Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,900
- 95,400
Hao TEL siyo marafiki wa Tanzania na pia ni taasisi huru.Waangalizi wa uchaguzi wanatakiwa kuwa watu ambao siyo ndugu zako wala siyo marafiki zako na wawe ni taasisi huru ili wasikupendelee na kukuonea aibu.Tofauti na hapo ni mzaha mtupu!Unategemea dikteta kama Museven(Tumbili) aje kuwa mwangalizi wa uchaguzi wa dikteta mwenzake ambae ni Magufuli(Ngedere) halafu atoa ripoti chafu hata kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki?Ni sawa vile unaamini.
Hawa TEL, mimi ninawaaminije?
Kama wazungu walikataliwa hao ni kina nani?