stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
Taratibu mama...,Hahaaaaa! Chungu cha kupikia toka lini kikawa dawa? Au sumu ishakuingia akilini? Nilichoelewa mimi kina kuhusu nini? Toa hoja zako sio kunifata makalioni kwenye hoja zangu bila sababu. Huna haya kama kopo la chooni kutwa kuchaaa kuchungulia nyuchi za rika zoteee. Hahaaaaaa! Kajambe mbele.
Mie mpatanishi hodari sana kiongozi. Ila penye reality huwa simumunyi maneno.
Siki hizi maisha yamebadilika sana, tunashindana na dada zetu kwa kila jambo.
Nina jamaa namfahamu, demu wake ameonekana kuwa na tobo kwenye uterus, doctor kauliza straight bila kupindisha maneno, "amewahi kutoa mimba?" Mdada kakataa kw kuapa kuwa hajawahi kuchomoa. Hivi sasa jamaa anahaha kwenda India kupandikizwa mtoto, which will cost $10,000/-.
Tukichezea ujana tujue itafika kipindi tutalipishwa kwa matendo yetu, whether we confess to God or not, whether we pray or not.
What exactly were you talking about?, tutazidi kusikia mkiwa abused na wanaume kila uchao, kwa vile hamjui mali zao wamezipataje.
Mwanamke kazi. Kwa mume dyudyu tu.NYOTA ZINAPOWAKA/KUNG'AA KUWENI WATULIVU WADADA! WENGINE HATA SHULE WANAACHA! WAKITEGEMEA NYOTA ITAWAKA DAIMA!
Shwaini shangingi uliyekubuhu wewe, hakuna mwanaume mwenye pesa zake aliteseka hadi akafanikiwa eti aje aoe takataka na used spare kama wewe, ndo maana mkivamia wanaume wenye uwezo kipesa kila Leo wanawaliza, mmekaa kutamani vilivyo pikwa hamjui hata vilikotoka nyambafu nyie na nilijua tu mashangingi mlioshindikana mtakuja kwa hasira kujibu. hili jiwe limewapiga pabaya sana.
yaani pamoja na age yake kwenda lakini yupo fresh kifuani, huwezi kujifananisha naye
huyo mungu leo kakumbukwa kwelikweli, kila commentNikajua huwa mnachungulia za mabinti tu kanusani kumbe hadi za mama zenu!! Haleluja Lord have mercy
Huwezi kusema wadada wenyewe?mpaka uite vidada mshenga vepeeh au kwenu hamna kina Dada huko,tupe heshima yetu sio vidada ndio nini hicho
Msijitie nyiee hamna matatizo,huo mda wa kutusaidia kulia wewe maisha yako yatakua hayana tatizo I hope...punguzeni unafiki kila mtu ana zigo lake shughulikeni na ya kwenu...
@atoto mada hii ni 'akina dada acheni kumsumbua Mungu' tujadili hii mada.....kuhusu wanaume/wavulana wanaomsumbua Mungu au wenye dhambi wekeni thread yake.
halafu ukisema kila mwanaume anaepost humu anajidai hana dhambi si kweli....
Hapa tunaongelea wanawake na tabia zao, leteni hoja kwa wanaume na ijadiliwe. Wote tuna dhambi. Naona uzi unakupanikisha sista, take a chill pill n relax, utaelewa hoja.
didn't know
Am not biased,kuna mtu huko juu kakuita mchonganishi umekataa lakini ni ukweli utakua ulikua hujui teh...
Nadhani hujaelewa reaction ya wadada hapa ni nini,mimi binafsi mleta mada nimemwelewa sana na ameongea ukweli,tatizo tu ni kaongea akiwa kajiweka kwenye nafasi ya Mdogo sijui secretary wa mungu sio Mungu wangu nimjuae,lugha aliotumia inshort concept anayo ila kaipresent kiumalaika na wadada kiushetani wewe nae ulipotokea badala ya kuchangia mada wadada wazidi kukuelewa unaleta mere expressions not appropriate kwa sasa
Tema points sio kutoa mipasho ka khadija kopa mwanaume wewe mshenga unashangaza......
Kasome kitabu cha tujisahihishe(let us correct ourself) cha J.K nyerere.....
Sipo kutafuta huruma, wala sihitaji huruma mkuu, maana hazita nisaidia kitu.
Ila nipo kusimamia ninacho kiamini regardless nan atakubaliana na mimi au kukataa.
Onesha nlipokuwa dhaifu mkuu, Please...
Hizi ndio dalili za kupanic, am still awake, teh! BTW leo Mungu amekumbukwa sana, refer zile teaching methods ulizokuwa unazi defend, darling!!Ex darling wangu Eli79 yeye hana shida wala dhambi, so muache atusaidie kulia.
I could be worse, depends on how you see it.My ex wewe ndio umepanik hadi ukajisahau kabisaaaa, hizo tabia za wanawake ulizoongelea hawazifanyi peke yao wanazifanya na nyie wanaume, kwahiyo huwezi kuwatenganisha ktk kuliongelea hilo kabisaaa, au kwakuwa nyie miungu watu basi kila mtu hataki wanaume waongelewe? Tunaongelea humuhumu maana hatujifanyi,kujifuja,wala kujimimbisha wenyewe remember.
Hope yo good than that!
Hutakiwi kumkera mtu, akikereka kwa ulichosema hio ni juu yake ndio maana wenzio wamekuona jinsi ulivyobadilika na kuanza kuongea vitu watu wanapenda kusikia. Anyway kila mtu na maoni yake.
Eli79 you're wiser than this.
Hapa Kosa ni ngono kabla ya ndoa au ni uzazi wa mpango?
Hizi si enzi zile. Watu Tuanelewa miili yetu. Labda shida umasikini na kukosa elimu.
Wazazi wanaozaa bila mpangilio mwishowe kutafuta madaktari wa uchochoroni watoe mimba unasemaje? Au wao sio Kosa kisa wamefanya harusi?
Ukizaa bila mpango utakula consequences ndio. Mdada wa chuo anashindwa kuzuia mimba anaenda kutoa. Je walioshia la saba!!
Tulireact kutokana na post ilivyoletwa...
Ukitaka mtu akuelewe,especially mwanamke cheza na jinsi unavyomuelewesha.....
Mkileta vita message haiwezi kuwa delivered...
Kuna watu huko mwanzoni kabisa walitoa ujumbe kwa ustaarabu na wakaeleweka,how you convey your message matters alot...
Kama mnatoa ushauri kwa mipasho basi mtajibiwa hivyo hivyo....
Nyie watu ni wepesi kusahau ajabu....Unakumbuka thread ya mambo kumi yanayokera niliandika 'nina tatizo na teaching methods na tutors wenyewe yaani wewe, @toto na @housegirl mmoja wenu akasema wanafunzi mnatofautiana wengine lazima wafundishwe kwa method hizo[mipasho] na leo mnakunywa dawa yenu.
huyo mungu leo kakumbukwa kwelikweli, kila comment