Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba Abrahman Kinana amelazwa hapa hospitali ya Rashidia hapa Dubai na hali yake sio nzuri sana.
wanasiasa bhana wanawadanganya wapiga kura wao wanaenda tibiwa nje,why asingekataa??ili atibiwe amana,mwananyamala au muhimbili???