Swala la watu kupewa ukweli lipo pale pale mkuu,mkuu soma comments zako page ya kwanza na ya pili, utaiona rangi yako halisi, umebadilika baada ya kumuona atoto na heaven, kwasababu hao ni mabeshte zako hutaki wakuone uko against
karibu ugali kwa spinach sijui chineseSwala la watu kupewa ukweli lipo pale pale mkuu,
Sijabadilika kutetea uzinzi na kusema fanyeni au wasichana wadogo kutojitunza hiyo ndio hoja ya msingi...
Kama ningesema ndio hapo ndio ungeona nimebadilika,
Nlichoenda agaist na mleta mada ni kuwaambia wasiende kwa Mungu kusali, hapo nakataaa...!
Hao 30+ walio stressed na disperate acha wamrudie mungu wao....!
That's my standing....!
Unalingine?
Umeleta mada nzur tena constructive ila hapo unapoanza kuattack wakatoliki umepotoka kabisa hakuna ulijualo khs ukatoliki,epuka sana kugeneralize mambo,hebu jikite kwny mada tu uliyoianzisha.Acha hasira za kitoto wewe, umwombe Mungu akusamehe dhambi zako, kisha akurehemu upate mume, unapoomba uwe unataja mistari ktk Biblia.
Mungu huwa anapenda kuombwa kwa ushahidi, kuhusu kuomba rehema soma Kutoka 34:7 na Zaburi 78:38.Kuhusu kuvunja falme za giza zinazokuzuia kuolewa, soma Amosi 9:1-4.na Yeremia 51:20-24.
Ukiingia kwenye maombi hakikisha unatamka mistari hiyo, Mungu haombwi kwa mazoea kama binadamu, na usiombe maombi ya kiroma hayana upako wa Mungu.
Tafuta watumishi wa Mungu wakufundishe kuomba ila wasiwe waroma hao hawajui kumwomba Mungu, na pia uache dhambi maana maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
Kiongozi @sumbai, soma posts zako za mwanzo, then linganisha na posts zako baada ya mjadala kuwa hot. Hakika utapata kitu.Swala la watu kupewa ukweli lipo pale pale mkuu,
Sijabadilika kutetea uzinzi na kusema fanyeni au wasichana wadogo kutojitunza hiyo ndio hoja ya msingi...
Kama ningesema ndio hapo ndio ungeona nimebadilika,
Nlichoenda agaist na mleta mada ni kuwaambia wasiende kwa Mungu kusali, hapo nakataaa...!
Hao 30+ walio stressed na disperate acha wamrudie mungu wao....!
That's my standing....!
Unalingine?
najua hupo katika kutafuta hilo lakini kuna kitu utakijua muda ukifika @sumbai naomba tuvute subira kiongozi wanguKasome kitabu cha tujisahihishe(let us correct ourself) cha J.K nyerere.....
Sipo kutafuta huruma, wala sihitaji huruma mkuu, maana hazita nisaidia kitu.
Ila nipo kusimamia ninacho kiamini regardless nan atakubaliana na mimi au kukataa.
Onesha nlipokuwa dhaifu mkuu, Please...
bora wewe umeona mkuu, mimi nililiona nikapotezea nikajua tu jamaa anatafuta sympath ya wadada, penye ukweli tuongee tu, mademu ni kawaida yao kukasirika wakiambiwa ukweli, hata ukimuambia weaving halijakupendeza atakasirika, so mimi nawachanaga tu baadaye tunacheka kama kawaKiongozi @sumbai, soma posts zako za mwanzo, then linganisha na posts zako baada ya mjadala kuwa hot. Hakika utapata kitu.
It's not my intention to interfere.
Teh teh ngoja waje walee wadada wa jf wenye stress wa 30+ wakuchambeee.....
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....
Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi
Anayo ? Hiyo kitu kidogo? Khe heeee kheeee... mkuu hi vita na 30+ single dada ni vita ya nne ya dunia
Ahaa haaa.....yes. but kuna wale hawajafika thirty but wapo stressed na disperate....
Ila mtoa mada anataka hawa wadada waende wamlilie nan? Jamn...
Wakat maandiko yanasema tumpelekee mizigo nayeye atawapumzisha...?
Dada mtumishi
Kweli kabisa...
Tutaongea kuchangamsha genge but all in all wanaomkumbuka Mungu na kuamini kwamba ipo siku atarekebisha njia mbovu za enz za ujana wao hao wapo salama zaidi.
Hivi Mungu anasumbuliwa?ga.... mtoa mada bwana daaah kaniacha hoi. Sijui anamuabudu na kumtegemea nan?
Ha haa nenda kamsumbue Mungu, hakika atakujibu maombi yako upate haja ya moyo wako. Ila pia akubariki na ujazwe roho mtakatifu ili uache kutuchamba hapaaaaa......
Khaaa
Yes.....
Hamna kuchoka kupiga magoti mbele ya Mungu.
Kwa hiyo wanaolalamika hapa wapo stressed? Wamekimbiwa....!
Hebu nyoosha maneno...
Binafsi sijampangia Mungu wala kumhukumu mtu, wala kumcheka mtu kutokana na hali fulani.
ni 30+ na sio 20+ au wengineo ndio age haswaa mleta mada aliyoilenga. Nlichosema nlisema kutokana na uzoefu wangu wa jf. Mtu akileta mada huwa inakuwaje.... kama ilivyotokea (vichambo, panik, matusi n.k) jiwe gizani kama kawaida.
Otherwise ni changamsha genge, this is jf....!
Ameeeen,
Wanaume halisi hawalii...! Labda wavulana...unaanzaje kulia!?
Kimsingi hii post sio mbaya kabisa, mtoa mada kasema ukweli juu ya vijana kwa ujumla ingawa kawagusia wanawqke kwamba wajitunze enzi za ubinti wao
Hajamanisha wavulana wasijitunze,
Ila alichokosea mtoa mada ni pale aliposema si sahihi kumkimbilia mungu baada ya kuuharibu ujana,
Na kuhusu kugeneralize kwamba wasio olewa wote waliutumia ujana wao vibaya.
Na pia ni kwa kutumia lugha fulani kali tuuu,
Na watu kwa kujihisi daaah hawajambo.....
habari yako mkuu @peterchokabora wewe umeona mkuu, mimi nililiona nikapotezea nikajua tu jamaa anatafuta sympath ya wadada, penye ukweli tuongee tu, mademu ni kawaida yao kukasirika wakiambiwa ukweli, hata ukimuambia weaving halijakupendeza atakasirika, so mimi nawachanaga tu baadaye tunacheka kama kawa
nipo mkuu @ibra87 habari yakohabari yako mkuu @peterchoka
Mwanamke/mwanaume anajichakaza mwenyewe kwasababu hapa tunazungumzia mtu aliefikia/kupita age ya consent,anafanya kitu kwa utashi wake. Ndio maana kuna wanawake wanapiga watu vibuti na kuna wengine hawajui kusema NO.Source ya sisi kumsumbua Mungu ni nyinyi....kuna correlation hapa hatuwezi kusimama kwa wanawake tu...hivi ni mnajitoa ufahamu au ......huyo mwanamke anachakazwa na nanii hebu ongea kama baba mwenye binti ....
Mkuu ngoja nikwambie black and white......wanachosema hawa ndugu ni kuwa 'UNAONGEA VITU AMBAVYO MABINTI WANAPENDA KUSIKIA'. yaani unaogopa kuwakera watakuona sio.....Swala la watu kupewa ukweli lipo pale pale mkuu,
Sijabadilika kutetea uzinzi na kusema fanyeni au wasichana wadogo kutojitunza hiyo ndio hoja ya msingi...
Kama ningesema ndio hapo ndio ungeona nimebadilika,
Nlichoenda agaist na mleta mada ni kuwaambia wasiende kwa Mungu kusali, hapo nakataaa...!
Hao 30+ walio stressed na disperate acha wamrudie mungu wao....!
That's my standing....!
Unalingine?
bora wewe umeona mkuu, mimi nililiona nikapotezea nikajua tu jamaa anatafuta sympath ya wadada, penye ukweli tuongee tu, mademu ni kawaida yao kukasirika wakiambiwa ukweli, hata ukimuambia weaving halijakupendeza atakasirika, so mimi nawachanaga tu baadaye tunacheka kama kawa
Mkuu ngoja nikwambie black and white......wanachosema hawa ndugu ni kuwa 'UNAONGEA VITU AMBAVYO MABINTI WANAPENDA KUSIKIA'. yaani unaogopa kuwakera watakuona sio.....
Hutakiwi kumkera mtu, akikereka kwa ulichosema hio ni juu yake ndio maana wenzio wamekuona jinsi ulivyobadilika na kuanza kuongea vitu watu wanapenda kusikia. Anyway kila mtu na maoni yake.Sasa niongee nini kipya zaidi ya mleta mada? Swala ni kwamba Wamrudie mungu,
Mengine ya kuwakera sina!
Nashukuru mkuu umenisaidia kuwaeleza ukweli maana mimi wanaona kama Nimewaonea sana hasa huyu Shangingi lara 1 ndo kimbele front kuwatetea makahaba,Mie mpatanishi hodari sana kiongozi. Ila penye reality huwa simumunyi maneno.
Siki hizi maisha yamebadilika sana, tunashindana na dada zetu kwa kila jambo.
Nina jamaa namfahamu, demu wake ameonekana kuwa na tobo kwenye uterus, doctor kauliza straight bila kupindisha maneno, "amewahi kutoa mimba?" Mdada kakataa kw kuapa kuwa hajawahi kuchomoa. Hivi sasa jamaa anahaha kwenda India kupandikizwa mtoto, which will cost $10,000/-.
Tukichezea ujana tujue itafika kipindi tutalipishwa kwa matendo yetu, whether we confess to God or not, whether we pray or not.