Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

Yep! I can coach you... Ntakuwa nakufundisha kwa kutumia simu. Nakupigia tunajifunza kitu kimoja baada ya kingine. Ntakufundisha uweze kupata listening skills, speaking skills ila writing skills itakuja mwisho...
Mkuu utaratibu wako wa kucoach upoje

Mm sijasoma kabisa ila nataka kujua kingereza
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu,

Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.Kingereza changu ni kibaya sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya nahitaji kujiongeza.

Naombeni ushauri wapi wanafundisha lugha ya kingereza kiproffesional kabisa hapa Tz sana sana iwe Dar.

Asanteni.

Hii tabia itakufanya undelee sana, keep it up. Ukijua kuna unahitaji ku improve area fulani kwenye maisha , unakuwa willing kujifunza safi sana Miss Natafuta. Jaribu pia British Council.
 
Hii tabia itakufanya undelee sana, keep it up. Ukijua kuna unahitaji ku improve area fulani kwenye maisha , unakuwa willing kujifunza safi sana Miss Natafuta. Jaribu pia British Council.
Asante Mkuu kila mtu ana mapungufu madogo madogo na ninaamini ukifanyia kazi mapungufu yako unakuwa mtu bora zaidi.haifai kukaa na kujilaumu au kulaumu serikali.
 
Back
Top Bottom