Disappointed, kila siku huwa unatoa nondo,leo sijui upepo umepita pabaya....au umekataliwa maana huu ni uchungu unaoutoa....
Wewe anza kwa nduguzo wa kike utakuta wanatumika vibaya mno..hebu ngoja nianze siku yangu kwa baraka wacha niishie hapa....
mdogo wangu
@brenda18 kwanza nikuambie tu ukweli kuwa mimi sijawahi kutongoza mwanamke yoyote humu ndani.
Pili sijawahi kukataliwa kwa kuwa Sijawahi kutongoza na wala sinaga tabia ya kutongoza Ovyo.
Ukweli usiofichika na ambao unawaumiza wengi na wewe ukiwa mmoja wapo ni hili nililosema.
Wanawake wengi mnajisahau mnapokuwa kwenye wakati wenu, mnashindwa kujitengeneza kwa wakati ujao.
Mnasahau kuwa maisha yanasonga na Hayarudi nyuma. Mmekuwa ni watu wa kufake kila kitu na wakati huo wote mnakuwa hamumjui mwenyezi Mungu.
Mnafanya vitu kwa makusudi bila kuwa na Hofu na Mungu.. Mnakuwa juu kwa mambo hata ya Kipuuzi bila kutambua uwepo wa athari zake..
Lakini cha Ajabu mnapokuja kuchuja na kuona kila kitu kimekuwa kipa Kwenu ndipo hapo mnapouhitaji msaada Wa Mungu.... Mmemfanya Mungu ni kama Shimo la taka ambazo mliziweka kwa makusudi Licha ya kujua Kwamba Hazifai.
Ni ukweli Usiofichika Jf inaficha Mambo Mengi sana.. Kukosekana kwa sura zetu kumeifanya jf iwe ni sehemu yenye wanawake Wazuri ambao hawana hata kasoro.. Inawezekana mimi nakufahamu kwa sura na wewe wanifahamu hivyo hivyo lakini kile tunachokiandika Humu Kinapita mbali katika Ukweli:
nilichokisema ni kweli.. Wengi mmekongoloka na hampo katika hadhi ya haya mnayoyaandika Humu. Mna Umri mdogo lakini mpo kama ma mama wa miaka Arobaini au hamsini. Muonekano wenu umekuwa wa kutiliwa mashaka na mnakuwa katika wakati ambao mnajuta kwa yale mliyoyafanya.
Kuhusu ndugu Zangu kutumika vibaya hilo sina shaka nao kwa kuwa Kila mmoja ameshakuwa na Mji wake na Anaishi katika ndoa Yake. Hawakupata wasaa wa kumfanyia Mungu majaribio kama Wengine.
Kuhusu kuandika kwangu nondo Kila Siku Hilo ni jukumu langu pale ninapohisi natakiwa kufanya Hivyo.
Mdogo wangu
@brenda18 Hii ni vita. Vita ambayo inapigwana kwa kila aina Ya Silaha. Vita ambayo Haiangalii huyu ni Rafiki Huyu ni nani... Vita ya kutetea kile kilicho Cha msingi... Vita ya kuwarudisha Wanawake Waliopotea Mikononi kwa mwenyezi Mungu. Vita ya kuwakumbusha Cha kufanya kabla Hamjajuta....
Kama Maneno Yangu yamekupiga na umeshindwa kustahimili basi Rudi mikononi kwa Mungu... Yeye Hajashindwa, hajawahi kushindwa na hatashindwa.
Ibra87 hajawahi kumtongoza mwanamke Jf... Au nikupe password Zangu uangalie?
Naamini humu ndani Hakuna mwanamke wa kunifaa mimi kwa kuwa wote ni wale wale tu.
Nisamehe
@brenda18 huu ndio ukweli wangu Ibra87 au Ibrahim Masimba.... Am very sorry mama