Waimba mapambio wao wanasena ni fahari kwa taifa, kivipi tunaomba kwa pamoja tusaidiane kuwa uliza, na je ingekuwa kongamano la kudai katiba mpya gari washawasha ngapi zingeujaza uwanja wa lake tanganyika?Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Typical banana republic stuff!
No.It started with Jiwe
Nchi ngumu sana hiiAliyetuchawia kafa. Just because of Simba na Yanga watu wanarisk maisha yao na ya familia zao.
Corona huwa inaogopa mikusanyiko ya michezo na mikutano ya Ccm,Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Wasipokufa manake hakuna corona.....Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Mwenyekiti anaendeleajeUwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Kirusi kinaogopa mikusanyiko isiyo ya chadema. ukitakawajehapo fasta sema kuna jamaa watano wamevaa tisheti za chadema. utaona difenda za kutosha kama walivyofanya leo huko iringa kanisaniUwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Hiyo "epidemiological standdpoint" umeipata wapi mkuu, au umekadiria tu kwa vile serikali imeipuuza?Corona limekuwa jambo la kisiasa.hivo linaibua hisia tofauti kwA watu tofauti
Serikali ingetoa ufafanuzi huu - kuwa hospitali zetu haziwezi kuhudumia watu wengi kwA wakati mmoja hivyo ni vema kujikinga,ili tusifikie huko......as long as serikali wanavumilia haya ,basi naendelea kuamini in an epidemeologic standpoint,Hali sio mbaya kivile
I'll tell you something.Aliyetuchawia kafa. Just because of Simba na Yanga watu wanarisk maisha yao na ya familia zao.
Ndo maana nikasema hali siyo mbaya kivile...kuna Double standard ya approach zao..Ndimi zao zinashangaa matendo yao wenyeweHiyo "epidemiological standdpoint" umeipata wapi mkuu, au umekadiria tu kwa vile serikali imeipuuza?
Sasa hebu tueleze wewe: unaionaje "epidemiological standpoint" kule kwenye maeneo mengine ambako serikali imekazia pasiwepo na mikusanyiko ya aina hiyo!
Maamuzi haya tofauti unayaona ni ya watu wanaoelewa wanachokifanya?
Ninakubaliana nawe katika jambo moja. "Korona ni jambo la kisiasa", ila ni siasa mbovu sana.
Nakushauri boss uhamie Ulaya ili ukavae barakoa vizuri.Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.
Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!
Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?
Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Wame punt. Mamlaka ya kuzuia wamepewa wakuu wa mikoa na wilaya. What do you expect? Yote ni ili watu fulani waendelee kujaza stadium na wengine wazuiwe kila mkutano wao. Inasikitisha sana.Kuna wakati Magu alikuwa na msimamo na jambo na litaheshimiwa...hapo nimsifu.
Lakini huyu Samia hamaanishi katika vita vyake. Kama ameamua kupigana na corona utoto huu ungepigwa marufuku.
Uvuguvugu wa kiongozi ni udhaifu mbaya sana
Boss unaonaje ukahamia huko kwenye hilo taifa lako linalojielewa?Hii mechi ingekuwa taifa linalojielewa isingechezwa, au ichezwe bila mashabiki, hii Corona tunaigiza kupambana nayo.