GE2025 Kipi kifuatacho baada ya maandamano ya kumuondoa Samia kufeli

GE2025 Kipi kifuatacho baada ya maandamano ya kumuondoa Samia kufeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Moja wapo ya lengo la maandamano ilikuwa ni kumuondoa Samia madarakani hili limefeli. Kwani tayari kaapishwa.

Jingine ni kuzuia uchaguzi, hili nalo limefeli kwani tume ilimtangaza Samia kuwa mshindi.

Watanzania wenzetu kwa maelfu wamepoteza maisha yao bure kwa kuandamana wakiamini mabadiliko yangekuja ila wapi.

Sasa swali linabaki baada ya plan A kufeli ni nini haswa kinafata? Je kuna plan B au tumekubali yaishe na maisha yaendelee kama zamani?

Nitoe pole kwa wote waliofiwa, waliojeruhiwa, walioharibiwa mali zao na wale wote waliotangulia mbele za haki kwa kudai mabadiliko.
Kama kura haiheshimiki, ni nguvu itatumika.

Binadamu siyo ng'ombe.
 
Samia asidhani kuwa hii imeisha,nawaambia maandamano yajayo yatakuwa ni damu juu ya damu,kawaida ya damu Huwa inadai haki,hivyo damu za watanganyika 700+ waliouliwa na Samia lazima zitarudi kudai haki.

Kiulimwengu , Tanzania imevunja mwiko ,hivyo kinachofuata ni maandamano juu ya maandamano,na Tena watanganyika hawatatoka mikono mitupu,itakuwa ni panga ,upinde au mkuki.

Just wait
 
Ni sahihi,.
Lakini Kwa saizi nashauri wananchi wangeacha Kwanza maana tulitegemea maandamano yangekua ya amani na Jeshi wangewalinda wananchi lakini imekua tofauti,.
Great thinkers wanatakiwa wakae chini wajadili ni namna gani nyingine itumike,. Hii ya kumwaga damu za vijana inaogopesha na kukatisha tamaa
Soma comment #9 we binti ila uangalie chakula kisiungue!
 
kwa vile waliokufa sio ndugu zako au sio??,.

Mwanaume mwenywe sijamuona wakunizuia kuchangia mada,. Wanaume ni hao wenzio waliokufa kwenye maandamano of which wewe na Mimi tumeshindwa( means wote ni wanawake Tu kwasabu hamna chamaana unafanya hapa kwenye keyboard)...
Haya Nenda kaendelee kuandamana Kwa amani Mie naenda kupika mke mwenzangu

Siku nyingine uwe unajibu Kwa hoja sio Kwa mihemko (officially ignored🚮🚮)
Jaribu kukaa kimya mkuu
 
Hizi mada hazikuhusu, beba mimba ili upumzike.
Hata mimi nimemshauri hivyo hapo juu akapaniki hatari! Hakuna mabadiliko ya kweli yasiyohusisha jasho na damu maana tabaka tawala huwa haliachii asali hivi hivi. The red line has been crossed and there is no going back. Watawala tu watumie busara turudi mezani tupitishe katiba mpya na mabadiliko mengine yanayatakiwa halafu tusonge mbele. Hakuna njia mbadala maana nchi hii ni yetu sote.
 
Ikiwa damu kumwagika imewauma watawala, basi warudi mezani kurekebisha yale wananchi wanayoyataka. HAKUNA KURUDI NYUMA.

Huyo mkuu hapo juu anaongea ujinga ujinga tu na upumbavu.
 
Watanzania wenzangu huko nyumbani Poleni sana Kwa msiba wa kitaifa na kupoteza ndugu zetu. Mungu awape faraja na kuwafunga Mkanda. As I speak nipo abroad kimasomo na ni nchi ya bara la Asia nimekutana na mtu Wa South Korea Alikuwa ananihadithia Hali Yao ya mabadiliko Hadi wamefika hapo walipo Sasa ( Politically and economically) walipitia Njia kama yetu na umwagaji Damu isiyo na hatia but at end they won. Watawala wanaweza dhania wameshinda Kwa kupingana na people's Will ( Matakwa ya umma) ila kimsingi kilichotokea Tarehe 29. Kimefungua sura Mpya ya Tanzania na ni mbegu kubwa sana ya mabadiliko. Kuna Mengi ambayo nayaona from now ila in a nutshell waliopoka madaraka ya watanzania wanakazi ya Kufanya to rebuild the nation... Uchumi wa nchi... Mshikamani na umoja wa kitaifa... Usalama wa Nchi vyote haviko salama sana. Tumwombe MUNGU atuepushe na yajayo otherwise kiusalama kunaweza ibuka vikundi vya kigaidi kulipa kisasi. Kiuchumi sanctions za mataifa mbalimbali tujiandae kuzipokea Kwa mikono miwili. Kimshikamano wa kitaifa Nina mashaka na umoja na muungano wetu miaka mitatu ijayo kama utakuepo. Watanganyika wanahaki ya kulia Hasa ukizingatia anayewatawala SIO mtanganyika na damu ya watanganyika imemwagwa. REST EASY OUR BRETHRENS. POLENI NYUMBANI
 
Ni sahihi,.
Lakini Kwa saizi nashauri wananchi wangeacha Kwanza maana tulitegemea maandamano yangekua ya amani na Jeshi wangewalinda wananchi lakini imekua tofauti,.
Great thinkers wanatakiwa wakae chini wajadili ni namna gani nyingine itumike,. Hii ya kumwaga damu za vijana inaogopesha na kukatisha tamaa
Mizuka ya kuandamana ndo imeshika kasi

Tutaitisha mengine tena na hayo yatakuwa makubwa zaid
 
Back
Top Bottom