Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

mhitimu wa chuo anaelekea kwa Ras Simba kusoma ngeli🙂. Pole sana mkuu, wengi tunaunga hivyohivyo. in order to master any language you must speak it in your daily conversations. Tanzanians we only speak english in classes and only to teachers who themselves are not fluent. it's not your fault.
kipo kama hiki changu?😀😉

On serious note. Kusoma Novel na vitabu vingine vya kiingeereza kunasaidia kukuza lugha.
 
Msema kweli mpenzi wa mungu
Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.kiingereza changu ni kama cha naniliu tu.sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya naitaji kujiongeza
Naombeni ushauri wapi wanafundisha lugha ya kiingereza kiproffesional kabisa hapa Tz.sana sana iwe dar.
Asanteni.

British council
 
mhitimu wa chuo anaelekea kwa Ras Simba kusoma ngeli🙂. Pole sana mkuu, wengi tunaunga hivyohivyo. in order to master any language you master speak it in your daily conversations. Tanzanians we only speak english in classes and only to teachers who themselves are not fluent. it's not your fault.
kipo kama hiki changu?😀😉

On serious note. Kusoma Novel na vitabu vingine vya kiingeereza kunasaidia kukuza lugha.
Kweli Mkuu mazingira yanachangia
 
Mimi na tatizo, nikipiga safari zangu kadhaa au kwenye ndoto nakigoga kizungu ile mbaya lakini nikiwa normal siwezi tatizo nini?
 
Sina hakika na hilo,ingia katika site yao nadhani utaona
Ni sehem sahihi sana kwa mtu anaehitaji kujua lugha
Kuna jamaangu alisoma hapo na yuko vzur kwel
Asante bosco .ni muda gani alisoma Mkuu?
 
mhitimu wa chuo anaelekea kwa Ras Simba kusoma ngeli🙂. Pole sana mkuu, wengi tunaunga hivyohivyo. in order to master any language you must speak it in your daily conversations. Tanzanians we only speak english in classes and only to teachers who themselves are not fluent. it's not your fault.
kipo kama hiki changu?😀😉

On serious note. Kusoma Novel na vitabu vingine vya kiingeereza kunasaidia kukuza lugha.
Hawa ndio wakisikia watu wanaongea Kiingereza wanasema wanajidai.
 
Kuna beki tatu wetu mmoja kaishia std 7 ila anakikung'uta kama kazaliwa nacho, ni baada ya kuwa mfuatiliaji mzuri wa series za kidhungu
 
Hawa ndio wakisikia watu wanaongea Kiingereza wanasema wanajidai.
Ahahaa tena tunaitana kukucheka.umenikumbusha kijijini kuna mdada enzi hivo alikuja dar manzese kuwa beki tatu.alivorudi bush tukawa tunamshangaa anavomwaga kiswahili.yaani tulikuwa tunamzunguka watoto wa kijiji kizima tunamuona mjanja tena sio wa nchi hii kabisa
 
Back
Top Bottom