GE2025 Kipi kifuatacho baada ya maandamano ya kumuondoa Samia kufeli

GE2025 Kipi kifuatacho baada ya maandamano ya kumuondoa Samia kufeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi nashauri watanzania wanunue shaba na kuzificha kwaajili ******* baadhi na shaba dawa ya shaba ni shaba.
 
Maandamano hayajafeli.Kwanza kitendo cha kuandamana tu ni mafanikio makubwa mno.Hii msg viongozi wameipata.Just know Gen Z ni asilia 75 ya watanzania wote.Soon kitanuka tena kama maisha yao yataendelea kuwa ya kimaskini huku kina Abdul wakijimilikisha mali zote za nchi.
 
M
Ni sahihi,.
Lakini Kwa saizi nashauri wananchi wangeacha Kwanza maana tulitegemea maandamano yangekua ya amani na Jeshi wangewalinda wananchi lakini imekua tofauti,.
Great thinkers wanatakiwa wakae chini wajadili ni namna gani nyingine itumike,. Hii ya kumwaga damu za vijana inaogopesha na kukatisha tamaa
Mochwari zinavuja damu
 
watu walijazwa ujinga sana eti jeshi lipo upande wao, kumbe walikuwa wanasukumwa wakafe
 
Back
Top Bottom