Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

Msema kweli mpenzi wa Mungu,

Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.Kingereza changu ni kibaya sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya nahitaji kujiongeza.

Naombeni ushauri wapi wanafundisha lugha ya kingereza kiproffesional kabisa hapa Tz sana sana iwe Dar.

Asanteni.
Mwalimu nipo,ndan ya siku tatu tu unaslain utafikir umetoka uk
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu,

Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.Kingereza changu ni kibaya sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya nahitaji kujiongeza.

Naombeni ushauri wapi wanafundisha lugha ya kingereza kiproffesional kabisa hapa Tz sana sana iwe Dar.

Asanteni.
Kama una rununga yako na unapata stations ambazo zina tumia kizungu huwe mara kwa mara una angalia programs zao. Achana na kiswahili kwa kipindi kama miezi sita au mwaka hivi na jaribu kuwa na enviroment ambayo inatumia kizungu zaidi kuliko kiswahili na tembelea nchi ambazo zinazungumza kiingereza kama Zibambwe, Zambia, Kenya na Uganda au hata UK kama unaweza.

Zaidi ya hapo soma Magazeti ya kiingereza na Novals za kiingereza.

Kita kuja tu guaranteed!
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu,

Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.Kingereza changu ni kibaya sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya nahitaji kujiongeza.

Naombeni ushauri wapi wanafundisha lugha ya kingereza kiproffesional kabisa hapa Tz sana sana iwe Dar.

Asanteni.
I advice you to re write this thread in English...practise makes parfect....
 
I advice you to re write this thread in English...practise makes parfect....
to be honesty. I studied at kayumba from primary to university level.
My English is worse, now of God is many ,I have something I want to do , I want to improve.I seek your advice where are they teaching English professional here in Tanzania specifically in Dar?
huyo ni mwenzake wa kaymba nimemwambia amtafsirie kwa kiingereza.
 
Your are not alone, your not the only person who is going through that, I'm experiencing the some problem, but they say knowing your weakness is one step ahead in problem solving steps , don't worry we can join forces, we can study together untill we reach our altimately goals, don't feel shy to hit me up pm. So that we see how we solve this out together. Or you can write down your Skype name, so that we can do Skype for one hour by using English language based on the arranged time tible that we will make. Im hoping this does not sound weird to you.
I'm looking forward to hearing from your.
 
British council sio sehemu sahihi kwako kama hujui kingereza...maana wik 5 lak 7 naamin utaishia kusalimia frequntly tu c zaid....nakushaur kama hutojal ni pm ili nikupe namba ya dada angu uwe unafanya nae mazoez ya kuongea
 
Back
Top Bottom