jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
1. Rwarakabije ALIKUWA overall commander lakini akaachana na kukiri imani yake, akasamehewa na kuwa re-integrated. That's is what compassion is all about.
2. Tumebishana sana na tutaendelea kubishana kuhusu u-halali wa serikali ya Habyarimana. The French saw it fit to protect extremist Hutus rather than innocent Rwandese being butchered all over Rwanda by the very same people being protected by the French. Anyway pamoja na wakubwa zenu France kuwalinda na kuwapa safe passage, RPA waliwachapa. And the rest is history.
3. They WERE terrorists when they were FAR and FDLR but once they repent and embrace the spirit of one nationhood, they become patriots. In fact by definition that is what it's all about. Wewe tatizo lako unataka kuleta mambo ya u-Hutu na u-Tutsi, hutafanikiwa. The issue is bigger than that my friend. Rwanda ni moja. Kwanza ungejue RDF ni mainly Hutu.
1. So where is the justice to those people whom FDLR allegedly killed? i didn't know kagame had the power to forgive genocidaires.
2. How do you prove that FDLR have abandoned "imani yao" (i guess you mean to wipe all the tutsis as your propaganda says), is it becuase they have simply come back to Rwanda or what? ni njia gani mnajua kuwa FDLR wanaorudi wamebadili "imani yao"?