twebe abatz tulamavya, n'nzya, ibiyenzi namashano, ntabwenge dufite.. ntagibazo kandi n'kuli.
"......niryari izuba rizagaluka egulu yachu,risezya....."
U Rwanda yose......Imana itwebembele URUKUNDO,MIGISHA,AMAHORO N'OBUZINA BWIZA"AMEN.
nimependa maneno hayo ya mwisho mkuu
Kama una misamiati ya kutosha katika lugha ya kiswahili utagundua kwamba kuna kupendwa na kuogopwa... kuna nidhamu na nidhamu ya woga!!! Wewe kama ni mwalimu, lakini kila unapofika darasani unakuta wanafunzi wako kimya kabisa... unaweza kudhani kwamba wanafunzi wako wana nidhamu... inawezekana kabisa walikuwa wanafanya vurugu lakini waliokuona kwa mbali unakuja... wakapiga kimya! Hawa hawana nidhamu bali wana nidhamu ya woga!!!Mkuu Hapo Unakosea, Kwa Taarifa Yako Kagame Anapendwa Sana Na Wanyarwanda Kuliko Unavofikiri, Na Watu Kama Mimi Wazalendo Wa Afrika Lazma 2we Upande Wake
Tanzania haipo upande wa FDLR, Tanzania inashauri serikali ya Rwanda kufanya mazungumzo na FDLR na kuachana na hivi visingizio vya kijinga kwamba FDLR ni kundi la kigaidi madai ambayo kimsingi yanaletwa na Kagame kwa ajili tu ya kuwa-push FDLR!alipoulizwa kuhusu uhusiano na tz, alisema siyo mzuri kwani tz imekuwa upande wa fdlr na inaonesha waz tz inaunga mkongo fdlr iliyoacha makovu ya genocide
kasemaje kwani... pointi gani yaani kaisema hapo; au umeipenda tu kwa sababu kaongea kikwenu...
No sane man or woman would let genocidaire rule Rwanda. I've said this before and I say it again; FDLR will never rule in Rwanda as long as they have blood in their hands and continue to embrace divisionist Hutu Power ideologies.
FDLR ni sawa na makundi mengne ya kigaidi, haliwezi kukaa meza moja na rais wa rwanda.. mbona tz inashoboka sana na FDLR? mbona boko khalam wameteka watoto hamjaenda? mbona AL SHABAB hamuongei???
Tanzania haipo upande wa FDLR, Tanzania inashauri serikali ya Rwanda kufanya mazungumzo na FDLR na kuachana na hivi visingizio vya kijinga kwamba FDLR ni kundi la kigaidi madai ambayo kimsingi yanaletwa na Kagame kwa ajili tu ya kuwa-push FDLR!
Kagame anaamini huwezi kufanya mazungumzo na magaidi... FDLR waliendesha mauaji 1994... miaka ishirini imepita sasa na Kagame hajaweza kutatua mgogoro kwa njia ambayo yeye anaamini ndiyo muafaka... ya mtutu wa bunduki! Sasa ikiwa ameshindwa kutatua mgogoro kwa mtutu wa bunduki kwa takribani miaka 20, ndo ataweza kuutatua kwa miaka mitatu aliyobakiwa nayo madarakani?? Lengo lake hasa ni nini? FDLR waendelee kubaki DRC daima dumu ingawaje wao ni Wanywarandwa au lengo lake hasa ni nini? Kwa sababu, ikiwa hutaki kufanya nao mazungumzo na bado unaona njia sahihi ni silaha wakati mpinzani wako yupo nchi nyingine, tafsiri yake ni kwamba unataka abaki huko huko... sasa ikiwa wewe hutaki kukaa na wananchi wako, unataka wakae na nani?!
Danganyeni wengine... upinzani wa Kagame dhidi ya FDLR ni kwavile tu anaogopa akifanya nao mazungumzo FDLR watageuka kuwa chama cha kisiasa na kv hili ni kundi la Wahutu, PK anahofia watapata uungwaji mkono kutoka kwa Wahutu walio wengi.... Ukabila Rwanda bado upo... ukabila Rwanda umedumu kwa takribani karne tano... hakika hauwezi kwisha kwa miaka ishirini!!
kweli kabisa mkuu. Kuna unafiki unaendelea. Kenya hapa magaidi wanashambulia kila leo lakini hatusikii tamko la kutaka kenyatta aongee na al shabaab. Nigeria na boko haram hawashauriwi waongee. Ila kwa kagame na rwanda ndio nongwa. Kweli kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
Mkuu kama unakumbuka Rais wetu alishauri kwamba jamaa wakae mezani wazungumze. Kimsingi kwa mtu yoyote mwenye busara na mvumiliu na anayependa nchi yake na watu wake, hili ni pendekezo zuri. Uzuri wake ni kuwa Kagame alipkuwa mpinzani tuliishawishi serikali ya Hyabyarimana aongee na Kagame, ingekuwahe kama Hyabyarimana angesema PK ni gaidi?
Unajua kuwaita FDLR magaidi na kusema serikali ya Kigali haiwezi kuongea nao ni kupunguza uovu waliofanya. It is a bit of madness to put FDLR at same level as Al Shabaab. Terrorist groups are dangerous, but FDLR is beyond dangerous. We all know what they did, much worse than what Al Shabaab is doing now or what Al qaeda has done all over the world in all years. It is short mindedness to equate them to terrorists.
I would really like to talk to them and have them tell me why did they kill their brothers and sisters, especially children, or they should tell what did Tutsis and moderate hutus did to deserve such brutal death. But Kagame does not want that, he wants them to face the same fate those killed faced.
fdlr hawawezi kutia mguu rwanda, wamesababisha makovu ambayo ni vigumu kufutika
No sane man or woman would let genocidaire rule Rwanda. I've said this before and I say it again; FDLR will never rule in Rwanda as long as they have blood in their hands and continue to embrace divisionist Hutu Power ideologies.
NasDaz, Commanche, MAHORO, Bongolander, JokaKuu
FDLR imeanzishwa mwaka 2000. Hakukuwa na FDLR mwaka 1994. Waliofanya mauaji 1994 ni interahamwe (ambao most of them are in jail). Majority ya wanachama wa FDLR ni familia za kihutu za kikimbizi nchini DRC, jumlisha na askari walioshindwa vita wa Habyarimana. Kagame na serikali yake wanapenda kuchanganya hivi vitu viwili ili kuwa-discredit FDLR ili isichukuliwe kama chama cha siasa kinachoishi uhamishoni, bali kundi la genocidaires. Lakini hapo hapo kila siku anagawa vyeo vikubwa tu serikalini kwa wasaliti wa FDLR hiyo hiyo anayoituhumu kuwa walihusika na mauaji 94.
Mfano: Meja jenerali Paul Rwarakabije, alikuwa KAMANDA MKUU WA FDLR, alinunuliwa na kagame mwaka 2003 na sasa hivi ni KAMISHINA MKUU WA MAGEREZA RWANDA! Hivi kweli kama FDLR walikuwa ndio interahamwe/genocidaires inawezekana kamanda wao mkuu akawa serikalini leo? kama KAMANDA MKUU WA FDLR hakuhusika na mauaji, then who the hell killed those poor rwandese? jibu nadhani na wewe unalo.
Hiki ni kitendawili kikubwa:
Ukimwambia kagame awape FDLR vyeo NDANI YA SERIKALI YAKE na pesa ili warudi toka DRC, ANAKUBALI HARAKA HARAKA, lakini ukimwambia AONGEE NAO, anakwambia HAO NI TERRORISTS/GENOCIDAIRES ETC, tena anakasirika na kupanic mpaka anatishia KUKU-HIT for suggesting that. Why? because FDLR is the only REAL opposition party. Wakiwa CHINI YAKE hana tatizo kwani atawaendesha anavyotaka, lakini wakiwa DRC bila uangalizi wake ni hatari kwani wataleta matumaini ya ukombozi kwa majority ya wanyarwanda, hivyo ni lazima wawe "magaidi" in DRC, but "angels" when they come back under him!
kwa nyinyi mliosema haya:
INAKUWAJE VIONGOZI WAKUU WA FDLR WANAPEWA VYEO NA KAGAME MWENYEWE (MTUTSI), HALAFU MSEME KUWA ENDAPO WATAGOMBEA KWENYE SIASA HAWATAKUBALIKA NA WANYARWANDA AMBAO MAJORITY NI WAHUTU?
Wrong! FDLR is made up of perpetrators and remnants of the genocide. Kusema eti kwa kuwa ilianzishwa mwaka 2000 basi haina uhusiano na genocide ni sawa na kusema hakukuwa na opposition nchini Tanzania kabla ya 1995. Pili si kweli kuwa interahamwe wote wako gerezani. Umesahau wakubwa wenu wa Ufaransa na Operesheni Torqouise? Ile operation lengo lake kuu ilikuwa ni providing safe passage to FAR and interahamwe ambao ndio waasisi na magaidi wa FDLR.
The good Maj. Gen. Rwarakabije saw the light and decided to repent and go back home to serve his country. In fact there are many ex-FAR and ex-FDLR patriots who are now in the RDF serving their fatherland. Hii ni katika kutekeleza sera ya Kagame ya inclusion na kujenga Rwanda iliyo moja. Wanarudi wanapewa ulaji based on merit regardless of ethnicity. Na hii ndio Rwanda ambayo Rais Kagame anaijenga. Sasa kama Kagame is such an extremist Tutsi, why appoint former hardline Hutus to key posts? Acheni propaganda.
Napenda kweli unavyojichanganya:
1. FDLR is made up of perpetrators and remnants of the genocide: Huyu Rwarakabije je? yeye alikuwa OVERALL COMMANDER OF FDLR! how do you explain that?
2. Operesheni Torqouise: hii operesheni ilikuwa kwa ajili ya kusaidia majeshi ya SERIKALI HALALI YA RWANDA KUPAMBANA NA WAASI WA RPA. Nothing more nothing less.
3.In fact there are many ex-FAR and ex-FDLR patriots who are now in the RDF serving their fatherland: sasa which is which? FDLR unasema ni magaidi na wauaji wa kimbari wanapokuwa DRC, wakirudi waka-join RDF chini ya Kagame wanageukaje patriots?
Imana ishimwe,ihimbazweNibyize, murakoze