Tafakari ya Kipanya leo

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
769
1,959
Wadau kwa mara nyingine, hebu tutafakari mchoro wa nguli wenu Masoud Kipanya leo.

Mama kavaa "Skuna" mchuchumio na la "raba mtoni" kwa wakati mmoja, mama anajaribu kuuvaa huusika wa watu wawili kwa wakati mmoja.

Raba mtoni wanavaaga watoto wa mjini.. au wauni in pole pole voice.

.
instagram_1671871486660.jpg
 
Huyo mama anaonekana hakujiandaa na safari ndefu ndiomaana alivaa viatu vyenye kidigino kirefu kwakua muda mwingi atakua hatembei. Huenda Kuna mtu aliekuwa anatembea wakati yeye akiwa anabembea kwenye boda au ndinga.

Sasa ghafla amejikuta anatakiwa kuembea umbali ambao ni mrefu tu. Kutokana na kutumia high heels amejikuta anakosa balance. Kutokana na kukosa balance ameamua kuazima raba Ili impe balance (nasema ameazima kutokana na ukubwa wa raba na mguu). Trust me kwasasa anabalance yakutosha na anaweza kufika mbali bila tatizo.

Tatizo kidogo ninaloliona ni kubadili staili ya utembeaji maana atakuwa Kama anachechemea kidogo. Vile vile kati ya raba na hiyo skuna Nahisi raba ndio yenye kazi kubwa yakubeba mwili wa huyo mama. Yaani Ile high heel itakua anasimamia kidoogo na kuitumia raba zaidi.
 
Hii raba ya JPM aliivaa katika picha moja akiwa amekaa juu ya jiwe kubwa kule dodoma kipindi kile korona inaingia nchini
 
Wadau kwa mara nyingine, hebu tutafakari mchoro wa nguli wenu Masoud Kipanya leo.

Mama kavaa "Skuna" mchuchumio na la "raba mtoni" kwa wakati mmoja, mama anajaribu kuuvaa huusika wa watu wawili kwa wakati mmoja.

Raba mtoni wanavaaga watoto wa mjini.. au wauni in pole pole voice.

.View attachment 2456501
Kiuhalisia na kimuonekano ni kwamba kiatu chake kimamtosha vizuri kabisa na ndio uhalisia wa matendo yake kuyamudu ,,

Ila anajaribu kufanya mambo mengine ambayo hana huwezo nayo na hayawezi na ndio maana kiatu kina mpwaya ,,ukija kwenye uhalisia hawezi kuvaa hivyo ..
 
Ulisikia wapi sanaa ikawa na uhalisia?
 
Wadau kwa mara nyingine, hebu tutafakari mchoro wa nguli wenu Masoud Kipanya leo.

Mama kavaa "Skuna" mchuchumio na la "raba mtoni" kwa wakati mmoja, mama anajaribu kuuvaa huusika wa watu wawili kwa wakati mmoja.

Raba mtoni wanavaaga watoto wa mjini.. au wauni in pole pole voice.

.View attachment 2456501

kiufupi mama aeleweki kavaa viatu gani au viatu alivovivaa mfano hiyo raba ni wale vijana aka makamba,mwiguru na n.k na huku upande mwengine lile kundi la sukuma ganja wasukuma
 
Wadau kwa mara nyingine, hebu tutafakari mchoro wa nguli wenu Masoud Kipanya leo.

Mama kavaa "Skuna" mchuchumio na la "raba mtoni" kwa wakati mmoja, mama anajaribu kuuvaa huusika wa watu wawili kwa wakati mmoja.

Raba mtoni wanavaaga watoto wa mjini.. au wauni in pole pole voice.

.View attachment 2456501
Rais Samia pamoja na kupewa tips zote ila bado kavaa kiatu cha JK, sijui atakichomoaje ili avae kiatu chake tu. Rais Samia ni kiongozi mzuri sana, shupavu na mzalendo, ila wana CCM tumechoka kabisa kumtetea, amekuwa zigo kwety mpaka kwenye vikao wazee wanaomuongoza wanafurahia vifo vya watangulizi na viongozi waandamizi wa CCM, kibaya kabisa na yeye anabariki hizo kauli badala ya kuchukua hatua. Hili zigo sasa ni lake na 2025 lazima atoswe na hawa vibaraka wake lazima wafungwe labda wahame nchi.
 
Back
Top Bottom