General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Una bidhaa muhimu hapo katikati, unaombaje mchango?Asante mkuu ila Mbona ghali sana jamani? Naombeni mchango jamani nitakomaje?



One night nakupa nusu ya hiyo hela!
Una bidhaa muhimu hapo katikati, unaombaje mchango?Asante mkuu ila Mbona ghali sana jamani? Naombeni mchango jamani nitakomaje?



Ahahaa yaani niuze papuchi nikajifunze kiingereza eti?Una bidhaa muhimu hapo katikati, unaombaje mchango?
One night nakupa nusu ya hiyo hela!
Download app inaitwa quora, ni kama JF, sema kule mnakutana watu wote dunian, mbachangia mijadala tofauti kwa lugha ya kingereza.Quora ni wapi Mkuu?
Asante Mkuu.wachumba wapo?Download app inaitwa quora, ni kama JF, sema kule mnakutana watu wote dunian, mbachangia mijadala tofauti kwa lugha ya kingereza.
Yani utafurahi mwenyewe,
Ukijiuliza maswali km haya ndo unazidi kupotea.Ahahaa yaani niuze papuchi nikajifunze kiingereza eti?
Mimi ni member pia, tunaweza kuyajenga hukohuko, hapa wachawi wengiAsante Mkuu.wachumba wapo?
Acha Ujinga weweBritish Council, Posta.
Wengine tumesoma Kayumba njia nzima mbona hata nanihii tumempita?
Okkk......mi ni kijana ..nakaa tandale...ukweli uwezo wangu naweza kukusadia kwenye field ya spoken na kutamka maneno mbalimbali but only jumapili nd its free of charge kwa yule ambao anaka...kitu kamma 2hr is enough..Nimesoma hadi chuo kikuu miaka mitatu.
Yupo wapi?Umemuona Rasi Simba?
Nilipie kwanza adaMimi ni member pia, tunaweza kuyajenga hukohuko, hapa wachawi wengi
Laki 6OK shukrani sio mbaya ngoja nitaenda kesho kucheki nitaleta mrejesho
Asante mkuuLaki 6
Ingia kwenye website yao jisajili, wako shapu sana kujibu email!
Ras hapanaKijana wangu form one likozo ya mwezi wa sita ndio kitu changwanza kumpangia
Hapo nimepata kitu
Ras
British council
Vipi hapafai?Ras hapana