wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,310
Sikuelew kabisaaa....hasira hufunika upeo wa kudadavua.Hahaaaaa! HAO MLIO WAOA MNAWAFUJAAA KUWAVISHA LUNYAAAA NA KUWALISHA MICHICHA KAMA MBUZI MBONA HAMSEMI HAPA? Wagawa nyuchi kwa kasi humu maofisini njaa kali, ndo ashajipatia kikopo cha chooni, hakina hela wala kismati cha dili. Hahahahaaaa! Msitake niwavue nguo wima wima hapa.
FYI wanambwatogi na hawa hawa viwanaume kama Dai, viserengeti kwa vitu vidogo kama safari. Hahaaaaa! Hii inaitwa EITHER WAY LIFE FU.CKS US ALL. Mnalooooooo hili leo.
SINA COZ I SAY NO TO VIKOPO VYA CHOONI! Paka mwenyewe simfugi itakuwa bwana! Thubutuuuuuuu! Rihanna mwenyewe mume hana, sio kakosa kakataa VIKOPO VYA CHOONI kina Drake. Hahahaaaaa.!
Japo kopo la chooni la mwenzio kwako linaweza kuwa Lulu. Kama mimi Klyn angenipa kikopo chake kimoja tu cha chooni naolewa in 5 minutes. Hahahaaaa
Kwel nimeamin usipoolewa kwa wakat ni pigo la kisaikolojia.