Ukiangalia hapo utaona mwandishi wanafunzi wake Yesu wote( ambao ndo wenye Shuhuda juu Yesu kristo) akiwaita Uzao wa Maria maana hata Yesu aliwaita ndugu zake.
Kwa hayo machache nawasilisha!

Japo Topic haizungumzii Ubikira wa Maria ila ngoja na mimi nitoe maoni yangu kidogo:
Kwanza neno Ndugu ni jumuishi( wale wote wa ukoo wako ni ndugu zako) kwahiyo Dada, Kaka,Mjomba,Shangazi,Binamu na kadhalika wote ni ndugu. Hivyo basi chukulia umetokea msiba wa Bwana John na MC atangaze" ndugu zake marehemu waje kutoa neno" Je tutategemea watu gani wajitokeze?.
Pili biblia hajaelezea familia ya Yesu kwamba ilikuwa ya watu zaidi ya 3 yaaani Maria, Yosefu na Yesu inaonesha mwanzo mwisho walikuwa wakiisha watu watatu tu mpaka Yesu anaanza kuhubiri. Labda kuna baadhi ya vifungu tujaribu kuviangalia kwa kina tuone hawa ndugu ni wadogo zake Yesu au la?
Nashukuru sana bwana Ulimi Waupanga kwa kuendelea kumuongezea maarifa huyu kijana Auferet Dominus ili asiendelee Kudanganywa.

Hapa akirudi atakuwa na matatizo ya akili,nikimaliza majukumu yangu ya leo nitamuongezea maarifa mengine ili yamsaidie yeye na Wasabato wenzake pamoja na vile vikundi vingine vilivyo shikilia bango jambo hili.

Bikira Maria mama wa Yesu hakuwa na mtoto mengine wa kumzaa zaidi ya Yesu Full Stop.
 
Back
Top Bottom