Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,381
Mkuu, Hayo Mauwaji Ya Kimbari Huko Congo Hayajasababishwa Na Rwanda Bali Ni M23 Na Vikundi Vingne Vidogo Vidogo, Wanaopora Mali Za Congo Ni Nchi Zilizoenda Huko Kwa Mgongo Wa U N Eti Kulinda Amani
Kwa hiyo Rwanda ilikuwa kule kulinda amani?