Kipanya wewe korosho tena?

Yani katika mambo ambayo govt imefail ni kwenye korosho yani wapepata sifuri kabisa duuuh!
 
"Tutabangua hata kwa meno. Tutakula wenyewe" Watu mkashangilia, mkapiga yowe za shwangwe na kuandamana kupongeza. Kueni basi hizo korosha. Waleteni JKT wabangue hata kwa meno

Sasa ooh, wafanya biashara wanaruhusiwa kununua kiwango chochote. Mkiambiwa huyu mtu anakurupuka mnabisha - tuko kwenye right track.

Tatizo Watanzania tulishazoewa kuwa tunalishwa matango pori na kuyameza bila kufikiri

Wajinga ndio waliwao na mmeliwa!

Zimebuma sababu ya zuluma kwa kagomba kagomba sio rambirambi, wawrudishie kagomba wakauze Msumbiji, poor phd ya korosho pumzi imekata
 
Yani katika mambo ambayo govt imefail ni kwenye korosho yani wapepata sifuri kabisa duuuh!

Wamerudi kulekule kwenye sukari kuruhusu kuagiza nje kulikoni,je waliotaifishiwa sukari zao kwa mbwembwe na kina hapi vipi
 
Ni heri uombe ushauri ili usiabike kwa kufail kuliko fedheha ya kufail sababu ya maamuzi ya kujiona unajua kila kitu,hii ndo ilimcost ticha alijifanya anajua kila kitu akaungua na jua kuuwa uchumi, aliambiwa ujamaa kwa mswahili hauwezekani yakamkuta ya kuuwa uchumi
 
Wamuombe radhi Mzee wa cherehani Mbili ni kiwanda kosa lake kipi hapo wakamtumbua,Walishauriwa wawaache wafanyabiashara wanunue kwa 3000 kisha wao wawajazie 300 ifikie 3300 hela zingetosha na wangeepusha aibu hii,au wangeacha wauze kwa 3000 kisha mkulima asikatwe kodi apewe kama ilivo
 
Wasisahau kuondoa marufuku lile katazo waliloweka la kuzuia kuuza korosho ghafi nje
 
hivi zile koro show ziliwekwa majina kutambua ni za nani????
Hapana hakuna majina... Ni kwamba kama Khantwe alileta kilo 10, basi utatakiwa urudishiwe kilo 10... Hizi 10 utapewa za yeytote yule au utachingiwa na zaidi ya mmoja kuja kwako... Hakukuwa na alama kwamba hizi ni za yule na hizi ni za huyu
 
Sijajua anachomaanisha
FB_IMG_1550825823751.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom