kama kila bdhaa ikihariibia unarudsha kwa aliyekuuzia pasingekuwa na biashara wala kiwanda.
unachukua kitu kizima kikiharibika unarudisha tena baada ya kkaa nacho kwa muda
MAGIFULI MUST GO KWAKWELI
"Tutabangua hata kwa meno. Tutakula wenyewe" Watu mkashangilia, mkapiga yowe za shwangwe na kuandamana kupongeza. Kueni basi hizo korosha. Waleteni JKT wabangue hata kwa meno
Sasa ooh, wafanya biashara wanaruhusiwa kununua kiwango chochote. Mkiambiwa huyu mtu anakurupuka mnabisha - tuko kwenye right track.
Tatizo Watanzania tulishazoewa kuwa tunalishwa matango pori na kuyameza bila kufikiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.