Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

itabid nicheke kwanzaaa maana hata wnaume wnakuja kwa gia ya kuoa then anasepa so ukishafanyiw hivo lazima akija utaon kama yule s unatulia kwanza
 
Hivi hiyo "too selective" ni kwa mujibu wa nani? Kwani hawapo walioolewa na masikini na wasiosoma? Kila mtu huchagua wa kuishi nae, hata nanyi mwachagua haswaaaaa, sasa why mtu ajibebee tu mtu ambae kiuhalisia hata ujilazimishe hisia kwake haziji?
mimi naona kama mmekua "emotional" sana, ikimaanisha ishu ya kutoolewa inawagusa sana, maana dada wengi sana kwa experience yangu wapo desperate kuolewa hata kama umri hajafika 30, kwa sababu wengi wao sio independent.. wanaamini kuwa "mume ndio mwisho wa matatizo" japo wapo wachache wanaojielewa, ndio maana nikatoa huo ushauri
 
Mhudumu niongeze juice ya muwa....naona hii thread ina ukwel ulio wazi sana na watu wamezoea mafumbo....
 
Kabla ya kusoma hii thread sikuwahi kuona ukubwa wa hili tatizo, duuh kumbe kuolewa kunaweza kuharibu saikolojia ya mwanamke vibaya mno !!!
 
Hahaha daddy usiwatimue jamani, ntazeeka niwe nakulilia daily
Bado ajatokea anayejielewa douta..Kuwa mpole tu..Uzuri ni kuwa kadri unavyokuwa ndo unazidi kunawiri..Hata ukifika 60 utaolewa tu
 
mimi naona kama mmekua "emotional" sana, ikimaanisha ishu ya kutoolewa inawagusa sana, maana dada wengi sana kwa experience yangu wapo desperate kuolewa hata kama umri hajafika 30, kwa sababu wengi wao sio independent.. wanaamini kuwa "mume ndio mwisho wa matatizo" japo wapo wachache wanaojielewa, ndio maana nikatoa huo ushauri

Hujanijibu bado, kwahiyo unataka kusema tujizolee tu anayekuja?
 
Heshima ipi hio unaongelea mkuu?
mwanaume aliyeoa na mwenye familia na mwanamke aliyeolewa na mwenye familia na ambaye hajaoa/kuolewa jamii inawaona kwa macho mawili tofauti.
wanaume wengine wanaoa tu ili jamii iwaone wastaarabu na watu wa heshima ila sio kuwa wanapenda ndoa
 
Kabla ya kusoma hii thread sikuwahi kuona ukubwa wa hili tatizo, duuh kumbe kuolewa kunaweza kuharibu saikolojia ya mwanamke vibaya mno !!!
Mkuu ni shidaaaa watu jua likichomoza wanalitukana kwanza...akisikia mwaka mpya umeanza anastuka moyoni km kadungwa jiwe la utosi...akisikia tareh zinasonga anazisonya na kuziona zina kiherehere kwake....kila kitu yeye anakirelate na kuwa out of time.
Bt kila jambo hupangwa na mungu.
 
Mbona washaanza kuona wenyewe kitambooo, na wengine wameolewa na wanawake, tujiandaeni tu kuwaoa maana tuendako hali sio hali.[/QUOTE

Hahaha kwakweli umenena, wanaume wamekua na maneno mpaka basi badala yakusaka noti huko wao nikuwasakama kina dada tu lo! mbona tuna misalaba!!!!ooh tusiwe selective wakati huo wao wanafanya selective yakutosha hebu watuache uko.
 
mwanaume aliyeoa na mwenye familia na mwanamke aliyeolewa na mwenye familia na ambaye hajaoa/kuolewa jamii inawaona kwa macho mawili tofauti.
wanaume wengine wanaoa tu ili jamii iwaone wastaarabu na watu wa heshima ila sio kuwa wanapenda ndoa

Kuna walioa lkn wanadharaulika kuliko hata ambao hawajaoa
 
Hahah sasa hapo uliposema kwa mfano usipoolewa halafu mbele ukaweka God forbid inaonyesha dhahiri hupendi kukaa bila kuolewa ,hivi unaijua nafasi ya mwanamke kwa Mwanaume kwenye ndoa ??? Unafahamu busara za kina Easther ndio ziliwaokoa wa Israel ??? Ndio maana Mungu alimpa Adam msaidizi wa kufanana naye ,kwanini Mungu hakumpa Adam msaidizi mwanaume mwenzake ??? Misingi yote bora inatoka kwenye ngazi ya familia amini usiamini ,unajiskiaje unapo mwona simba dume akiwa kwenye territory yake na wanae na mkewe na watoto na Simba dume mwingine hawezi kuingia kwenye hiyo territory, busara kidogo kama za wanyama zinatushinda wanadamu na ku justify vitu visivyo mpendeza Mungu kuwa ni sawa tu ,
Eeeh ndoa ni ya "muhimu" kwangu, mind you sio lazima. Sio kama nisipoolewa ntajinyonga, hapana, I have too many things to be grateful for. Ila ukiniambia niolewe lazima vigezo na Masharti yangu vizingatiwe. Bila hivyo ntazeeka tu freshhhhhhh. Siolewi kwa mkumbo wala kwa kulazimishwa
Teh God forbid tunaiongelea kwenye kitu ambacho tunawish kisitokee, but kinaweza kikatokea pia vile vile.

Mke ni msaidizi yes, lakini pia mke huyo huyo anaweza akawa your downfall Eg Anania na Safira. Naweza nikawa sijaamua kuolewa pia simply because nazidi kujifahamu nimebeba kitu gani ndani yangu cha kumsupport mwanaume aliyebeba kusudi la aina gani. Nikiolewa tu na mwanaume ambaye amebeba kusudi lisilonihusu, ndoa kushney. Kwa hiyo it's not just about kuolewa, ni unaolewa na nani. Kwa sababu kila mwanaume ni mume, lakini sio kila mume ni mumeo, Msubiri Mr right wako. Mwisho kabisa Ndoa ni wito, na sio wote wameitwa
 
Last edited:
Bado ajatokea anayejielewa douta..Kuwa mpole tu..Uzuri ni kuwa kadri unavyokuwa ndo unazidi kunawiri..Hata ukifika 60 utaolewa tu
Hahhaa kwa hiyo hakuna potential candidate, si tunasubiri tu. Everything happens in God's perfect time
 
mwanaume aliyeoa na mwenye familia na mwanamke aliyeolewa na mwenye familia na ambaye hajaoa/kuolewa jamii inawaona kwa macho mawili tofauti.
wanaume wengine wanaoa tu ili jamii iwaone wastaarabu na watu wa heshima ila sio kuwa wanapenda ndoa
Okei nakuelewa unachosema
Lakini kuliko niwe kwenye ndoa ilimradi kuifurahisha jamii ni bora tu nikose hio heshima...
Kuna wanawake wengi hawajaolewa na wametenda mambo makubwa katika jamii zinazowazunguka na wameheshimika
Ndoa inaleta heshima,ila si hilo tu kuna mengi yanayoleta heshima...
Hivyo basi heshima yangu ntaipata kwa njia nyingine sio lazima ndoa....
Usiishi kufurahisha watu,siku hizi heshima pesa na akili yako tu jamiii hio hio itakukubali....
 
Wanajulia wapi hilo sasa wamekalia majungu tu wanaume wazimaaa na kushangaa chuchu za wanawake, kazi hawafanyi wakishakataliwa ndio limtu kurupuuuuu!! Wafanye kazi huko waache success ziongee.

Teh teh teh akyanani meseji sent
 
Eeeh ndoa ni ya "muhimu" kwangu, mind you sio lazima. Sio kama nisipoolewa ntajinyonga, hapana, I have too many things to be grateful for. Ila ukiniambia niolewe lazima vigezo na Masharti yangu vizingatiwe. Bila hivyo ntazeeka tu freshhhhhhh. Siolewi kwa mkumbo wala kwa kulazimishwa
Teh God forbid tunaiongelea kwenye kitu ambacho tunawish kisitokee, but kinaweza kikatokea pia vile vile.

Mke ni msaidizi yes, lakini pia mke huyo huyo anaweza akawa your downfall Eg Anania na Safira. naweza nikawa sijaamua kuolewa pia simply because nazidi kijifahamu nimebeba kitu gani ndani yangu cha kumsupport mwanaume aliyebeba kusudi la aina gani. Nikiolewa tu na mwanaume ambaye amebeba kusudi lisilonihusu, ndoa kushney. Kwa hiyo it's not all about kuolewa, ni unaolewa na nani. Kwa sababu kila mwanaume ni mume, lakini sio kila mume ni mumeo. Msubiri Mr right wako. Mwisho kabisa Ndoa ni wito, na sio wote wameitwa
Kila la kheri kwenye safari yako na hivi baba yako hapo juu amesema hamna shida hata ukiwa 60 utaolewa tu maana umri unavyo enda ndio unazidi kunawiri .....
 
zari is an independent woman, usimlinganishe na hao wanaoomba hadi hela za vocha eti ampigie mama
Kwa kazi gani anayoifanya zaidi ya KUCHAMBA INSTA USIKU NA MCHANA? Worse off anamchuna ex wake na kutumia na kaka. Si bora hawa wa kitaaa. Puuuuuu! Njaaa mbaya.
 
Back
Top Bottom