Ni wakati muafaka sasa kwa Watanzania kuangalia kwa umakini uhusiano wetu na majirani zetu! Kwanini Uganda, Kenya, Rwanda wako aggressive sana kutaka kushare rasilimali zetu including ardhi? Kwanini Kagame amekwenda mbali zaidi kwa kuandaa mpango mkakati wa Watutsi waoe ama kuoelewa na Watanzania ili wapate uraia wa Tanzania? Kwanini wanaonyesha Tamaa ya wazi kwenye ardhi yetu?...Naamini JK anapita humu, kama itampendeza namshauri tujitoe kwenye hilo lijumuiya lenye kila dalili ya kutusababisha tumwage damu kwenye ardhi takatifu ya watanzania...