Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
- Thread starter
- #81
Mwalimu mwenyewe huyu nitaelewa kweli? Si nitamaliza naongea kimasai kabisa maana hata kilichopo kichwani kitafutikaKazi kwakoView attachment 772241
Mwalimu mwenyewe huyu nitaelewa kweli? Si nitamaliza naongea kimasai kabisa maana hata kilichopo kichwani kitafutikaKazi kwakoView attachment 772241
Kwenda huko sitaki ahahaaKazi kwakoView attachment 772306
Nini shidaKwenda huko sitaki ahahaa
Yep! I can coach you... Ntakuwa nakufundisha kwa kutumia simu. Nakupigia tunajifunza kitu kimoja baada ya kingine. Ntakufundisha uweze kupata listening skills, speaking skills ila writing skills itakuja mwisho...
ras simbaMsema kweli mpenzi wa Mungu,
Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.Kingereza changu ni kibaya sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya nahitaji kujiongeza.
Naombeni ushauri wapi wanafundisha lugha ya kingereza kiproffesional kabisa hapa Tz sana sana iwe Dar.
Asanteni.
Ahahaa sitaki kiingereza cha kuombea maji Mkuu.naitaji kiingereza cha kufanyia presentation kubwa kubwa

Sasa atanifundishaje na Mimi nipo bongo Mkuu?Ikiwa ni kutaka ngeli ya Bc mchek mama mmoja anaitwa Shelly Cornick yuko Britain
www.myieltsclassroom.com
Acha utaniras simba
Kuna jamaa yupo mgodi fulani, atatafuta demu, kama upo interested ni pm.Asante Mkuu.wachumba wapo?
Mimi sio demu ni wife materialKuna jamaa yupo mgodi fulani, atatafuta demu, kama upo interested ni pm.
Nitaongea na nani sasa?njia rahisi ya kujifunza lugha ni kuitumia. anzia kwenye kuongea na kuandika kiingereza kila uwapo.
hili sio swali na kuuliza... tafuta au ongea na mimiNitaongea na nani sasa?
Hayo atajua yeye.Mimi sio demu ni wife material
Mi nataka kwanza kukamilisha ndoto zangu Mkuu.mambo ya wanaume siwezi tenaHayo atajua yeye.
Ni m Canada, yupo njema.Mi nataka kwanza kukamilisha ndoto zangu Mkuu.mambo ya wanaume siwezi tena