Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Kinana alazwa Dubai, hali yake si nzuri

Nimekumbuka wimbo huu..

Idd Amin akifa mimi siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba...

Hapo kwa jina Idd Amin unaweza kuweka jina la fisadi yoyote
 
Dah! Mmemshambulia sana Kinana... Ukiwalinganisha yeye na viongozi wenzake wa CCM Kinana anuafadhali mkubwa sana: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Kinana si mtu wa kujikweza hata siku moja, Kina ni hodari sana mchapakazi asiechoka hata kidogo, Kinana ameiokoa CCM isigeuke kuwa kikundi cha mauaji baada ya kuwadhibiti akina Nchemba na Wasira! Kinana amefanikiwa sana kutuliza makundi ndani ya CCM ...otherwise sasa hivi ingekuwa zogo kubwa sana ... Pamoja na Reservations zangu, NAMTAKIA Kinana Afya Njema apone haraka ...
 
Hali imebadilika baada ya dili aliyofuatilia kubumburuka ama fungu halijaingizwa kwenye akaunti?????
 
DUA LA KUKU HILO HALIMPATI MWEWE.....Kinana kupitia dubai tu kosa tayari unamzushia kuwa kalazwa rashidiya....ungekuwa mkweli ungetupia na picha ya hospitali na kitanda alicholazwa au walau ungetuambia chanzo cha habari yako ya uzushi..
Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba..

Abrahman kinana amelazwa hapa hispitali ya rashidia hapa dubai...

Hali yake sio nzuri sana.....
 
Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba..

Abrahman kinana amelazwa hapa hispitali ya rashidia hapa dubai...

Hali yake sio nzuri sana.....
vijana wa buku 7 mnaona mabosi wenu wakiugua wanataibiwa wapi?nyie mwananyamala hospital.Huyo ndiye mzalendo
 
KWA SABABU HAKUNA DUA AMBAYO IMEWAHI KUOMBWA NA BAVICHA NA MUNGU WA KWELI AKAISIKIA.....
nina hakika KINANA atakuwa buheri wa afya.
 
Hivi hawa watu wanamnyenyekea kinana yupo Dubai anatibiwa wakati bibi yako umeshindwa kumlipia kitanda tu muhimbili kwasababu ya ufisadi wa hakina hao hao kina kinana Leo anakula kuku huku akitibiwa wewe bado unajipendekeza. Kwanini kama kweli wana uruma wasitibiwe hapa hapa? Wacheni ujinga wa fikra ndugu zetu wamelazwa chini muhimbili dawa hakuna then hao hao wanatudanganya wenyewe wana ma' Docter wao njee kwa kodi zetu kweli tumelogwa wa TZ
 
Hajaweza kuisimamia serikali itekeleze ahadi na pia hana uwezo wa ktuondoa kwenye umasikini na madeni acha apumzike.
 
Dah! Mmemshambulia sana Kinana... Ukiwalinganisha yeye na viongozi wenzake wa CCM Kinana anuafadhali mkubwa sana: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Kinana si mtu wa kujikweza hata siku moja, Kina ni hodari sana mchapakazi asiechoka hata kidogo, Kinana ameiokoa CCM isigeuke kuwa kikundi cha mauaji baada ya kuwadhibiti akina Nchemba na Wasira! Kinana amefanikiwa sana kutuliza makundi ndani ya CCM ...otherwise sasa hivi ingekuwa zogo kubwa sana ... Pamoja na Reservations zangu, NAMTAKIA Kinana Afya Njema apone haraka ...

Ni kweli!
 
Taarifa nilokuwa nayo hapa ni kwamba..

Abrahman kinana amelazwa hapa hispitali ya rashidia hapa dubai...

Hali yake sio nzuri sana.....

Wakubwa hawa siku hizi wanahifadhi fedha zao Dubai na si Uswisi tena au ktk vile visiwa vya uingereza.
Siamini kama anaumwa ki vile. Nafikiri ni mbinu za kuhalalisha/ kuwadanya informers toja Tz. Ili apate fursa za kukutana na waambata wake huko Dubai.
Nitakuwa wa mwisho kuliamini hilo kuwa yupo huko kwasababu ya kupata matibabu.
Remember: safari ya kainzi.
 
Back
Top Bottom