EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Jinga kabisa yule ni mwanasheria wa Trump wamepigwa kwenye uchaguzi anatafuta njia ya kula hela za Trump...it’s over
Jinga kabisa yule ni mwanasheria wa Trump wamepigwa kwenye uchaguzi anatafuta njia ya kula hela za Trump...it’s over
Angalia ka video mkuu.Wazungu hawaamini kua Tanzania na Africa kuna demokrasia ya kweli, ndio maana Beberu lina site mfano kwa kuonyesha mapungufu yao katika uchaguzi akishangaa Taratibu Bora za kuhesabu kura nchini Tanzania.
Kwa maana nyingine beberu hilo lina jaribu kusema kua taifa kubwa na tajiri kama marekani wanakuaje na utaratibu mbovu hivo wakati nchi inayoendelea kana Tanzania wameweza kuweka utaratibu mzuri wa kuhesabu kura.
Kwa nijuavo mimi hili beberu linaamini kua uchaguzi nchini tz ulikua huru na haki kuliko kwao na hapo ndipo Promo ya nchi inayoendelea Tanzania inapo dhihirika logically.
My take, Tanzania is one of those countries that should not be taken for granted when it comes to sovereign matters and international relations.
Paranoia at its best. Una chuki Sana mpaka hutaki lolote jema kwa serikali yetuTumeinuliwa na clown.
Unaelewa Giuliani ni clown sasa hivi?
Hata Republicans wako embarassed naye.
Sasa unajisifia kusifiwa na clown?
Yaani wewe jamaa unapenda Sana kusikia Mambo hasi dhidi ya Magufuli na serikali yakeMore like a laughingstock is talking about a laughingstock.
Shida yako mkuu ni shida yetu sote watanzania....elimu elimu elimu. Sijui tutaelimika lini..Hata shuleni nafikiri curriculum inahusika kuathiri uelewa wetuUnaumia sana tz kupigiwa mfano?
Mwambieni mbelgiji na yeye atapigiwa mfano
We ni bangi gani umevutasasa hii umeleta ndio ushahidi au ndio mkalimani wa chato vipi
Paranoia unajua maana yake na unaweza kuielezea kwa muktadha hapa?Paranoia at its best. Una chuki Sana mpaka hutaki lolote jema kwa serikali yetu
Magufuli anajamba hadharani, tukisema huyu kajamba ushuzi unanuka, badala ya kumshangaa aliyejamba, unatushangaa sisi tunaosema kajamba?Yaani wewe jamaa unapenda Sana kusikia Mambo hasi dhidi ya Magufuli na serikali yake
Ni kitu gani cha ajabu ambacho kinawaaminisha kuwa marekani iko civilised kuliko nchi zingine, mi huwa naiona marekani kama sehemu moja ya kawaida sana hasa , kwa nini iwe kwenye civilised na kiwango chao kikubwa cha ubaguzi tena institutionalised ,angalia Rais anavyoact baada ya uchaguzi, upuuzi unaofanywa kunyanyasa mataifa mengine hautoi mfano wa civilized stateMbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
Ni vita kati ya mwanasheria wa Trump, anasema uchaguzi wa Tanzania haukua na shda VS mwanasheria wa Lissu,anayedai uchaguzi haukua wa hakiKwa kuanza kabisa huyu si kiongozi wa Marekani. Ni mwanasheria wa Rais Trump. Anachoelezea ni kwamba zile kura ambazo zinapigwa kwa njia ya posta zinaweza kuwa rigged/forged. Kama mwanasheria anataka kuonesha kuwa mteja wake alishinda lakini zile kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa si kura halali na hivyo akapokonywa ushindi wake. Pia anaelezea katika nchi zilizostaarabika pamoja na Tanzania zinao utaratibu wa kuwa na waangalizi katika masuala haya toka katika vyama vya siasa. Naishia hapo.
Magufuli anajamba hadharani, tukisema huyu kajamba ushuzi unanuka, badala ya kumshangaa aliyejamba, unatushangaa sisi tunaosema kajamba?
I will let Professor Safari speak for me.
Exactly what you are. Totally paranoid of this regimeParanoia unajua maana yake na unaweza kuielezea kwa muktadha hapa?
Kusifiwa na chizi, tena kwa uongo, ndiyo jambo jema?
Hata mim nimeshangaa midomo yao haikaukiwi na Nani TANZANIAHapa Keshatupigia Prome ya kufa mtu kama Kuna mtu duniani alikua hajui Tanzania ndio kashajua na tena ni Civilised Country
Hata hivyo hivi kulikua na haja ya kuitaja Tanzania kwenye Mambo yao ya ndani ya uchaguzi ? ?
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni
Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
View attachment 1631243
Hujajibu hoja, unaleta viroja.Kaka you're too paranoid of Magufuli
Hujajibu hoja, unaleta viroja.Exactly what you are. Totally paranoid of this regime