#COVID19 Kinachofanyika Kigoma mechi ya Simba Vs Yanga ni aibu kwa nchi

Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Waimba mapambio wao wanasena ni fahari kwa taifa, kivipi tunaomba kwa pamoja tusaidiane kuwa uliza, na je ingekuwa kongamano la kudai katiba mpya gari washawasha ngapi zingeujaza uwanja wa lake tanganyika?
 
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Corona huwa inaogopa mikusanyiko ya michezo na mikutano ya Ccm,

Ilkini kwenye makongamano ya Chadema ndiyo yanaleta corona. balaa.
 
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Wasipokufa manake hakuna corona.....
Ila Kilimanjaro nafikiri ni kitu ingine...
 
Kwa kuwa siyo mkutano wa CDM haina shida! Kwa siasa za nchi yetu CDM inaogopwa kuliko Covid 19! Asikwambie mtu.
 
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Mwenyekiti anaendeleaje
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Kirusi kinaogopa mikusanyiko isiyo ya chadema. ukitakawajehapo fasta sema kuna jamaa watano wamevaa tisheti za chadema. utaona difenda za kutosha kama walivyofanya leo huko iringa kanisani
 
Mechi ikiisha tukutane kwenye show za wasanii wa bongo fleva

Ova
 
Corona limekuwa jambo la kisiasa.hivo linaibua hisia tofauti kwA watu tofauti

Serikali ingetoa ufafanuzi huu - kuwa hospitali zetu haziwezi kuhudumia watu wengi kwA wakati mmoja hivyo ni vema kujikinga,ili tusifikie huko......as long as serikali wanavumilia haya ,basi naendelea kuamini in an epidemeologic standpoint,Hali sio mbaya kivile
Hiyo "epidemiological standdpoint" umeipata wapi mkuu, au umekadiria tu kwa vile serikali imeipuuza?

Sasa hebu tueleze wewe: unaionaje "epidemiological standpoint" kule kwenye maeneo mengine ambako serikali imekazia pasiwepo na mikusanyiko ya aina hiyo!

Maamuzi haya tofauti unayaona ni ya watu wanaoelewa wanachokifanya?

Ninakubaliana nawe katika jambo moja. "Korona ni jambo la kisiasa", ila ni siasa mbovu sana.
 
Aliyetuchawia kafa. Just because of Simba na Yanga watu wanarisk maisha yao na ya familia zao.
I'll tell you something.

Sisi tunaigiza tu. Si unajuwa urahisi wa mawasiliano enzi hizi?

Tunawaona wengine wakifanya, kwa nini nasi tusifanye (hii ni katika mambo ya ujinga tu, siyo yale yenye kutumia akili kuyafanya).

Na ujinga wote huu unasababishwa na tabia za ugonjwa wenyewe. COVID-19 anaua kijanja, kiasi kwamba hawezi kumstua mjinga aone kwamba anashambuliwa na achukue tahadhari ya kujikinga.

Huu ndio ubaya wa corona hadi sasa.
 
Hiyo "epidemiological standdpoint" umeipata wapi mkuu, au umekadiria tu kwa vile serikali imeipuuza?

Sasa hebu tueleze wewe: unaionaje "epidemiological standpoint" kule kwenye maeneo mengine ambako serikali imekazia pasiwepo na mikusanyiko ya aina hiyo!

Maamuzi haya tofauti unayaona ni ya watu wanaoelewa wanachokifanya?

Ninakubaliana nawe katika jambo moja. "Korona ni jambo la kisiasa", ila ni siasa mbovu sana.
Ndo maana nikasema hali siyo mbaya kivile...kuna Double standard ya approach zao..Ndimi zao zinashangaa matendo yao wenyewe
 
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Nakushauri boss uhamie Ulaya ili ukavae barakoa vizuri.
 
Kuna wakati Magu alikuwa na msimamo na jambo na litaheshimiwa...hapo nimsifu.
Lakini huyu Samia hamaanishi katika vita vyake. Kama ameamua kupigana na corona utoto huu ungepigwa marufuku.
Uvuguvugu wa kiongozi ni udhaifu mbaya sana
Wame punt. Mamlaka ya kuzuia wamepewa wakuu wa mikoa na wilaya. What do you expect? Yote ni ili watu fulani waendelee kujaza stadium na wengine wazuiwe kila mkutano wao. Inasikitisha sana.

Amandla...
 
Hii mechi ingekuwa taifa linalojielewa isingechezwa, au ichezwe bila mashabiki, hii Corona tunaigiza kupambana nayo.
Boss unaonaje ukahamia huko kwenye hilo taifa lako linalojielewa?
 
  • Thanks
Reactions: RMC
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom