Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Status
Not open for further replies.
KAZI halali ya KUHARIBU CHAMA AMBACHO WATANZANIA WANAKITEGEMEA , KWA AJILI YA NJAA ZENU TU NA TAMAA YA KUMILIKI VITU MSIVYO NA UWEZO NAVYO SIYO ? HIVI UNAIJUA GHARAMA YA KUJENGA CHAMA ?

waliokiharibu si mbowe na slaa-kwani hujui?
 
Tunataka jamii ijue kuwa chadema walikiuka sheria na kanuni baada ya hapo ndipo safari itaanza ya maisha mapya wenyewe mtachoka hamtaamini.

Tatizo hawajui siasa zinavyochezwa.

Endapo Zitto atashinda mahakamani,Chadema ya Mbowe/Slaa katu hawataitisha Baraza Kuu ili kusikiliza rufaa ya Zitto kwani ni risk kubwa kwao wakati Zitto atakuwa hana cha kupoteza.Na Zitto akipewa nafasi hiyo ni wazi atatumia hoja nzito zinazonung'unikiwa na wajumbe hao kujenga hoja ya kuwatenganisha na viongozi hawa na wajumbe wa Baraza Kuu na hivyo kuongeza kasi ya kuparaganyika kwa chama.Na kumbuka kumuondoa Zitto kunahitajika theruthi mbili ya kura za siri za wajumbe,what if hazitafika?ni risk kubwa isiyopaswa kujaribiwa na Mbowe/Slaa.

Pili,baada ya Chadema kutoitisha baraza na hivyo kumuachia Zitto uanachama,au kuitisha Baraza na Zitto kuwavuta baadhi ya wajumbe wa Baraza.Hatua ya pili ni kwa Zitto kuanzisha au kujiunga na chama kingine na kushiriki kwenye shughuli zote za kukijenga na kukiimarisha chama hicho ikiwepo vikao na mikutano ya nchi nzima lakini bila kurudisha kadi ya Chadema.Hii itamwezesha pamoja na kukijenga hicho chama lakini pia kuendelee kutumia jukwaa la Bunge kuonyesha uwezo wake wa kuwatetea wananchi Bungeni na kutoa mbadala wa upinzania wa kweli ndani na nje ya Bunge.

Hivi ndivyo walivyofanya Uhuru Kenyatta na William Rutto kwa kuanzisha vyama vyao vya TNA na URP huku wakiendelea na ubunge wao kwa vyama vya ODM na KANU respectively.Na kwa kuwa Zitto ana uwezo wa kulitikisa Bunge,hivyo atakuwa na nafasi nzuri kupitia Bunge sio tu kutoa hoja za kutetea wananchi na nchi lakini pia kujijenga mwenyewe na chama chake.

Na kwa kuwa Zitto ana uwezo wa kuwaunganisha wapinzani wengine wote Bungeni,na ana uwezo wa kuwavutia au kuwalazimisha kwa shinikizo la umma Wabunge wa CCM na Chadema kukubaliana na hoja zake,na mwishowe kuonyesha uongozi wake ambao Mbowe hana uwezo wa kuuonyesha Bungeni.Hivyo

Chama cha Zitto kina nafasi nzuri ya kujenga timu kubwa na nzito kuelekea 2015 na ata kuchukua dola kama CCM itagawanyika,maana ikigawanyika wataotoka hawatakwenda kwa chama-kampuni(Chadema) bali kwa chama cha kidemokrasia chenye kukubali mabadiliko(Zitto).Nauona mwisho wa zama ya Chadema na mwanzo wa Zitto aliyekomaa mwaka 2015.

Na hii ndiyo njia ninayodhani anapaswa Zitto aipitie kuelekea 2015.
 
Mkuu njoo posta uone halaiki badae

H.C iko posta au mkifika pale mtajichanganya na abiria kisha upige picha utuwekee hapa.
Watanzania mpaka siku tutajielewa sijui ni miaka million ngapi ijayo.
Wewe magetisita mwenyewe hujitambui hicho unachokifanya ni kwa faida ya nani.
 
Mageti sita hayuko Kigoma yuko na kix wakiandaa mpango unaoratibiwa na mbunge wa Nccr Mageuzi aliyefukuzwa na sasa anabebwa na mahakama. nice2
 
Last edited by a moderator:
ifweero utakuwepo HC?

APA NDO TNAPOPATA USHAHIDI KUWA WANA CCM WANAJIINGIZA KT MZOZO WA CHADEMA, PIA SASA TNAAMINI ZITTO NI KIBARAKA WENU CCM NA MDA WAKE NDO PUNDE UTATIMIA. Shwain wakubwa

PILIPILI YA SHAMBA YAWAWASHA KWELI CCM
 
Last edited by a moderator:
TAAHADHARI
Wapo kundi la vijana ambao ni wakutengenezwa nasikia wanasubiri tukifika HC waje kuanzisha fujo wajidai wanadai hela kutoka kwetu, eti tumewanunua n hatujawlipa..ninachosema hakuna anaetudai.

Mkuu nakushauri utakapokwenda kujadili issue ya kupendekezwa kwenye bunge la katiba usiende peke yako.
 
I think the best idea kwa Zitto,kwa kuwa na wingi wa wafuasi namna hiyo,walio radhi kujitoa kwa ajili yake.Ni vema akaanzisha chama chake coz mtaji tayari anao wa wafuasi.
 
Nimependa pale uliposema kuwa jiji la dar linaenda kusimama kwa muda.
Kweli CHADEMA ni baba lao, inaenda kusimamisha jiji la Dar.
 
Mjinga ni mbowe ambaye katangaza na kukiri kuchukua fedha yoyote hata iwe haramu au ya mpinzani wake wakati wa kampeni za uchaguzi-mtendaji mkuu too local(waraka)

Mbewe siyo mchagga bhana
 
Nadhani hapa Newton third law of motion ina fanya kazi yake. Zitto kasemwa sana na wewe ukiwa mmojawapo na muda wote huo kanuna tu hakuwa anajibu. Yale aliyokuwa anasemwa nayo ndio yanamhukumu katika mass na kwenye vikao vya ndani vya chama kuna mengine. Huu ni wakati wa kuonyesha kwamba Zitto is not a pushover kama anavyosema mwenyewe. Kama ni madhaifu anayo lakini haiwezekani madhaifu yake yamfukuzishe uwanachama lakini wenyewe madhaifu yaleyale waendelee kuhukumu wenzao. Waliotumia nguvu kumchafua nawao wakubaliane na majibu ya Zitto. Mimi niko upande wa Zitto kwenye hili. Wanafiki ni lazima wasemwe wazi na sio kuchagua kuchagua. Mbowe kahongwa na Nimrodi Mkono kuuza jimbo nae kukubali hadharani. Kahongwa na Rostam Azizi kakubali. Why Zito na sio Mbowe? Nakubaliana na wewe kuwa taifa lina mambo mengi ya kujadili lakini wanaopelekea mambo hayo kuwa mabaya ni hawahawa tuwanyamaziao na kuwaona wengine ni waovu. Mtizamo wangu.

Duuuuh!!!
cc😡elli
 
Mpwa wangu CHAMVIGA, naomba ikumbukwe kuwa Mbowe ni mwanadamu kama walivyo wengine, anayo ya kwake mabaya na pengine na mema!!! Ukifika muda wa yeye kutakiwa kujibu si atajibu kama alivyojibu Zitto na wengine? kwasasa ni Zito na rafiki zake, yakiisha ya zito kama kuna hilo la Mbowe na wengine yanazungmzika na ukiwepo ushahidi si yatafikishwa kwenye vikao halali? Concern yangu ni hili vugu vugu linaloendelea sasa la kumspoti Zito na kukuzwa sana kwa kesi hii wakati kwa mtazamo wangu mimi ELLI ni kwamba hakuna haja ya kuendelza ushabiki huu ambao maamuzi ya mahakama hayatakuwa na impact yoyote kwa Chama. so why are we investing so much kwenye hili? ndio swali langu la msingi, kuna issue ya kupanda kwa umeme, kuna ndugu zetu wamezama maji huko Zanzibar, elimu yetu iko taabani huduma za afya ndio usiseme, tuna katiba mpya na issues kibao mbele yetu, why are we wasting so much time kufanya vurugu kwajili ya kumsapoti mtu ambaye amekiri makosa yake? tuiachie mahakama na Kamati za Chadema zidili nae sisi wengine tuendeleze mijadala yenye maslahai kwa nchi. Sema neno
Du!a
Watu wengine mna analyse mambo utafikiri ni watoto wa chekechea!!!

Hata baada ya Wassira kusema hadharani kuwa CDM lazima ife kabla ya 2015 bado hamkumwelewa.
You guys planted your own seeds of destruction, na tatizo kubwa mnashindwa kuappreciate the fact that makosa mengi sana yako kwenu.

CCM haikuwatuma kina Mbowe Dubai, wala kula ruzuku, wala kuonana na Mkono kwa mshiko.
 
Wakuu naingia meeting ntarejea badae
 
Acha kudharau watu kutokana na makazi, temeke ndio wapiga kura wakuu.. Mimi nakaa survey lakini tokaa asubuhi nipo temeke, hawa nao ni wananchi acha darau binti

dharau ikowapi hapo maget sita? Dhamira yenu haitatimia walah nakuambia, jiulze tmk kuna hata diwan ama mw/kiti wa mtaa wa CDM km kweli ndo wapga kura wakuu? Ni muda tu, ukifika itafahamika
 
Umepanic nini angalia alivyotoa macho
Kwenye centre mirror ya gari yaani
Miccm imeharibiwa mpaka na sura
Yako kishetanishetani tu lakini Mungu ni mkubwa
Atalikomboa tu taifa hili bado kitambo kidogo tu
Siyo Shonza huyu kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom