Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Wewe ni mwongo mkubwa. Julius Nyerere hakuwa anatibiwa Uingereza, na hakuwahi kulazwa hospitali yoyote ile iwe ndani ya nchi au nje ya nchi ukiacha huo ugonjwa uliochukua maisha yake. Ukumbuke pia hata kwenye ugonjwa huo uliochukua maisha yake, Nyerere alikuwa hataki kabisa kwenda Uingereza, jambo lililowafanya viongozi kadhaa kumsihi na kumbembeleza sana ili akubali. Waulize wote waliokuwa karibu naye watakuambia namna Mwalimu ambavyo hakuridhika kabisa na uamuzi wa serikali wa kumpeleka Uingereza.

Nyerere hakuwa kama akina Kikwete ambao kila wakipata mafua tu wanaenda USA.

Si kweli. Wakianguka kifafa huwa tunawapeleka kwa "fundi" zao bwagamoyoooo!!!!!!!
 
Kama ni adui yako basi mwombee kheri ili aishi maisha marefu aone kufanikiwa kwako na ajifunze kwa kuyaona makosa yake kwa wazi kuliko wakati mwingine ili wakati ukifika amwone mola wake akiwa amevikwa haki. Na kama ni rafiki mwombee mapenzi ya Mungu yatimie kwake
 
taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba abrahman kinana amelazwa hapa hospitali ya rashidia hapa dubai na hali yake sio nzuri sana.

unasubiri nini sasa kutafuta sindano ya sumu umlahisishie safari yake ya peponi,
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....................... Hujawatendea watanzania haki yani huyo mwizi hastahili kufika hata kesho, ulipaswa kuwa umemaliza kazi ya kumwondoa ndio uje kupost hapa, any way siku nyingine omba msaada utapokutana na jambazi
 
tayari ameruhusiwa muda mfupi uliopita Mungu ni mwema
 
Taarifa nilokuwa nayo hapa
ni kwamba Abrahman Kinana amelazwa hapa hospitali ya Rashidia hapa
Dubai na hali yake sio nzuri sana.

Kinana The legend, hero and Comred get well soon. We see you even The Sovereign Lord see you.
 
Taifa litapona taarifa ikija zaidi ya hapa'
 
Ndiyo mnavyojidanganya hivyo. Eti nyerere hauwahi kulazwa hospital yoyote.

Ana bahati kwamba ametawala enzi ambazo Tanzania ilikuwa gizani katika mambo ya mawasiliano na alikuwa akienda Ulaya kwenye matibabu hakukuwa na chadema, wala michuzi, wala twitter ya kuufahamisha umma. Kwa taarifa yako nyerere alikuwa anaugua kama binadamu wengine na alikuwa hatibiwi Tanzania.

Na hoja yako ya kwamba juli alikuwa hataki kwenda kutibiwa ulaya ni hoja ya kitoto iliyojengwa kwa hisia(emotions) kuliko weledi(rationale).

Kwa ufupi, death has exposed juli. Na kama Juli angekufia Tanzania, watu kama wewe mngejenga hoja kwamba "nyerere hakuwahi kwenda kutibiwa ulaya"......

But the proof is in the pudding. Juli died at St Thomas' Hospital. London.

And No, he wasn't in London for official visit. He went there specifically to receive treatment which average Tanzanians have no access to.

Unamaanisha nini hapa?
 
Health and illness is part of life, everyone suffer from diseases but when loving people like you are with a man then surely their prayers and care has effect and no doubt patient recovers very soon. We are very thankful to you for caring and praying for KINANA.
 
nasubiri kwa ham habari ya kifo cha mr tusker huko alipo nichinje ngombe kwa furaha
 
Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba Abrahman Kinana amelazwa hapa hospitali ya Rashidia hapa Dubai na hali yake sio nzuri sana.

mkuu tupe updates za mgonjwa, kimya kingi au mambo yameharibika huko dubai tuanze kuandaa kadi za michango ya rambirambi.
 
Mbona anaendelea vizuri tuu wala sio Kama unavyoelezea...rashidiyah kuna hospital au unakusudia Rashid Hospital? Kama ni hiyo sio kweli hayuko hapo... Nenda kapate habari kamili urejee tena.....

Siyo MZima wewe. Sasa kama unayotaarifa kamili unataka vipi taarifa toka kwa huyu usiywmuamini?
 
naomba kwa pamoja binadamu wote ambao ni rafiki wa wanyama kwa kushirikiana na tembo wote popote walipo duniani tupige magoti kwa dakika 1 kumuomba Mungu amuondoe jangili huyu duniani, wote natuseme aamen
 
Back
Top Bottom