Kinyarwanda Kinapanda? Translate This Please...What's This Girl Saying?

Kinyarwanda Kinapanda? Translate This Please...What's This Girl Saying?

2tamshutumu Kagame Kwa Ku2mia Ripot Za Wakoloni Kwakuwa Sis Ni Bendera Fata Upepo, Lakini Ipo Siku Ukweli Utajulikana. Mti Wenye Matunda Siku Zote Hurushwa Mawe.
 
Marekani Akipora Mali Hakuna Tatizo?? Mbna Tembo Wetu Wanauawa Kila Kukicha Hamsemi. Ni Mara Mia Kagame Anaiba Kwaajili Ya Nchi Yake. He Is A Hero
 
Angalia Kigali Ilivojengwa, Mji Safi, Mzuri, Unavutia.. Michael Jackson Alisharudia Uwanja Wa Ndge Akasema Dsm Inanuka
 
Mkuu, Hayo Mauwaji Ya Kimbari Huko Congo Hayajasababishwa Na Rwanda Bali Ni M23 Na Vikundi Vingne Vidogo Vidogo, Wanaopora Mali Za Congo Ni Nchi Zilizoenda Huko Kwa Mgongo Wa U N Eti Kulinda Amani

..m23 si Rwanda? au?

..what about Wahutu wakimbizi, na Wahutu wa DRC, mliowaua?

..kila mahali yalipopita majeshi ya Rwanda kumpindua Mobutu kuna mass graves.

..ndiyo maana wengine tunasema hii RPF/RDF haina tofauti na interahamwe.

..gazeti lenu la newtimes nalo halina tofauti na kangura kwa propaganda za chuki inazofanya.

cc jMali
 
Last edited by a moderator:
Ni wakati muafaka sasa
kwa Watanzania kuangalia kwa umakini uhusiano wetu na majirani zetu!
Kwanini Uganda, Kenya, Rwanda wako aggressive sana kutaka kushare
rasilimali zetu including ardhi? Kwanini Kagame amekwenda mbali zaidi
kwa kuandaa mpango mkakati wa Watutsi waoe ama kuoelewa na Watanzania
ili wapate uraia wa Tanzania? Kwanini wanaonyesha Tamaa ya wazi kwenye
ardhi yetu?...Naamini JK anapita humu, kama itampendeza namshauri
tujitoe kwenye hilo lijumuiya lenye kila dalili ya kutusababisha tumwage
damu kwenye ardhi takatifu ya watanzania...

sidhani kama kagame ana nia mbaya kiasi hicho, watutsi ni wafugaji wa makundi makubwa ya ngombe hivyo malisho ya mifugo ni hoja ya msingi, pia udogo wa nchi na idadi ya watu ilivyokubwa hana budi kutafuta kila namna kuwaruhusu watu wao wakatafute maisha nje ya rwanda.
 
..m23 si Rwanda? au?

..what about Wahutu wakimbizi, na Wahutu wa DRC, mliowaua?

..kila mahali yalipopita majeshi ya Rwanda kumpindua Mobutu kuna mass graves.

..ndiyo maana wengine tunasema hii RPF/RDF haina tofauti na interahamwe.

..gazeti lenu la newtimes nalo halina tofauti na kangura kwa propaganda za chuki inazofanya.

cc jMali

Kuyafyeka Makundi Yanayosababisha Au Yaliyosababisha Mauwaji Ya Kimbari Sioni Kama Kuna Kosa, Na Yatasakwa Popote Pale Duniani
 
M23 Siyo Rwanda Mkuu, Jaribu Kufatilia Historia Yake Usifate Mkumbo Wa Membe
 
Last edited by a moderator:
ktk nchi za kiafrika kiongozi ni lazima afanye umafyoso ili usavaivu ktk madaraka hata mwl j k n alitumia sana ditensheni ktk kuweka mambo sawa
 
Kwakweli inatia hasira kuona watu waliosababisha mauwajt ya kimbari wanapewa sapot na nchi za tz, s afrka na ufaransa
Kama huyo mama mushikiwago na bosi wake, mnasingizia mauaji ya kimbari watutsi kuhodhi utawala na uchumi wa rwanda. Wajinga tu,.. Tanzania imesaidia ukombozi wa nchi zote afrika ya kusini na uganda ndio ije kuididimiza nchi jirani ya rwanda,.. kwa nini? Hao waliokua jeshi la habyarimana washakua wazee sasa watoto wao wanakosa gani kama sio kuendekeza ukabila. Huyo mushikiwago kwanza sijui kasomea wapi diplomasia hajui kitu kawekwa tu kwa ututsi wake.
 
M23 Siyo Rwanda Mkuu, Jaribu Kufatilia Historia Yake Usifate Mkumbo Wa Membe
Taabu yenu watutsi wabishi sana halafu mnajidai mnajua peke yenu wengine hawajui kitu; kauli yenu ndio ukweli hata mkishikwa ugoni suruali chini ya goti mnasema hamjafanya kitu.
 
Marekani Akipora Mali Hakuna Tatizo?? Mbna Tembo Wetu Wanauawa Kila Kukicha Hamsemi. Ni Mara Mia Kagame Anaiba Kwaajili Ya Nchi Yake. He Is A Hero

Kumbe unajua Kagame anaiba huko Congo lkn ukawa unazunguuka mara M23, mara A.Kusini, France kupitia mgongo wa UN.
Ktk hili suala ni kwamba sisi kama waafrika bado tunatawaliwa na wazungu kwa hiyo Kagame nae anapojifanya Mmarekani kwamba anaenda kuiba jirani kwa ajili ya nchi yake halo Mmarekani wa kweli ndipo anapokataa.
Anachokifanya huwa anapeleka maumivu kwa nchi jirani baadae ili isiwe matatizo zaidi inabidi majirani mumtoe.
Kagame anaiga vitu ambavyo hataviweza huko mbele na mbaya zaidi ni kwamba wananchi wake haohao watamgeuka vibaya sana ingawa yeye alikuwa na nia nzuri na wananchi wake.
Kikwazo kidooogo tu Kagame chali wananchi wanakufa njaa, cha msingi inatakiwa ajitambue kwamba anatakiwa kukaa na majirani zake vizuri na kwa adabu haswa.
 
Mkuu Hapo Unakosea, Kwa Taarifa Yako Kagame Anapendwa Sana Na Wanyarwanda Kuliko Unavofikiri, Na Watu Kama Mimi Wazalendo Wa Afrika Lazma 2we Upande Wake
Hata Hitler alikuwa akipendwa na wajerumani pamoja na udikiteta wake,isitoshe Kagame huko Rwanda anapendwa na watutsi wenzake.
Kagame amewatekeza wahutu wengi sana sio nchini kwake tu anawafuatilia hata nchi za nje nakuwaua huyu bwana mikono yake imejaa damu.
Ni ukweli usiopingika kuwa Rwanda anaitawala kwa mkono wa chuma,wapinzani wake wengi wanaozea jela wakiwemo na waandishi wa habari.
 
Kwakweli inatia hasira kuona watu waliosababisha mauwajt ya kimbari wanapewa sapot na nchi za tz, s afrka na ufaransa

Mkuu aliesababisha mauaji ya kimbari n kagame kwa kushirikiana na tz,baada ya kutungua ndege ya Rais iliyokuwa inatokea A town..
Sasa unaposema Fdrl sikuelewi..
 
Marekani Akipora Mali Hakuna Tatizo?? Mbna Tembo Wetu Wanauawa Kila Kukicha Hamsemi. Ni Mara Mia Kagame Anaiba Kwaajili Ya Nchi Yake. He Is A Hero

Anaiba na kuwaua wananchi wa congo,alafu unamuita shujaa.!una ubongo kweli.?
Ebu chukulia wewe n mCongo na mama yako ameuwawa kwa hvyo vta,alaf unalisikia tahira 1 linasema "kagame is a hero kwa kuiba mali za waCongo kwa ajiri ya nchi yake".???
 
Angalia Kigali Ilivojengwa, Mji Safi, Mzuri, Unavutia.. Michael Jackson Alisharudia Uwanja Wa Ndge Akasema Dsm Inanuka

Kwanini usiishi kigari iliyo na harufu nzuri upo TZ.?
 
Kuyafyeka Makundi Yanayosababisha Au Yaliyosababisha Mauwaji Ya Kimbari Sioni Kama Kuna Kosa, Na Yatasakwa Popote Pale Duniani

..what goes around comes around, na nyinyi mtasakwa hivyo hivyo.

..hata Habyarimana alikuwa ana behave kama Kagame sasa hivi.
 
Ni wakati muafaka sasa kwa Watanzania kuangalia kwa umakini uhusiano wetu na majirani zetu! Kwanini Uganda, Kenya, Rwanda wako aggressive sana kutaka kushare rasilimali zetu including ardhi? Kwanini Kagame amekwenda mbali zaidi kwa kuandaa mpango mkakati wa Watutsi waoe ama kuoelewa na Watanzania ili wapate uraia wa Tanzania? Kwanini wanaonyesha Tamaa ya wazi kwenye ardhi yetu?...Naamini JK anapita humu, kama itampendeza namshauri tujitoe kwenye hilo lijumuiya lenye kila dalili ya kutusababisha tumwage damu kwenye ardhi takatifu ya watanzania...

Acha kuropoka, hauijui historia ya Tanganyika. kwakukusaidia tu.unamfahamu JK Nyerere, unamfahamu KASUSULA Mtemi wa Biharamulo. unamfahamu RUHINDA Mtemi wa Karagwe?. hao ote nilio kutajia ni ni Wanyaru (Watusi) sijui unasemaje na hapo nao walitumwa na Kagame? kubari kataa wanyaru ndio watawara wa A/mashariki. hata M7 wa Uganda nae ni Mnyaru, hivyo KGM hanahaja kutuma watu kuja kuowa huku.Watanzania mshaolewa zamani.upohapo
 
Back
Top Bottom