Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Wazungu hawaamini kua Tanzania na Africa kuna demokrasia ya kweli, ndio maana Beberu lina site mfano kwa kuonyesha mapungufu yao katika uchaguzi akishangaa Taratibu Bora za kuhesabu kura nchini Tanzania.

Kwa maana nyingine beberu hilo lina jaribu kusema kua taifa kubwa na tajiri kama marekani wanakuaje na utaratibu mbovu hivo wakati nchi inayoendelea kana Tanzania wameweza kuweka utaratibu mzuri wa kuhesabu kura.

Kwa nijuavo mimi hili beberu linaamini kua uchaguzi nchini tz ulikua huru na haki kuliko kwao na hapo ndipo Promo ya nchi inayoendelea Tanzania inapo dhihirika logically.

My take, Tanzania is one of those countries that should not be taken for granted when it comes to sovereign matters and international relations.
 
Angalia ka video mkuu.
 
Kwa kuanza kabisa huyu si kiongozi wa Marekani. Ni mwanasheria wa Rais Trump. Anachoelezea ni kwamba zile kura ambazo zinapigwa kwa njia ya posta zinaweza kuwa rigged/forged. Kama mwanasheria anataka kuonesha kuwa mteja wake alishinda lakini zile kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa si kura halali na hivyo akapokonywa ushindi wake. Pia anaelezea katika nchi zilizostaarabika pamoja na Tanzania zinao utaratibu wa kuwa na waangalizi katika masuala haya toka katika vyama vya siasa. Naishia hapo.
 
Unaumia sana tz kupigiwa mfano?

Mwambieni mbelgiji na yeye atapigiwa mfano
Shida yako mkuu ni shida yetu sote watanzania....elimu elimu elimu. Sijui tutaelimika lini..Hata shuleni nafikiri curriculum inahusika kuathiri uelewa wetu
 
Paranoia at its best. Una chuki Sana mpaka hutaki lolote jema kwa serikali yetu
Paranoia unajua maana yake na unaweza kuielezea kwa muktadha hapa?

Kusifiwa na chizi, tena kwa uongo, ndiyo jambo jema?
 
Yaani wewe jamaa unapenda Sana kusikia Mambo hasi dhidi ya Magufuli na serikali yake
Magufuli anajamba hadharani, tukisema huyu kajamba ushuzi unanuka, badala ya kumshangaa aliyejamba, unatushangaa sisi tunaosema kajamba?

I will let Professor Safari speak for me.

Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
Ni kitu gani cha ajabu ambacho kinawaaminisha kuwa marekani iko civilised kuliko nchi zingine, mi huwa naiona marekani kama sehemu moja ya kawaida sana hasa , kwa nini iwe kwenye civilised na kiwango chao kikubwa cha ubaguzi tena institutionalised ,angalia Rais anavyoact baada ya uchaguzi, upuuzi unaofanywa kunyanyasa mataifa mengine hautoi mfano wa civilized state
 
Ukifanya direct transition lazima ufeli.
.English ni lugha yetu ya tatu.
 
Kwa kuanza kabisa huyu si kiongozi wa Marekani. Ni mwanasheria wa Rais Trump. Anachoelezea ni kwamba zile kura ambazo zinapigwa kwa njia ya posta zinaweza kuwa rigged/forged. Kama mwanasheria anataka kuonesha kuwa mteja wake alishinda lakini zile kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa si kura halali na hivyo akapokonywa ushindi wake. Pia anaelezea katika nchi zilizostaarabika pamoja na Tanzania zinao utaratibu wa kuwa na waangalizi katika masuala haya toka katika vyama vya siasa. Naishia hapo.
Ni vita kati ya mwanasheria wa Trump, anasema uchaguzi wa Tanzania haukua na shda VS mwanasheria wa Lissu,anayedai uchaguzi haukua wa haki
 
Magufuli anajamba hadharani, tukisema huyu kajamba ushuzi unanuka, badala ya kumshangaa aliyejamba, unatushangaa sisi tunaosema kajamba?

I will let Professor Safari speak for me.

Kaka you're too paranoid of Magufuli
 
Hapa Keshatupigia Prome ya kufa mtu kama Kuna mtu duniani alikua hajui Tanzania ndio kashajua na tena ni Civilised Country

Hata hivyo hivi kulikua na haja ya kuitaja Tanzania kwenye Mambo yao ya ndani ya uchaguzi ? ?
Hata mim nimeshangaa midomo yao haikaukiwi na Nani TANZANIA
 
Kaka you're too paranoid of Magufuli
Hujajibu hoja, unaleta viroja.

Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

I am discussing ideas. Freedom of speech, democracy, the open society, transparency.

You are discussing Magufuli.

You have a small mind.
 
Exactly what you are. Totally paranoid of this regime
Hujajibu hoja, unaleta viroja.

Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

I am discussing ideas.Freedom of speech, democracy, the open society, transparency.

You are discussing Magufuli.

You have a small mind.
 
Back
Top Bottom