Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Baniani mbaya kiatu chake dawa si mnawachukia waarabu mnafata nini wao wanatibiwa nje ccm wa kijijini panadol hana
 
Pole sana kamanda nakupenda ingawa mm npo chadema hawa watu nawakubali nchemba,maguful,mwakyembe

miss lucy naona umefunguka Ha ha ha ha ila katika list yako magufuli tu ndo namkubali.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ni mwema amuite haraka ili akapangiwe kazi nyingine ahera
 
Möge Allah nehmen seine Seele und nicht auf tansanischen Land zurückkehren , und wenn möglich lieber Gott zurückkehren ihn tot
Mkuu hiki kiswidish mi naona maluwe luwe,ninachoweza kusema kwa lugha ya kiswahili ni"MWENYEWE"
Kama umeshukuru,mwenyewe.kama umetukana, mwenyewe. etc.
 
tembo wetu kwa kipindi hiki kifupi watasalimika.
 
Mandela kaugulia hospitali za nchini mwake mpaka kufa hii ni kwasababu serikali ya huko imeimarisha huduma za afya kiasi kwamba hakuna haja ya watu kukimbilia India au Uingereza. Hapa kwetu viongozi wetu wakipanda majukwaani wanapiga kelele kuwa wameimarisha elimu na afya. Wakiugua tu au kuchunguzwa afya zao wanakwenda nje. Watoto wao pia hawasomi kwenye shule wanazosema wameimarisha. Hii ni aibu na hasara kwa taifa. Serikali inatabia ya kusema haina pesa kwenye masuala ya huduma za jamii yanayomhusu mwananchi moja kwa moja kama elimu na afya. Lakini inapofika kwa viongozi kulipana posho nono na safari za nje serikali hutasikia ikisema haina pesa. Sasa ndio tunaarifiwa kuwa katika ofisi moja ya umma watu wamefanya kikao cha siku moja na kulipana posho na matumizi mengine yanayofikia Sh bilioni zaidi ya 9. Hii ndio Danganyika. Kinana alipaswa kulazwa Muhimbili au Mwananyamala au Amana ili waone umuhimu wa kuimarisha sekta ya afya hapa nchini. Madaktari wakigoma ili huduma za afya ziiimarishwe, wanawalimbokamabwepande
Hata roma haikujengwa siku moja
 
quote_icon.png
By Mandla Jr.

Mbona mimi sina hizo taarifa???

Kwa hiyo taarifa zote lazima ziletwe kwako siyo .................... poor R1!! Kwa hiyo ujue wameaanza kukuruka kwa vile hawahitaji connection zako tena!!
 
naomba kwa pamoja binadamu wote ambao ni rafiki wa wanyama kwa kushirikiana na tembo wote popote walipo duniani tupige magoti kwa dakika 1 kumuomba Mungu amuondoe jangili huyu duniani, wote natuseme aamen

Haya bana......"Amen"!
 
Nilimwona peku kwenye majaruba ya mpunga akiendesha tiler.

Si alitaka kuwaonyesha wananchi kwamba yupo pamoja nao? Kama angekuwa mkweli ni kwanini sasa hakulazwa kwenye hospitali za hao wananchi aliokuwa anawadanganya kwamba yeye ni mwenzao? LIFE TUU!!
 
Si alitaka kuwaonyesha wananchi kwamba yupo pamoja nao? Kama angekuwa mkweli ni kwanini sasa hakulazwa kwenye hospitali za hao wananchi aliokuwa anawadanganya kwamba yeye ni mwenzao? LIFE TUU!!

Njia ya laghai ni fupi sana mkuu.
Jangili ni muongo hatari kabisa.
 
Habari nzuri kwa tembo wetu labda ujangili utapungua
 
Jamanii hiyo roho mbaya hivyo inatoka wapi? Kinana naye ni mtu hata kama simpendi lakini akifa itanisaidia nini miye?? Natamani aishi miaka mingi zaidi awaone UKAWA wakipewa Ikulu 2015. Ndipo stroke impate akiona kwa macho yake. Ndipo aamriwe kuzirudisha nchini pesa zoote alizoweka huko Dubai na kwingineko. Tununulie madeski ya wanetu hapo Manerumango kwa yule mbunge mwindaji Mahalimaaa. Anayekwenda Morogoro na kujichukulia vijimwana na kuibiwa madolari chumbani huku akivuta maji ya bieeer na kanzu bila hofu.
Acha ccm wapumzike kwa amani 2015 si mbali. Ee Mwenyezi Mungu, mlinde Kinana Abdulrahaman asife kabla hajaona kyama kyake kikifa chenyewe.

hahahahah unatungo kali.
 
Sasa wewe si ndo unaumwa(kwa mujibu wa avatar yako),huenda maralia imepanda kichwani,subiri homa ishuke ukizinduka mwulize daktari anayekuhudumia,atakupa taarifa kamili ni lini ilipelekwa hapo hospitali.

Duuhh, uko vizuri mkuu!!! Siumwi, nimekuja mapumziko kidogo tuu
 
Nyinyi ni waongo kabisa, Kinana yuko Dar Tangu jmamosi, leo kaonekana town. yuko mzima kabisa hakuugua hata kichwa. Anajitayarisha kwa ziara ya Kilimanjaro na Arusha, Ambapo atahitimisha kazi zake kwa kishindo kikubwa
 
Back
Top Bottom