Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,443
- 100,734
Mpwa wangu CHAMVIGA, naomba ikumbukwe kuwa Mbowe ni mwanadamu kama walivyo wengine, anayo ya kwake mabaya na pengine na mema!!! Ukifika muda wa yeye kutakiwa kujibu si atajibu kama alivyojibu Zitto na wengine? kwasasa ni Zito na rafiki zake, yakiisha ya zito kama kuna hilo la Mbowe na wengine yanazungmzika na ukiwepo ushahidi si yatafikishwa kwenye vikao halali? Concern yangu ni hili vugu vugu linaloendelea sasa la kumspoti Zito na kukuzwa sana kwa kesi hii wakati kwa mtazamo wangu mimi ELLI ni kwamba hakuna haja ya kuendelza ushabiki huu ambao maamuzi ya mahakama hayatakuwa na impact yoyote kwa Chama. so why are we investing so much kwenye hili? ndio swali langu la msingi, kuna issue ya kupanda kwa umeme, kuna ndugu zetu wamezama maji huko Zanzibar, elimu yetu iko taabani huduma za afya ndio usiseme, tuna katiba mpya na issues kibao mbele yetu, why are we wasting so much time kufanya vurugu kwajili ya kumsapoti mtu ambaye amekiri makosa yake? tuiachie mahakama na Kamati za Chadema zidili nae sisi wengine tuendeleze mijadala yenye maslahai kwa nchi. Sema neno
Nadhani Zitto anakili kubwa sana kuliko fikra zetu zinavyomfikiria. Time ndio itatupa majibu. Vipi Elli kuhusu ufisadi wa Mbowe unauzungumziaje?
Last edited by a moderator: