Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Amjamtumia ngumi za plaza
Leo kwenye whatsapp
 
haya mambo ya kufanya mikutano mingi kwa siku yana watu wake , usione DR SLAA anapiga mikutano 10 kwa siku si bure ! Maana yake ni kwamba yuko fiti !
 
Hivi hawa watu wanamnyenyekea kinana yupo Dubai anatibiwa wakati bibi yako umeshindwa kumlipia kitanda tu muhimbili kwasababu ya ufisadi wa hakina hao hao kina kinana Leo anakula kuku huku akitibiwa wewe bado unajipendekeza. Kwanini kama kweli wana uruma wasitibiwe hapa hapa? Wacheni ujinga wa fikra ndugu zetu wamelazwa chini muhimbili dawa hakuna then hao hao wanatudanganya wenyewe wana ma' Docter wao njee kwa kodi zetu kweli tumelogwa wa TZ
Juli nyerere pia alikuwa anaenda kutibiwa uingereza wakati sisi tunatibiwa mwananyamala na amana.

I know that some of you wish we would all suffer from collective amnesia so that you can twist the history and say juli died at muhimbili hospital.

Juli died in London.
 
Naichukia ccm na wote wanao ipenda hata kama wengine ni ndugu zangu, rafiki zangu au jirani zangu kiukweli nikisikia li ccm moja linaumwa huwa napata furaha ya muda kwani ngoja na wao wapate shida.ndio walio tufikisha hapa.
 
attachment.php
 
Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba..

Abrahman kinana amelazwa hapa hispitali ya rashidia hapa dubai...

Hali yake sio nzuri sana.....
we mwaka mzima anazurura unadhani kazi ndogo?
 
Wewe ni mwongo mkubwa. Julius Nyerere hakuwa anatibiwa Uingereza, na hakuwahi kulazwa hospitali yoyote ile iwe ndani ya nchi au nje ya nchi ukiacha huo ugonjwa uliochukua maisha yake. Ukumbuke pia hata kwenye ugonjwa huo uliochukua maisha yake, Nyerere alikuwa hataki kabisa kwenda Uingereza, jambo lililowafanya viongozi kadhaa kumsihi na kumbembeleza sana ili akubali. Waulize wote waliokuwa karibu naye watakuambia namna Mwalimu ambavyo hakuridhika kabisa na uamuzi wa serikali wa kumpeleka Uingereza.

Nyerere hakuwa kama akina Kikwete ambao kila wakipata mafua tu wanaenda USA.

Juli nyerere pia alikuwa anaenda kutibiwa uingereza wakati sisi tunatibiwa mwananyamala na amana.

I know that some of you wish we would all suffer from collective amnesia so that you can twist the history and say juli died at muhimbili hospital.

Juli died in London.
 
aendelee kulazwa tu huyo jangili...akilazwa mwez mzima watapona tembo 330; akilazwa mwaka mzima watapona tembo 10,000! kulazwa kwa kinana ni kupona kwa tembo na ni kukua kwa utalii na uchumi wa taifa.
 
Aliji stress sana kwenye zile kampeni zake za kufanya feasibility study ya sehemu rahisi ya kupata meno ya tembo bila kukamatwa. Ilibidi abebe matofali, alime kwenye mashamba ya mpunga, achume chai, apande kwenye mapaa ya nyumba nk ilimradi anapata taarifa sahihi za jinsi ya kupenyeza meno.
 
Wewe ni mwongo mkubwa. Julius Nyerere hakuwa anatibiwa Uingereza, na hakuwahi kulazwa hospitali yoyote ile iwe ndani ya nchi au nje ya nchi ukiacha huo ugonjwa uliochukua maisha yake. Ukumbuke pia hata kwenye ugonjwa huo uliochukua maisha yake, Nyerere alikuwa hataki kabisa kwenda Uingereza, jambo lililowafanya viongozi kadhaa kumsihi na kumbembeleza sana ili akubali. Waulize wote waliokuwa karibu naye watakuambia namna Mwalimu ambavyo hakuridhika kabisa na uamuzi wa serikali wa kumpeleka Uingereza.

Nyerere hakuwa kama akina Kikwete ambao kila wakipata mafua tu wanaenda USA.
Ndiyo mnavyojidanganya hivyo. Eti nyerere hauwahi kulazwa hospital yoyote.

Ana bahati kwamba ametawala enzi ambazo Tanzania ilikuwa gizani katika mambo ya mawasiliano na alikuwa akienda Ulaya kwenye matibabu hakukuwa na chadema, wala michuzi, wala twitter ya kuufahamisha umma. Kwa taarifa yako nyerere alikuwa anaugua kama binadamu wengine na alikuwa hatibiwi Tanzania.

Na hoja yako ya kwamba juli alikuwa hataki kwenda kutibiwa ulaya ni hoja ya kitoto iliyojengwa kwa hisia(emotions) kuliko weledi(rationale).

Kwa ufupi, death has exposed juli. Na kama Juli angekufia Tanzania, watu kama wewe mngejenga hoja kwamba "nyerere hakuwahi kwenda kutibiwa ulaya"......

But the proof is in the pudding. Juli died at St Thomas' Hospital. London.

And No, he wasn't in London for official visit. He went there specifically to receive treatment which average Tanzanians have no access to.
 
Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba..

Abrahman kinana amelazwa hapa hispitali ya rashidia hapa dubai...

Hali yake sio nzuri sana.....

huyo nae afe tu! Tusha mchoka na unafiki wake wakati ni mwivi!
 
Get well soon jembe letu Kinana

jamani bado hajafa tu! Aaagh! Ee mungu tunaomba upungue hili shetani lingine tafadhari maana yanatuletea shida tu hapa duniani haya mashetani.
 
Back
Top Bottom