Kinyarwanda Kinapanda? Translate This Please...What's This Girl Saying?

Kinyarwanda Kinapanda? Translate This Please...What's This Girl Saying?

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,093
Reaction score
1,077
Mushikiwabo.jpg
U Rwanda rufitanye Ikibazo nisi Yose: U Rwanda ruratunga agatoki FDLR, Tanzania, Amerika, Human Rights Watch n’u Bufaransa | INYENYERI NEWS
 
Ni mushikiwabo, ametuhumu tanzania kushirikiana na fdlr kundi lililosababisha mauwaji ya kimbari, pia hata ufaransa wameshutumiwa pamoja na a kusini
 
Huyu mama namfahamu sana, ana msimamo mkali kama kagame
 
Kwakweli inatia hasira kuona watu waliosababisha mauwajt ya kimbari wanapewa sapot na nchi za tz, s afrka na ufaransa
 
Kwakweli inatia hasira kuona watu waliosababisha mauwajt ya kimbari wanapewa sapot na nchi za tz, s afrka na ufaransa

..wananchi wa Congo wanahisia kama zako.

..RPF/RDF wamefanya mauaji ya kimbari nchini Congo, pamoja na kupora rasilimali za Congo.

..wakati RPF/RDF wakifanya mauaji ya kimbari Congo, walikuwa wakipata msaada mkubwa toka kwa Afrika Kusini, Marekani, na Uingereza.

..katika macho ya wananchi wa Congo RPF/RDF hawana tofauti yoyote ile na interahamwe.

cc jMali
 
Last edited by a moderator:
Huyu kagame kigali ipo kwenye jicho la dodoma sasa najiuliza akileta ufedhuli situnamtwanga sebuleni kwa baba na mama mkwe wake!
 
Kwakweli inatia hasira kuona watu waliosababisha mauwajt ya kimbari wanapewa sapot na nchi za tz, s afrka na ufaransa

Mbona wenzetu munaofaham Kinyarwanda neno Human Rights alijatajwa? Ameihusisha vp hiyo ?
 
Ni wakati muafaka sasa kwa Watanzania kuangalia kwa umakini uhusiano wetu na majirani zetu! Kwanini Uganda, Kenya, Rwanda wako aggressive sana kutaka kushare rasilimali zetu including ardhi? Kwanini Kagame amekwenda mbali zaidi kwa kuandaa mpango mkakati wa Watutsi waoe ama kuoelewa na Watanzania ili wapate uraia wa Tanzania? Kwanini wanaonyesha Tamaa ya wazi kwenye ardhi yetu?...Naamini JK anapita humu, kama itampendeza namshauri tujitoe kwenye hilo lijumuiya lenye kila dalili ya kutusababisha tumwage damu kwenye ardhi takatifu ya watanzania...
 
Ni mushikiwabo, ametuhumu tanzania kushirikiana na fdlr kundi lililosababisha mauwaji ya kimbari, pia hata ufaransa wameshutumiwa pamoja na a kusini

inashangaza kuona Afisa Mkubwa wa ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania unachochea siasa za kibaguzi kwenye nchi ya wenzako
 
..wananchi wa Congo wanahisia kama zako.

..RPF/RDF wamefanya mauaji ya kimbari nchini Congo, pamoja na kupora rasilimali za Congo.

..wakati RPF/RDF wakifanya mauaji ya kimbari Congo, walikuwa wakipata msaada mkubwa toka kwa Afrika Kusini, Marekani, na Uingereza.

..katika macho ya wananchi wa Congo RPF/RDF hawana tofauti yoyote ile na interahamwe.

cc jMali

Mkuu, Hayo Mauwaji Ya Kimbari Huko Congo Hayajasababishwa Na Rwanda Bali Ni M23 Na Vikundi Vingne Vidogo Vidogo, Wanaopora Mali Za Congo Ni Nchi Zilizoenda Huko Kwa Mgongo Wa U N Eti Kulinda Amani
 
Last edited by a moderator:
Watusi???
Kagame is an african devil!

Mkuu Hapo Unakosea, Kwa Taarifa Yako Kagame Anapendwa Sana Na Wanyarwanda Kuliko Unavofikiri, Na Watu Kama Mimi Wazalendo Wa Afrika Lazma 2we Upande Wake
 
Huyo mama ameripotiwa ikisema kuwa Rwanda inamaswali/mtihani yakujiuliza kama nchi na inazinyoshea kidole nchi za Tanzania,Marekani,ufaransa, kiknd cha FDRL na taasisi zinazotetea haki za binadamu
 
Huyo mama ameripotiwa ikisema kuwa Rwanda inamaswali/mtihani yakujiuliza kama nchi na inazinyoshea kidole nchi za Tanzania,Marekani,ufaransa, kiknd cha FDRL na taasisi zinazotetea haki za binadamu

Ni Kweli Kabisa Mkuu, Anazishutumu Nchi Kama Tz Kwa Kuwa Upande Wa F D L R Amacho Ni Kikundi Cha Mauwaji Ya Kimbari
 
Marekani Inamshutumu Kagame, Mbone Yenyewe Inavamia Nchi Zingne Kibabe Na Kupora Mali Za Watu, Kweli Nyani Haoni ----- Lake
 
Back
Top Bottom