Nyinyi ni waongo kabisa, Kinana yuko Dar Tangu jmamosi, leo kaonekana town. yuko mzima kabisa hakuugua hata kichwa. Anajitayarisha kwa ziara ya Kilimanjaro na Arusha, Ambapo atahitimisha kazi zake kwa kishindo kikubwa
Labda Kinana wa Msoga..lakini Kinana wa Meno ya Tembo ni mgonjwa hoi bin taaban