What a provocative language.... Najua unatumia lugha kumshusha mwanamke. Haijalishi. You don't appear any better in any way, shape or form.
Yes you've made it clear how stupid you can be. Kama huyo dada hajachukua precaution yoyote Kuzuia mimba hadi akaitoa ni kosa Lake Binafsi.
Mfano niliokupa ndo huo huo. Wazazi wanaoishia kuabort, Kosa ni ngono au Kosa ni family planning. Maybe you have comprehension problems..
Hahahaa alafu wote humu wake zao ni chuchu sa sita, how I wish niwaone dooh..Na mimi nimenotice, mtu akionekana kuwa upande wetu anaambiwa anafanya hivyo kwasababu hataki kutukera. Hivi matusi yote na lugha inayotumiwa kumuongelea mwanamke humu, kuna nini kipya hadi mtu aogope kutukera!!!
And it's not about taking sides. It's about truth.
Na ukweli ni kuwa bado jamii yetu ni ya mfumo dume, mwanamke hayuko huru sexually, na hudhalilishwa akionekana kutumia uhuru wake, wakati mwanaume haongelewi kabisa
yaani nataka niweke cd nyingine hapa, karibuNikajua umelala kumbe bado upo, haya njoo tusali then kulala maana usiku ushakuwa mwingi huu.
Good night.
Good night dear
Mwanao atakapokuja na kitumbo muulize haya maswali...Darling, nadhani ujisome tena. Huombwi na mwanamke mwenzako, then what....ukubali tu kisa ni mwanaume? Do you guys even think of tomorrow when giving out yo punanis... Hivi ukichija unasema wanaume wamenifuja? Wewe ulikuwa wapi ukifujwa?
Nimesema, mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi. Kumbuka mimba, maradhi, pepo za ngono, kubadili wapenzi ovyo ni matokeo ya dhambi ya uzinzi.
Hahahaa alafu wote humu wake zao ni chuchu sa sita, how I wish niwaone dooh..
Kuna watu wameoa mascrepa na hata hawajui...
Na ukiwajibu tu we ni malaya, kweli wanawake wasome wajitambue hakuna mkombozi mwingine,na hapa tupo na wasomi tunabishana nao hivi imagine wale wenzangu na mimi waliokimbia shule si ndio itakua majanga
Hahaha åa. ......"watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao???" Aiseee kula like nyingi mkuu statement ya karne hiiKomaaaa tena koma we no Mungu kwani? Tuache tumsumbue kwani wapi kasema hataki usumbufu ? Hata we unamsumbua vile vile na vitatizo vyako uchwara ... Umeniudhi watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao
Ndio maana nimefika sehemu nimeamua kuwatazama tu...kama kuna mtu atashangilia hiii post kwa kejeli zilizoandikwa humu Hahaha aisee basi mtaani wanaume wachache..post yake ya kwanza alikuja kiuchonganishi baada ya kumtikisa akaanza kuandika sensibly...nimemnote huyu mshenga...
Alafu hawa watu tunaobishana nao hapa utadhani hawana madada na mashangazi huko hao ndio mascrepa ajabu huu ukweli hawawezi kuwaambia wanakuja kujificha huku kwa fake ID ati wanarusha mawe teh teh...
Na huyu mshenga anayo biologia yake matata siwezi kubishana nae tena maana tunatofautiana kuanzia hapo,yeye biologia yake imechanganywa na fizikia ukiongeza na experience hahah ngoja niishie hapa
Teh teh teh teeeeeeh! Yaani nimecheka kama mazuri, haya bwana malaika nimekuelewa sitojifuja tena, sema aimeeeen!!
Tuongelee kizazi hiki, cha wanetu kitakuwa kingine kabisa. Naamini hata wewe na wengine wote tutabarikiwa kuwa na watoto, but for now let's deal with 'us'.Mwanao atakapokuja na kitumbo muulize haya maswali...
Darling, naomba unywe maji na utulize tu akili(relax), hakuna malaika humu na wala sikusemi wewe personal, naisemea jamii tu, just as you guys condemn our behaviour nasi tunafanya the same.
Hapana sijakwazika mshenga...siwezi kukwazika na fake ID, I agree to disagree...kwa hili la leo tumetofautiana na siwezi kuficha tofauti yangu ili tu nionekane mnavyotaka nyie,nothing is personal here,no grudges...Brenda, just argue pls. Mimi sijasoma biolojia kihivyo, mifano yangu ilikuwa kifizikia zaidi...umekwazika na mifano yangu? Pole sana.
Yangu ni ID fake lakini bahati mbaya/nzuri kuna watu humu japo hawanijui sana, lakini wanaweza kuniumiza kama wakitaka coz we're pals outside jf, hilo kwangu sio issue coz naongea ninachoamini, na wala simkandamizi mtu...
Mmechukua vitu personal sana baada ya kuandika yale watu wanayofikiri.
Sio lazima kuargue mshenga unapoteza mpaka point,inamaana kizazi kijacho uzinzi utakuwa sawaTuongelee kizazi hiki, cha wanetu kitakuwa kingine kabisa. Naamini hata wewe na wengine wote tutabarikiwa kuwa na watoto, but for now let's deal with 'us'.
Kaka angu huyo, Mungu anipe nini kingine,tehMi nadhani ungeandika tu hivyo - quoted - ujumbe ungefika pia...hayo ya mwanzo ni kutafuta beef tu!
Tunachangia vizuriii, na tutamnyoosha mtoa mada na wanaume wote vikopo vya chooni afu mnachonga chonga badala ya kujifunza kwa Dimond mnangaa sharubu tu.
Ooooops!! Yaani mlichoongea nyie ndio mnakiona cha kweli ila alichoongelea sumbai ni kibaya, kuna mwanaume pia mwanzo alichangia ukweli ila kwakuwa haukuwa ule ambao bad boys waliutaka kuusikia akaambiwa the same thing, aiseeeee kweli kazi ipo.
Oooh ila hii teaching method ya leo umeielewa vizuriiii, acha unafiki bwana shemeji, teh teh teh teeeeh!!
Heeeeey!! Camoooon kila kitu kinajadiliwa humu humu maana mmekuja kwa mrengo wa kujifanya hamna dhambi nyie, hicho ni kichwa tu cha habari ila content yooote ni kejeli,dharau,kujikweza nk nk nk, kwahiyo hata hili lipo ndani ya mada, walaaa haihitaji kuifungulia thread.
wewe, housegirl na atoto kwenye thread moja niliwaambia 'nina tatizo na teaching methods na nyie tutors' mmoja wenu akasema wanafunzi wenyewe vichwa ngumu lazima methods ziwe tofauti na method iliotumika ndio inafaa....sasa thread hii naona mnavyokerwa na method iliotumika,mbona hamna msimamo??Ndio maana nimefika sehemu nimeamua kuwatazama tu...kama kuna mtu atashangilia hiii post kwa kejeli zilizoandikwa humu Hahaha aisee basi mtaani wanaume wachache..post yake ya kwanza alikuja kiuchonganishi baada ya kumtikisa akaanza kuandika sensibly...nimemnote huyu mshenga...
Alafu hawa watu tunaobishana nao hapa utadhani hawana madada na mashangazi huko hao ndio mascrepa ajabu huu ukweli hawawezi kuwaambia wanakuja kujificha huku kwa fake ID ati wanarusha mawe teh teh...
Na huyu mshenga anayo biologia yake matata siwezi kubishana nae tena maana tunatofautiana kuanzia hapo,yeye biologia yake imechanganywa na fizikia ukiongeza na experience hahah ngoja niishie hapa
You call other women scrappers??!!! im just asking.Hahahaa alafu wote humu wake zao ni chuchu sa sita, how I wish niwaone dooh..
Kuna watu wameoa mascrepa na hata hawajui...
Na ukiwajibu tu we ni malaya, kweli wanawake wasome wajitambue hakuna mkombozi mwingine,na hapa tupo na wasomi tunabishana nao hivi imagine wale wenzangu na mimi waliokimbia shule si ndio itakua majanga
wewe, housegirl na atoto kwenye thread moja niliwaambia 'nina tatizo na teaching methods na nyie tutors' mmoja wenu akasema wanafunzi wenyewe vichwa ngumu lazima methods ziwe tofauti na method iliotumika ndio inafaa....sasa thread hii naona mnavyokerwa na method iliotumika,mbona hamna msimamo??
Nawauliza tena,ukiachana na hii teaching method mbaya,je hii mada haina ka ukweli? hamna wanawake wa aina hii? mind you kuuliza hivi sio kushangilia, ni kujaribu kupata kitu kitakachojenga.