#COVID19 Kinachofanyika Kigoma mechi ya Simba Vs Yanga ni aibu kwa nchi

Wame punt. Mamlaka ya kuzuia wamepewa wakuu wa mikoa na wilaya. What do you expect? Yote ni ili watu fulani waendelee kujaza stadium na wengine wazuiwe kila mkutano wao. Inasikitisha sana.

Amandla...
I doubt uwezo wa rais kuwa huyu mama atakuwa remote tu
 
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Huo ni uthibitisho mwingine Mungu anailinda Tanzania.

Wewe ombea mabaya unavyotaka lakini kamwe hayatatokea Tanzania. Hakuna hospitali iliyoelemewa wala itakayoelemewa, watu tukiumwa tunaenda hospitali kilichopo ni foleni ya kawaida tu.

Mama Tanzania alitutisha hivyo hivyo kuwa wiki mbili zijazo watz watakufa sana, imeishapita wiki moja na mambo yako shwari.
 
Katazo si linaanza kesho ? Msitusumbue tuache tule mpira biriani🤣🤸‍♂️🐒
 
Serikali inatambua uwepo wa KORO.

Wananchi wanaamini kuwa haipo na hata kama ipo Haina madhara kivile.

Haya try and balance the equation.
 
Huo ni uthibitisho mwingine Mungu anailinda Tanzania.

Wewe ombea mabaya unavyotaka lakini kamwe hayatatokea Tanzania. Hakuna hospitali iliyoelemewa wala itakayoelemewa, watu tukiumwa tunaenda hospitali kilichopo ni foleni ya kawaida tu.

Mama Tanzania alitutisha hivyo hivyo kuwa wiki mbili zijazo watz watakufa sana, imeishapita wiki moja na mambo yako shwari.
Unasema shwari kwa sababu ndugu yako hajafa?

Amandla...
 
Hii aione Samia na yule comedian Dr. Gwajima ambao utashangaa kesho tu wametoka na tamko jingine la "mikusanyiko mwiko" na kila ofisi kuweka vitakasa mikono na maji tiririka.
 
Dr Wolfgang wodarg is a German physician specialising in Pulmonology, politician and former chairman of the Parliamentary Assembly of the Council of Europe. In 2009 he called for an inquiry into alleged conflicts of interest surrounding the EU response to the Swine Flu pandemic.

What he says:
Politicians are being courted by scientists…scientists who want to be important to get money for their institutions. Scientists who just swim along in the mainstream and want their part of it […] And what is missing right now is a rational way of looking at things.
We should be asking questions like “How did you find out this virus was dangerous?”, “How was it before?”, “Didn’t we have the same thing last year?”, “Is it even something new?”
 
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Tunavojaribu kupoint out matatizo tujaribu kuja na solution itatujenga kama Taifa na vizazi vyetu. Infact wote wanaongia ni watu wazima wanajua matokeo ya kujazana sio jukumu la serikali kuact kama monitor kwa kila jambo.
 
Kuna wakati Magu alikuwa na msimamo na jambo na litaheshimiwa...hapo nimsifu.
Lakini huyu Samia hamaanishi katika vita vyake. Kama ameamua kupigana na corona utoto huu ungepigwa marufuku.
Uvuguvugu wa kiongozi ni udhaifu mbaya sana

..SSH anatishwa na watu wa Magufuli.
 
Tuache tushashinda hata hivyo ... mbwembwe zote lakini hakuna atakaetoboa kwenye hii Dunia mzima., acha tufurahie maisha na hawa washirikina Yanga sposi kilabu
 
Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia

Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.

Watu bado wanaingia mpaka sasa

Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti tuvae mabarakoa.

Na hawa watu wametoka karibu mikoa yote ya Tanzania maana yake maambukizi yatasambaa nchi nzima!!

Uwanja unajazaje watu kuliko uwezo wake wa idadi?

Kinachoendelea kigoma muda huu ni utoto.
Wakikusanyika wamevaa barakoa ,wataambukizanaje?Wakati was kumuaga mpendwa wetu JPM walijaa kila kona.Lakin corona iliisha ghafla.
 
Back
Top Bottom