Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Status
Not open for further replies.
Kamanda sasa hapo kuna kazi gani inapigwa?

Mpaka watu washike vigari vya watoto ndio kupiga kazi au?

9.jpg
 
Jamani natafuta thread ya update ya leo by Yeriko nyerere au leo amezidiwa nguvu ndio maana amepiga kimya.
 
Last edited by a moderator:
taifa la wajinga, kuna shuhuli nyingi za kufanya watu wanaangaika na huyo mchumia tumbo.
 
taifa la wajinga, kuna shuhuli nyingi za kufanya watu wanaangaika na huyo mchumia tumbo.
Mjinga wewe unayetetea wanasiasa uchwara wanaovunja katiba za chama kwa makusudi.
 
m4cjb, ni kweli, hao ni mapandikizi! Mwanachama anayejua taratibu za chama, hawezi fanya upuuzi huu!
 
Nyie mnaowasha boda boda zenu kwenda kuandamana hakikisheni mmepewa na hela ya kuacha nyumbani kabisa,sio mnaacha kazi kisa kushabikia walioshiba huku watoto wenu na wake zenu wanakufa na njaa.
 
Sixgate kwenye tahadhali yake amesema
Hakuna anayewadai hivyo imethibitika
Kuwa kuna biashara imefanyika na kwamba
Wamelipana hakuna anaemdai mwenzake
Sasa six gate atwambie wamewalipa vijana
Kwa kazi ipi na kwanini alipe na ni
Demockrasia gani ya kununuliwa na kununuaa?
 
Chadema chumbani imeshikilia maamuzi ndani ya chama wakati chadema sebuleni inasupport ya watamzania.
 
Mbona povu ndugu? Ushaur: Muwe tayari kwa kila aina ya maamuzi ya HC..Isije mkaanzisha vurugu..
 
Huyo Dada anayeendesha gari nimemfahamu....basi na muhusika mpiga picha nimemgundua...dahh sikutegemea,ni kwa vile ”name calling“ ni kama jinai humu Jf!!!ndio maana wamekuwa benet all the time....na hii kazi ya kutumwa na Zitoo kuwakusanya vijana usiku kucha ni aibu,hamjalala leo mkizunguka vijiwe vya.bodaboda....ni aibu sana
Wataje tuwajue ...unawaogopa?
 
Chadema haitafika 2015 itakufa by Wasira now CCM is working kupitia Zitto.
 
Mkuu CHAMVIGA upo wapi?? Utakuwepo H.C?

Hapana mkuu mimi nipo nje ya daresalam. Ila nazitambua juhudi zako za kusimama upande wa oppressed. Piga kazi sisi tunasoma kinachoendelea kupitia jukwaa kali na la kipekee jf'.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom