Msiongee kwa hisia sana, watu wanaminywa kote ulimwenguni - madaraka ni matamu.Hata hapa kwetu watu wangapi wanapotea na maisha yanaendelea??And nobody cares - CCM ipo madarakani na imejimilikisha nchi - keki ya taifa inamegwa vizuri, mbona hatumbambani tukapata upinzani unaoeleweka tukagawa keki ya taifa??Lowasa kafa kila mtu anahuzunika LAKINI wakati anapitia kwenye kaa la moto - tuliendelea kula ugali na kuenjoy na wake zetu??TUSIJIFANYE tunauchungu - badala yake tuwe na KIASI na tutazame haya mambo kwa jicho la tatu...Hakuna serikali TAKATIFU