Kinyarwanda Kinapanda? Translate This Please...What's This Girl Saying?

Kinyarwanda Kinapanda? Translate This Please...What's This Girl Saying?

Nilichogundua ni raha na fahari kujiita mtanzania, ama kwa sababu ya solidarity tuliyonayo dhidi ya maadui kutoka nje MAHORO anaona ni ngumu kumtetea PAKA na watusi huku akijitbulisha mtusi.

Kwanini asipambane hivo hivo bila kukana utusi na rais wake????
hahahaaa, mi ni mutanzania muzalendo, nina wivu wa kimaendeleo thats why mtu akifanya mazuri namsifia, tanzania 2nahtaji rais kama kagame.!
 
hahahaaa, mi ni mutanzania muzalendo, nina wivu wa kimaendeleo thats why mtu akifanya mazuri namsifia, tanzania 2nahtaji rais kama kagame.!

Ukitaka uwe mtanzania sema we ni mtanzania sio Mutanzania. Jarib kupambana huku ukiita Mnyarwanda.
 
nendeni muwasaidie congo, askari wanaisha kule mpakan wamemchokoza wenyewe.. jamaa haongei sana, ni vitendo tu buta cc watz maneno meengi

mwambie avuke mpaka atajua kama sisi n maneno mengi au..
 
Ukitaka uwe mtanzania sema we ni mtanzania sio Mutanzania. Jarib kupambana huku ukiita Mnyarwanda.

mi nimezaliwa bush na nimekulia huko, kiswahili nimekijulia shule kwahyo hyo lugha cjazaliwa nayo
 
mwisho wa utawala dhalimu wa kitusi unaelekea ukingoni, wahutu ni wahanga wakubwa sana wa propaganda chafu za utawala wa PAKA.waliosababisha mauaji ya kimbari ya rwanda ni PAKA na watusi wenzake kwa sababu ya uchu wa madaraka, DUNIA yote sasa inalitambua hili, subirini kiama chenu!

Hater una hasira sana na kagame,unajifanya mbongo kumbe Rwandese hutu fugitive genocider,rudi kwenu na acha kutumia JF platform to spread your hate ideology towards Tutsi,jela inakusubiri Kigali mtindiga mkubwa wewe
 
sidhani kama kagame ana nia mbaya kiasi hicho, watutsi ni wafugaji wa makundi makubwa ya ngombe hivyo malisho ya mifugo ni hoja ya msingi, pia udogo wa nchi na idadi ya watu ilivyokubwa hana budi kutafuta kila namna kuwaruhusu watu wao wakatafute maisha nje ya rwanda.

Ufugaji wa Ng.ombe si hoja Mkuu, Mbona Switzerland wanafuga? kama eneo lao ni dogo kwanini wasifuge kisasa? kwanini wasilime kwa kutumia green house? mbona Japan, UK ni nchi ndogo lakini zina kila kitu! Itoshe kusema Tutsi n PK wana agenda mbaya na tamaa ya kutawala hata kwa kumwaga damu!!! Tunajua kuwa Watanzania walio oa Wanyarwanda wanaishia kuzalishiwa watoto! Takwimu zinaonyesha kuwa DNA za watoto waliozaliwa na wanawake wa Kinyarwanda wanakuwa wamezalishwa na wanyarwanda wenzao!!! grrrrr Kagame ameenda mbali sana kiasi cha kupenyeza moles kwenye system ya Tanzania ...
 
jMali sielewi ulichoandika kwa kuwa siongei kabisa kinyarwanda kwi kwi kwi...

Najua hamjui lugha ya taifa ya Rwanda, nilikuwa nawatania tu, nyinyi ni watutsi wa bongo, kama kumbukumbu zako nzuri we've been over this before.:A S wink:

cc: murutongore
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Hayo Mauwaji Ya Kimbari Huko Congo Hayajasababishwa Na Rwanda Bali Ni M23 Na Vikundi Vingne Vidogo Vidogo, Wanaopora Mali Za Congo Ni Nchi Zilizoenda Huko Kwa Mgongo Wa U N Eti Kulinda Amani
Kwani M23 ni nani kama sio watutsi wa rwanda?!..
 
Back
Top Bottom