boyskillz
Senior Member
- Apr 29, 2013
- 109
- 104
pipozzzzzz weakness......... Am #teamZitto
Unganisha dots mkuu. Kwa nini wale washika mabango wa zito karibu wote wanatojea Temeke,Tandika nk?.Yule aliyepigwa nae nasikia anatokea Temeke! Angalia kwa jicho la tatu,utabaini kitu! Hapo hauwaoni wa jimbo la Ubungo,Ilala wala Kawe!
kama ana wafuasi wengi na anajiamini kwamba anawanachama wengi..si ni bora akaanzisha chama chake..sasa hivi pale kashaonekana msaliti.hata kama mahakama ikimpatia ushindi haitamsaidia..kama kweli anajiamini aanzishe chama chake na nadhani atapata kuungwa mkono sana na wana ccm..
Nyie ndio muondoke. Au unadhani hicho chama ni cha nyumbani kwenu?Mnang'ang'ania nini huko chadema kama hawawataki si muondoke na huyo zitto mwende kwingine...wenye chama hawawataki ninyi mnang'ang'ania sasa wakisema mnataka kuvuruga chama mtakataa?
mkuu umenena..hapo ndo ujue wanavyomtumia..lumumba wanakesha kwaajili ya hii kesi..wanaacha kushughulika na jinsi gani watamshawishi mzee wa magogoni ili awapunguzie wananchi wake kupanda kwa gharama za umeme wao wanashughulika na kupandikiza migogoro kwenye vyama.wao hawajui mwananchi anakupenda wakati anapoona makali ya maisha yanapungua na serikali kuonyesha ina uchungu na kupanda kwa vitu .Nayo magazeti yetu ni ya ovvyo sana..kipiti hiki ndo wangekuwa wanaandika jinsi wananchi wanavyolalamika na kupanda kwa bei ya umeme yao yameegemea siasa tu.wangeandika kama mara tatu au nne kwa magazeti tofauti serikali ingepata woga na ingefikiria namna ya kufanya..waandishi wamekaa kimya kama vile huu upandaji haujawagusa..hiki ndo kipindi cha kupiga kelele kuanzia redioni,magazetini,na sehemu mbalimbali zenye mjumuiko wa wananchi,,serikali isikie kilio chetu cha upandaji wa umeme kwani inapandisha gharama za maisha,na kila kitu kinapanda.Mkuu sixgates waambie hao wafuasi wa Zito kuandamana hiyo ni haki yao kisheria. Tena wanatakiwa wawe wengi sana. Ila watambue Zito na CCM sio watu wanaokubaliana na maandamano japo ni haki ya kikatiba. Sasa itakuwa vizuri ili itakapotekea watanzania watakapoamua kuandamaana kuhusiana na kupanda kwa bei ya umeme wasiseme kuna mambo ya kiintelijensia kwani tozo la umeme lina athari ya msingi kwenye maisha ya watanzania kuliko Zito kupata madaraka akiwa chadema.
Pamoja na ruzuku ya chamaMsaliti ni MBOWE kwa kula pesa za mkono na rostam
Hebu taja tena hayo maeneo,umesema Manzese,buguruni na temeke?,wow that's interesting!,mbona ni ngome za CUF hizo hao wafuasi wa CDM wametokaje Huko?
Mkuu wala usipate taabu nae mageti 6 ndo anaratibu hiyo kitu yupo seat ya kati wakati dereva ni mdada....mfanye mfanyavyo Iskariote anafukuzwa mumchukue kama mnaona anawafaaMbona kama ww ndio unawakusanya na kuwaswaga hao vijana?
Ccm mmejiingiza kwa nguvu cdm.
Alafu wataalamu wa picha watatuambia nani ww maana unaonekana kwenye kioo cha ndani cha gari.
Kumekucha!!Baada ya hukumu ya pingamizi la Zzk kutosomwa jana kuaahirishwa mpaka leo saa nane mchana, hali ya taharuki kutokaana na matokeo ya hukumu hiyo imetanda, yamkini hukumu hiyo haikusomwa jana kw sababu ya tamko la mwanasheria wa CDM kuhusu uwepo wa Zitto CDM ni kw sababu ya kimahakama,kw hiyo mahakama inatambua impact ya maamuzi yaake leo.
Nimepita manzese nimepita buguruni, sasa tupo temeke mwisho tunatoka kuelekea mwembe yanga (sio viwanjani), yapo magari, na mapikipiki yamechomekeza bendera za chadema (wanasema wao ni wanachama,wanakuja H.C na kadi zao) woote ni #teamZitto ..nimepenyezewa ratiba ya wafuasi haawa wa Zitto naambiwa watawapitia wenzao wa buguruni, watapita manzese then wataingia mjini posta wakilakiwa na kundi jingine ambalo limejiandaa kuwafanyia mapokezi.
Historia inakwenda kuandikwa ambapo jiji la DSM litasimama kw muda kusubiri hukumu hiyo ya kihistoria mbayo itaandika dibaji katika harakati mpya za kidemocrasia.
-------------------------
-------------------------
More info:
Zitto anatarajiwa kuongea na wana wa hili taifa mida ya saa kumi, tutaawjulisha venue itaakuwa wapi..
---------------
---------------
Picha
Nitaendelea kuwaleteeni taarifa
![]()
Mkuu umepanic
Sijawadharau mkuu,mimi mwenyewe nakaa Tandika Davis corner. Lakini nimejiuliza mbona huku kwetu ndio tunatumika sana!?Acha kudharau watu kutokana na makazi, temeke ndio wapiga kura wakuu.. Mimi nakaa survey lakini tokaa asubuhi nipo temeke, hawa nao ni wananchi acha darau binti
Kwanza kabisa kwenye matatizo na migongano ndipo tunajua aina ya viongozi tulionao katika nchi hii. Wacha leo nimuongelee huyu mweshimiwa Zitto Zuberi Kabwe nitamuongelea katika nyanja ya uadilifu wake wa kutangaza mali zake anazomiliki.Baada ya hukumu ya pingamizi la Zzk kutosomwa jana kuaahirishwa mpaka leo saa nane mchana, hali ya taharuki kutokaana na matokeo ya hukumu hiyo imetanda, yamkini hukumu hiyo haikusomwa jana kw sababu ya tamko la mwanasheria wa CDM kuhusu uwepo wa Zitto CDM ni kw sababu ya kimahakama,kw hiyo mahakama inatambua impact ya maamuzi yaake leo.
Nimepita manzese nimepita buguruni, sasa tupo temeke mwisho tunatoka kuelekea mwembe yanga (sio viwanjani), yapo magari, na mapikipiki yamechomekeza bendera za chadema (wanasema wao ni wanachama,wanakuja H.C na kadi zao) woote ni #teamZitto ..nimepenyezewa ratiba ya wafuasi haawa wa Zitto naambiwa watawapitia wenzao wa buguruni, watapita manzese then wataingia mjini posta wakilakiwa na kundi jingine ambalo limejiandaa kuwafanyia mapokezi.
Historia inakwenda kuandikwa ambapo jiji la DSM litasimama kw muda kusubiri hukumu hiyo ya kihistoria mbayo itaandika dibaji katika harakati mpya za kidemocrasia.
-------------------------
-------------------------
More info:
Zitto anatarajiwa kuongea na wana wa hili taifa mida ya saa kumi, tutaawjulisha venue itaakuwa wapi..
---------------
---------------
Picha
Nitaendelea kuwaleteeni taarifa
![]()