Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Baada ya ile mada ya kufungua mwaka ya housegirl nilijua tu kuna jiwe litakuja....well hilo sasa na watu wanatafutana....JF bhana!
 
Mie umri ulishasonga ugali zamani tu hadi tumeshaula, ila Nipo tu kwa kweli. Ntakawia tu, ila nikipata nipate kitu "outstanding" In my kaka @mito voice

Kabisa, hao walamba lipsi acha wazilambe tuuu hadi zibabuke, na kumlilia Mungu hatuachi ng'ooo hadi shetani azidi kushangaa kama hivi.
 
Kazi tunafanya kwa wakati wake.
Teh teh.....! Kwa hiyo wenye haki ya kushinda ni nye tuu humu....!

Huo wakati ni upi? Usiku? We mlinzi shem? Ila bora hata wewe unapoteaga kwenda kuzisaka.
Ndio tushapika ugali tunasubiri mrudi mle ila msirudi mikono mitupu tu tafadhali, utakula kwa jasho ati.
 
Huo wakati ni upi? Usiku? We mlinzi shem? Ila bora hata wewe unapoteaga kwenda kuzisaka.
Ndio tushapika ugali tunasubiri mrudi mle ila msirudi mikono mitupu tu tafadhali, utakula kwa jasho ati.
Teh teh....

Haya shem, ngoja nkafanye kazi....!
 
Kabisa, hao walamba lipsi acha wazilambe tuuu hadi zibabuke, na kumlilia Mungu hatuachi ng'ooo hadi shetani azidi kushangaa kama hivi.
Eeeh ngoja nizame kwenye maombi mara moja. Khaaa what a blessing kuwa na mtu unayeweza kumlilia shida zako naye asichoke kukusikiliza wala kukusaidia. Thanks darling of Heaven
 
Duuh! wewe ni shangingi takatifu, matusi, Naona hili jiwe limekupiga kunako k na kuiharibu yote ndo maana una hasira kama nyoka.
 
Hahaha huu mfano nimeupenda, ana mtoto kaachika mara 3 na bado anaolewa ya nne, kuna ambao wamejitunza na hawajui hata wataolewa lini?hata wa kuwaambia "dada hujambo" hamna, kwenye maisha kila mtu kapangiwa fungu lake, let people be
Endeleeni kupeana moyo ila mkae mnajua gari la mshahara limewaacha.
 
Eeeh ngoja nizame kwenye maombi mara moja. Khaaa what a blessing kuwa na mtu unayeweza kumlilia shida zako naye asichoke kukusikiliza wala kukusaidia. Thanks darling of Heaven

Kabisa, sasa ingekuwa ndio unazama kwa kidonge mbona ungerudi guchogo gumevimba kwa makwenzi.
 
Kwendeni zenu huko ,mnajifanya mid 20s wapi?mnafikiri mnavyolopoka haitoshikujua nini kinasumbua?wewe kaachini kama bahati yako utaolewa hata kama maziwa yamefika magotini,hatakama unawatoto mia,ila haibadilishi ukweli kama ukiwa binti ulichemka kwa umuch know wako ukazeeka kabla ya muda,
Watu wameolewa na 40s na wanaonekana wakawaida tu,tuseme ukweli michezomichezo ya wanaume inafubaza,atakuoa hata kwambia ila anajua we ulikuakijamvi.
 
That's why I said you're a holy shangingi, unadhani ni sifa klyn kuolewa na mzee kwa sababu ya pesa? Heshima ni bora sana kuliko pesa, everyone knows that klyn is in love for money and not for real, huyo mzee ana watoto wakubwa kuliko klyn sasa sijui huwa wanamsalimia shikamoo mama?
Ukijua neno la Mungu ni raha sana you should never be an idiot.
 
Unanikumbusha mbali sana. Hajawahi nitesa alikuwa ananiringia sana. Baada ya kuzalishwa ndiyo ananikumbuka kwa maneno ya faraja na kujifanya yupo ki-future.
:-(
the same apply to me!kumbe wapo wengi wa hivii ee
 
Mama tafadhali zile mimba huwa tunajibebesha wenyewe na hao watoto ni wetu peke yetu, mbona unataka kujisahaulisha!!
Hata mimi naona.....mwe kichwa maji hiki .....khaaaa
 
naona umeamua kutumia fursa vizuri..kuwa baba huruma ili ujipatie likes za mabinti

Yamekuwa haya?????!!. Wala sijaandika ili nipate likes, bali nimeandika ninachoamini kuwa ndiyo ukweli.
Pia kama kuna mtu ataguswa na maoni yangu pia ntashukuru.

Naomba nawe utoe unachoamini kwenye huu uzi usiangalie kupata likes au kutopata wewe andika unachoamini toka moyoni mwako. Na ikitokea haujisikii kuchangia siyo mbaya ile kufungua na kusoma maoni ya wengine pia ni mchango wako tosha kabisa.
 
Hahaaaa! You wish! I am at my mid 20s badooo sanaaa! Ila kuwachamba nawachamba vizuri tu.
Thubutuuuu! uwe na miaka 20 wewe kwa hilo domo lako linaonekana kabisa umepishana na gari la mshahara.
 

Exelent, bravoooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…