EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
WE JAMAA WANAKUANGALIA UJUE?suala la korosho ni suala linaloonesha uwezo mdogo wa kufikiri wa wabunge wa ccm.na serikali yao ya magufuli pamoja na kuaanika ukilaza wao.
ccm ni janga la nchi wakulima wa kusini ntashangaa kama watachagua lichama hili li screper.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀
Kiswahili kigumu sana.
sijasahau mzee kipara na mikamera yake mbele ya TV kuringishia umma wa waTz jinsi wanavyoonesha uzalendo wao.Sasa suala la korosho bora wangewaachia wafanyabiashara.WE JAMAA WANAKUANGALIA UJUE?

Amekejeli au ameonyesha uhalisia...???
Unaona raha wenzio wanavyopotezwa na kuuawa, hata wewe utakufa siku yako ikifikaBaadae msitusumbue