GE2025 Kipi kifuatacho baada ya maandamano ya kumuondoa Samia kufeli

GE2025 Kipi kifuatacho baada ya maandamano ya kumuondoa Samia kufeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,309
Reaction score
21,669
Moja wapo ya lengo la maandamano ilikuwa ni kumuondoa Samia madarakani hili limefeli. Kwani tayari kaapishwa.

Jingine ni kuzuia uchaguzi, hili nalo limefeli kwani tume ilimtangaza Samia kuwa mshindi.

Watanzania wenzetu kwa maelfu wamepoteza maisha yao bure kwa kuandamana wakiamini mabadiliko yangekuja ila wapi.

Sasa swali linabaki baada ya plan A kufeli ni nini haswa kinafata? Je kuna plan B au tumekubali yaishe na maisha yaendelee kama zamani?

Nitoe pole kwa wote waliofiwa, waliojeruhiwa, walioharibiwa mali zao na wale wote waliotangulia mbele za haki kwa kudai mabadiliko.
 
Kilichotokea ni kutoa pressure tu.
Kwa mfumo wa Tanzania ni ngumu kuipindia serikali kwa maandamano maana Dola zote ni zipo upande ule.

Labda kwa Gun violence.

Kitu ambacho kimetokea hajawahi tokea Tanzania, hata Africa na Dunia kwa ujumla kwa ujumla, wameshangaa
Tz ilijulikana ni nchi ya maana , na ccm walikuwa wanajinadi sana.
Na waandamanaji sidhani kama walikuwa wanalengo la kupindua serikali, achana na hoja za kina sativa na maria sarungi.

Angalia waandamanaji wanadai.
Nini.
 
".....Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu, Ulikuwa ukinipendeza sana; Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, Kupita upendo wa wanawake.
Jinsi mashujaa walivyoanguka, Na silaha za vita zilivyoangamia!"

2 Samweli 1:26-27 (Biblia Takatifu)
 
Hakuna kilichofeli.
Ushindi mkubwa sana umepatikana.
Umma umeamka sasa kutoka katika usingizi wake wa pono. Usingizi wa Nyerere na mwenge wake wa uhuru!

Aamshwe Kenyatta Sr.
Aliwahi kusema kwamba eti Watanzania ni sawa na maiti. Hata uwafanye nini hawataamka kamwe. Aamshwe tu huko aliko. Aje ashuhudie. Maiti imeamka! Tarehe 29 Oktoba, 2025. Tarehe tamu itakayoingia katika kumbukumbu za taifa letu.

Na mabadiliko ya kweli mara nyingi huwa yanahitaji kafara ya damu. Na hilo limefanyika. Na sasa kuna matumaini. Giza linakwisha. Na asubuhi mpya inapambazuka. Aiiiii! Damu hii ya Watanzania wasio na hatia haitakaa ipotee bure. Tanzania mpya imeshinda!

Moja wapo ya lengo la maandamano ilikuwa ni kumuondoa Samia madarakani hili limefeli. Kwani tayari kaapishwa.

Jingine ni kuzuia uchaguzi, hili nalo limefeli kwani tume ilimtangaza Samia kuwa mshindi.

Watanzania wenzetu kwa maelfu wamepoteza maisha yao bure kwa kuandamana wakiamini mabadiliko yangekuja ila wapi.

Sasa swali linabaki baada ya plan A kufeli ni nini haswa kinafata? Je kuna plan B au tumekubali yaishe na maisha yaendelee kama zamani?

Nitoe pole kwa wote waliofiwa, waliojeruhiwa, walioharibiwa mali zao na wale wote waliotangulia mbele za haki kwa kudai mabadiliko.
Tumeweka world record anaejua last election ya Nigeria na USA total voters walikuwa wangapi? USA yenye population ya watu over 500m waliopiga kura ni sijui walifika 25m?? Statistics zinaleta contraversial message engineers wangetumia akili kidogo takwimu za 2022 the population i think over 65% walikuwa youth na pengine majority walikuwa under 18% how do we get 35m voters? Anyways lets check the trend
1995 late mkapa alipata kura ngapi pengine about 4.5m, JK pengine about 6.5m, magufuli labda 5.5m hii 31m?? Kidogo inafikirisha na chaguzi zingine zote zilikuwa hazina sintofahamu kama hii? My worry iko kwenye how are we going to recover the economic downfall
1. Kuna hyper inflation kama mafuta 10k per litre? What will happen
2. Huduma za kijamii kama usafiri, food and beverages zili-paralyze zitarecover vipi
3. Financial institutions, Telecoms etc loss waliyopata ni trillions? Kuna na effects kwenye staffs welfare (retrenchments) nimeona Mwigulu anakatika TRA revenue zitadondoka significantly labda kwa quarter 3-4
Bado tunalia wanashauri wa mama hasa aliendika hotuba ya leo, na ambaye hakumshauri mama kuairisha uchaguzi ili aweke taifa vizuri angeshinda tu ushindi mzuri lakina angeacha legacy kubwa kwa ukomavu wa kisiasa na uongozi...

Sasa hivi ameacha legacy ambayo kwa upande mwingine inaweka doa kwenye record yake nzuri ya uongozi.. Kwa haya yaliyotokea hatujawahi kuwayaona toka tumepata uhuru hatuwezi kulaumu wala kulalamika lakini watanzania na watawala wamejifunza
 
Kapike huko acha kuchangia mada za wanaume!

View attachment 3497084
kwa vile waliokufa sio ndugu zako au sio??,.

Mwanaume mwenywe sijamuona wakunizuia kuchangia mada,. Wanaume ni hao wenzio waliokufa kwenye maandamano of which wewe na Mimi tumeshindwa( means wote ni wanawake Tu kwasabu hamna chamaana unafanya hapa kwenye keyboard)...
Haya Nenda kaendelee kuandamana Kwa amani Mie naenda kupika mke mwenzangu

Siku nyingine uwe unajibu Kwa hoja sio Kwa mihemko (officially ignored🚮🚮)
 
Bila katiba mpya ya wananchi na tume mpya ya uchaguzi watu watalipuka tu tena.
Watu hawawezi kuvumilia milele udikteta usioleta maendeleo yoyote ya maana.
Ni sahihi,.
Lakini Kwa saizi nashauri wananchi wangeacha Kwanza maana tulitegemea maandamano yangekua ya amani na Jeshi wangewalinda wananchi lakini imekua tofauti,.
Great thinkers wanatakiwa wakae chini wajadili ni namna gani nyingine itumike,. Hii ya kumwaga damu za vijana inaogopesha na kukatisha tamaa
 
kwa vile waliokufa sio ndugu zako au sio??,.

Mwanaume mwenywe sijamuona wakunizuia kuchangia mada,. Wanaume ni hao wenzio waliokufa kwenye maandamano of which wewe na Mimi tumeshindwa( means wote ni wanawake Tu kwasabu hamna chamaana unafanya hapa kwenye keyboard)...
Haya Nenda kaendelee kuandamana Kwa amani Mie naenda kupika mke mwenzangu

Siku nyingine uwe unajibu Kwa hoja sio Kwa kicheko (officially ignored🚮🚮)
Hata upaniki vipi ujumbe wangu kwako bado ni ule ule: Kapike huko na uache kuchangia mada za wanaume!

20251104_120819.png
 
Ni sahihi,.
Lakini Kwa saizi nashauri wananchi wangeacha Kwanza maana tulitegemea maandamano yangekua ya amani na Jeshi wangewalinda wananchi lakini imekua tofauti,.
Great thinkers wanatakiwa wakae chini wajadili ni namna gani nyingine itumike,. Hii ya kumwaga damu za vijana inaogopesha na kukatisha tamaa
The genie is out of the bottle,
Watu ambao watu wameuwawa kinyama hawawezi kuelewa sijui great thinkers au porojo gani bila wahusika kuwajibika, bila katiba mpya wanayoitaka na bila tume huru ya uchaguzi.
 
The genie is out of the bottle,
Watu ambao watu wameuwawa kinyama hawawezi kuelewa sijui great thinkers au porojo gani bila wahusika kuwajibika.
Kwa jinsi unavyoona Kwa hali inavyoendelea kuna mhusika anaweza kuwajibika Kwa chochote?,.
Sikuwaza kama wangefumbia macho yanayoendelea na kutangaza matokeo ambayo kila mmoja aliona na alishihudia kuharibika WA uchaguzi kura zilizotangazwa sizo ambazo zilipigwa,. Na kiongozi ameshaapishwa..

Hoja yangu ni kwamba wananchi/raia Kwa sasa kila mmoja inabidi aangalie nafsi yake,. Ajilinde yeye kama yeye na familia Yake maana nchi kama nchi na majeshi yake sijamuona WA kulinda raia
 
Back
Top Bottom