Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,448
- 176,423
Teh teh uliona ulicho ki 'kuote'?
dada shem
Mi nimeona maluwe luwe ya masiasa
Hiyo kitu inatokeaga kama wewe siku ileee, sijui huwa ni kwanini hata
Teh teh uliona ulicho ki 'kuote'?
dada shem
Mi nimeona maluwe luwe ya masiasa
Duh! Haki ya Mungu humu ni balaa!Teh teh..Kuna wagonjwa wanamlilia Mungu deile na hawaponi kumbe kuna hawa viumbe ndo wanamkip Aliyejuu bize kwa maombi yao ya kisumbufu..Angrrrrr
Kabla ya wakat wa kupanik haujafika....commonly ni below 30.Usiniambie mleta mada nae hajaolewa kwa wakati, na wakati wa kuolewa ni upi? Hebu tuelimishe
haya dada mkimbilie mungu teh!!!
Yani hata usijali mpendwa, me sio mtu mwepesi kuwa offended. "NDOA NI MUHIMU ILA SI LAZIMA". Kwa mfano nisipoolewa je ( God forbid ooooooh) Mungu atanihukumu tofauti kwa sababu maisha yangu sikupitia sherehe 3 "kuzaliwa, ndoa, kufa"?Duu kwa hekima zako ngoja nikuache tu nisije nikauchafua moyo wako kwa maneno yangu ,ila kuna vitu ni utaratibu wa kawaida wa safari ya mwanadamu hapa duniani ,unazaliwa,una mwacha baba yako na mama yako nawe una ambatana na mmeo baada ya hapo ni tunakuimbia tu si mbalii karibuuu....... ,hivi ni kwanini kwenye sehemu kubwa ya utawala hapa duniani hasa nafasi kama za urais nk mara nyingi hakuna bachelor ??
Uzuri ni kwamba sio wote mizigo dadashem....sijui wanaolewa wote wanaolewa na mizigo? Au wasiolewa inatokana kukosa bahati ya wanaume wasio mizigo?
Heshima ipi hio unaongelea mkuu?kuoa/ kuolewa sio lazima ila inaongeza heshima
Teh teh..Hawa wasumbufufu watafute namna tu kwa kweli..Wanaongeza foleni tuAhaa waacheni wamkimbilie Mungu tuu, yeye ni master anashughulika na wagonjwa plus hao 'wasumbufu' kwa pamoja bila tatizo....
Sasa wasipo msumbua Mungu watamsumbua nani?
Abee....Aisee ........@brenda18...
poa, huwa sina tabia ya kushangilia matatizo ya watu, lakini ukiangalia mtoa mada alikua na point japokua alikua harsh kidogo, ni kwamba kina dada msiwe too selective, na mwanaume wa kukuoa angalia zaidi character yake kuliko possession na appearance, angalia kama ana busara na ni mtafutaji mjaribu alafu uone, kama mbabaishaji achana nae,kama una busara na mwelewa utakua umeona point yangu ila kama ni kilaza utaanza matusi au kuchamba sijui kama mnavyosema
Teh teh...Douta ww ndoa kwako sio tatizo...Ni vile tu bado hujataka..Wanaume kibao wanagonga hodi nawatimua..![]()
![]()
![]()
that's my man and half. Afya ni kitu ninachomuomba Mungu kupita maelezo. Ndoa ni ya muhimu but ndoa sio kila kitu.
Kabla ya wakat wa kupanik haujafika....commonly ni below 30.
Ruka ruka, chuchumaa, lala chali, inuka, vyovyote utakavyofanya huo ndio ukwel.
Hahaha daddy usiwatimue jamani, ntazeeka niwe nakulilia dailyTeh teh...Douta ww ndoa kwako sio tatizo...Ni vile tu bado hujataka..Wanaume kibao wanagonga hodi nawatimua..
Hivi hua nawatafakari wanaume na kauli zenu hata siwaelewi,wanawake wanajizalisha mwenyewe?ama wanachakazwa na wanawake wenzao?Mungu awasaidie nyinyi wanaume maana hamjui mlisemalo na msipokua makini mtaoana mwenyewe kwa mwenyewe mpaka mkome ikiwezeka mzalishane na watoto mjue unatuchosha na maneno yenu ya shombo umzalisha dada wa watu huko na kumtelekeza huko then mnakuja hapa kubwabwaja kua kachakazwa,kachoka acheni dharau.
Hahah sasa hapo uliposema kwa mfano usipoolewa halafu mbele ukaweka God forbid inaonyesha dhahiri hupendi kukaa bila kuolewa ,hivi unaijua nafasi ya mwanamke kwa Mwanaume kwenye ndoa ??? Unafahamu busara za kina Easther ndio ziliwaokoa wa Israel ??? Ndio maana Mungu alimpa Adam msaidizi wa kufanana naye ,kwanini Mungu hakumpa Adam msaidizi mwanaume mwenzake ??? Misingi yote bora inatoka kwenye ngazi ya familia amini usiamini ,unajiskiaje unapo mwona simba dume akiwa kwenye territory yake na wanae na mkewe na watoto na Simba dume mwingine hawezi kuingia kwenye hiyo territory, busara kidogo kama za wanyama zinatushinda wanadamu na ku justify vitu visivyo mpendeza Mungu kuwa ni sawa tu ,Yani hata usijali mpendwa, me sio mtu mwepesi kuwa offended. "NDOA NI MUHIMU ILA SI LAZIMA". Kwa mfano nisipoolewa je ( God forbid ooooooh) Mungu atanihukumu tofauti kwa sababu maisha yangu sikupitia sherehe 3 "kuzaliwa, ndoa, kufa"?
Hizo sehemu za utawala ni kutokana na na standards zetu tulizojiwekea. tunaamini kwamba familia bora ndo hujenga taifa bora. Na mind you sio kwamba ndoa tu ndo inakufanya uwe na uongozi mzuri, mwenye bora ndoa je haiaffect uongozi wake? Sidhani kama kutokuoa/kuolewa kutakufanya uwe na uongozi mbaya, sina uhakika