Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

MUNGU HADHIHAKIWI WAPENDWA.....JIHADHALINI NA HISIA ZENU....MUNGU HADHIHAKIWI NARUDIA....BE CARE WITH GOD....KAMA HUTAMBUI JAMBO KWA UNDANI TAFUTA KUELEKEZWKUELEKEZWA SI KULITUKANA JINA LA MUNGU...HASIRA YA MUNGU HAIZUILIK....be care
 
Huu uzi mtamu hivi mbona tena umepoa jaman!
[emoji23]

Wasabato mko wapi?
 
Kila kitu kina kiasi chake, hujasikia mdada wa mazoez aliyekufa kisa kala protein nyingi?? Chakula bora ni kile chenye virutubisho vyote tena katika uwiano sahihi
 
😀😀😀😀😱😱 Kijana wa bwana mdogo papa francis hujapona wendawazimu mpaka leo?
Kama umekunywa dawa za leo hebu jibu hili, maria bikira yule mpagani wa kigiriki aliyemimbishwa na vidume yuko wapi vile?
Bikira Maria yupi unayemsema..???
Bikira Maria tunaye mjua ni mama wa Muokozi wetu Yesu Kristo ambaye alikuwa Myahudi na wala si Mgiriki.
 
Ushauri wa Afya na neno la Mungu vinaweza kushabiiana kulingana na fundisho linalotolewa na muhusika.
 
Bikira Maria yupi unayemsema..???
Bikira Maria tunaye mjua ni mama wa Muokozi wetu Yesu Kristo ambaye alikuwa Myahudi na wala si Mgiriki.
Sasa nani kakwambia yule alikuwa bikira mpaka alipokufa na kuzikwa kaburini alipo mpaka leo? Au ni zile hadithi za kirumi zinazowafanya watu waendelee kufanya mambo ya kipagani hata katika nyakati hizi? Yule Maria myahudi alikoma kuwa bikira alipozaa watoto wengine wakina yohana. Huyu mnaeambiwa alipalizwa mgiriki aliefiwa na mfalme yani mme wake mfalme na baadae vidume vikapanda kapata mimba akasema roho mtakatifu na wakampa jina la bikira maria ili afit kwenye stori za kikatoliki
 
Hayo unayosema ni katika upeo wa kibinadamu..

Bikira Maria mama wa Yesu aliyebeba mimba pasipo kukutana na mwanamume kwa uweza wake Mungu..,Itashindikanaje kuendelea kuwa Bikira hata baada ya kumzaa Yesu...????

Bikira Maria mama wa Yesu akuzaa mtoto mwengine baada ya Yesu,huyo unayesema aliendelea kuzaa kina Yohana siye huyu aliyemzaa Yesu zaidi nitakuambia niletee ushihidi wa kimaandiko.

Mungu sio auferet dominus na wala sio Jiwe la majiwe,Mungu atabaki kuwa Mungu tuu.
 
Sasa ni maandiko hayo ndio yanasema mariam alizaa watoto wengine as per Matt. 12:46; 13:55; Mark 6:3; John 2:12; 7:3, 5, 10; Acts 1:14; 1 Cor. 9:5; Gal. 1:19. Wewe lete ushahidi kuwa hakuzaa na yusufu.
Uwezo wa Mungu naufahamu lakini nafahamu pia uwezo wa shetani kutunga vitu vya kishetani ili awapoteze wateule. Alianza hayo toka pale eden. Moja ya uongo mkubwa aliowahi kutunga shetani ni kuwa huyo mariamu yuko anaishi mbinguni.
 
Nimepata muda wa kufuatilia mahubiri ya maisha hatimaye yanayorushwa mubashara kutoka Mbeya Tanzania. Nimejiuliza mnataka tufanye nini ikiwa mafundisho yenu yana msigano unaochanganya watu.

Mmoja wenu amekuwa akifundisha kitu kinachoitwa ujasiriamali. Moja ya mafundisho ni ufugaji wa ng'ombe wa nyama na maziwa, pamoja na kuku wa mayai. Maana yake ni kwamba, watu wanahitaji mayai, maziwa na nyama.

Leo namsikia mhubiri akisema ogopa sana mayai! Mafuta ambayo hata kwenye maziwa yamo mengi sana! Pia akaenda zaidi kusema ogopa hasa nyama nyekundu. Nguruwe ni haramu lakini ni kati ya wanyama wenye nyama nyeupe!

Sasa tufanye nini! Tufuge kuku wa mayai kwa ajili ya kuuzia wengine huku sisi tukiyakwepa ama tuache kwa vile mayai ni hatari kama ulivyosema?
Mchungaji alisema katika mayai kile kiini cha ndan ni hatar zaid namnukuu "katika mayai lile la nje unaweza kula hata 20 ila ogopa sana kile kiini" hakusema tusile mayai kabisa na nguruwe kesi yake ni nyingine kabisa si ya nyama nyeupe wala nyekundu ila ukisoma katika kitabu cha kumbukumbu la torati nadhan 14 wanaelezea wanyama wanaoliwa na wasioliwa na nguruwe akajumuhishwa kwamba hacheui na mnyama ambaye acheui haruhusiwi kuliwa
 
Sasa ni maandiko hayo ndio yanasema mariam alizaa watoto wengine as per Matt. 12:46; 13:55; Mark 6:3; John 2:12; 7:3, 5, 10; Acts 1:14; 1 Cor. 9:5; Gal. 1:19. Wewe lete ushahidi kuwa hakuzaa na yusufu.
Uwezo wa Mungu naufahamu lakini nafahamu pia uwezo wa shetani kutunga vitu vya kishetani ili awapoteze wateule. Alianza hayo toka pale eden. Moja ya uongo mkubwa aliowahi kutunga shetani ni kuwa huyo mariamu yuko anaishi mbinguni.
Wewe..!!!!?
 
Ndugu auferet dominus naomba fuatana nami kwa umakini ili siku nyingine Usipotoshwe/Kupotosha kwenye hili

Nitaanza na reference zako toka biblia;

1. Matt 12:46 "Yesu alikuwa bado anasema na umati wa watu wakati mama yake na ndugu walipofika kusimama nje" Hapa bado biblia haijaonesha kuwa Maria mama yake Yesu alizaa baada ya Yesu,kwani ndugu zake Yesu wanaweza kuwa ni watoto wa baba au mama mkubwa/mdogo ndugu wa ukoo au Wale Waliolishika na Kulifuata neno Baba yake(Mungu),(kumbuka hata yeye mwenyewe Yesu alishawahilisema hilo sina kumbukumbu nzuri ya mstari ningeweka).

2.Matt 13:55 "Je,huyu si yule mwana wa seremala?Je, mama yake si anaitwa Maria na KAKA zake si kina Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda? Kwa tafsiri yako bwana auferet dominus..,Maria Alishazaa Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda kabla ya kumzaa Yesu..!!!!

Narudi palepale ndugu zake Yesu wanaweza kuwa watoto wa mama mkubwa/mdogo au baba mkubwa/mdogo au wale waliolishika na kulifuata neno la Baba yake(Mungu).

Ukitaka kulazimisha ya kuwa Yakobo, Yosefu, Simon na Yuda kuwa ni kaka zake wa kuzaliwa na Bikira Maria mama wa Yesu, utakuwa unapingana na andiko hili;

Luka 1:26-45(Naomba hapa nichukue mistari michache ila kwa kukusaidia soma yote kama nilivyoweka hiyo mistari)
26 " Mnamo mwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya"
27 "Kwa msichana bikira aitwaye Maria mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosefu,wa ukoo wa Daudi..,ndugu auferet dominus utaona hapa "Msichana Bikira Aitwaye Maria" hilo ni la kwanza,mtu bikira ni mtu ambaye hajazaa..!!la pili kina Yakobo,Yosefu,Simon na Yuda ni Kaka ndani ya Ukoo wa Daudi na si Kaka wa kuzaliwa na Maria mama wa Yesu...!!!!
34 "Maria akamjibu Yatawezekanaje hayo,hali mimi ni Bikira?Ndugu hapa biblia inazidi kusisitiza kuwa Maria mama wa Yesu alikuwa bikira kabla na baada ya kumzaa Yesu...,ukisema Maria alikuja kuwazaa Yakobo, Yosefu,Simon na Yuda baadae,nitakuuliza ilikuaje pale kwenye Matt 13:55 wawajue Seremala,Maria na wadogo zake yani Yakobo,Yosefu, Simon na Yuda wasimjue kaka yao yani Yesu...?????

Naomba niishie hapa ili nisikuchoshe na natumai utakuwa umepata mwanga kidogo kwenye hili la Maria mama wa Yesu kuwa bikira kabla na baada ya kumzaa Yesu, huu ni upotoshaji mkubwa umekuwa ukifanywa na vikundi mbalimbali,nafikiri kwa kutokusoma vizuri biblia au kwa makusudi.

Asante.
 
Usichanganyikiwe moja ni TRUTH(UKWELI) na nyingine FACT za maisha.
 
Back
Top Bottom