Hivi MBOWE na SLAA walishatangaza mali wanazo zimiliki?Nahoji uzalendo wa zitto
Kwanza kabisa kwenye matatizo na migongano ndipo tunajua aina ya viongozi tulionao katika nchi hii. Wacha leo nimuongelee huyu mweshimiwa Zitto Zuberi Kabwe nitamuongelea katika nyanja ya uadilifu wake wa kutangaza mali zake anazomiliki.
Nianze kwanza kwa kutambua umuhimu wa viongozi wetu kutangaza mali zao kwa usawia bila kutudanganya wananchi.
Mara baada ya Tundu lisu kurusha shutuma kwa Zitto kuwa alipewa gari mbili na Mkono ili ahujumu chama Zitto aligoma kabisa na kusema maneno yafuatayo namnukuu "Wakili Tundu Lissu amenituhumu kuwa nimehongwa magari 2 na mheshimiwa Nimrod Mkono. Mimi ninamiliki gari moja mbili, freelnder ninayotumia Dar Es Salaam na Toyota Carina ninayotumia jimboni."
Hiyo movie haikuishia hapo ikasababisha kumuibua Mkono kwa kutoa kauli zifuatayo nanukuu " Magari mawili yanayohusishwa na Zitto na kuyataja kuwa ni Toyota Land Cruiser na Nissan Patrol." alitoa gari Toyota land Cruiser lililokuwa na Bendera ya Bunge liwachukue Mbowe na Zitto na kuwapeleka Mwanza na walipofika Mwanza, Zitto aliwasiliana na mimi kuhusu ununuzi wa gari hilo na kupitia wakala wangu nilimuuzia,
Hoja yangu inatokana ya maneno haya ya Mkono kwa kuwa yanapingana kabisa na maelezo ya Zitto kabwe kuwa anamagari aina ya freelnder na Toyota Carina, je hii Land Cruiser iko wapi na kwanini alikuwa hataki tujue kuwa analo? Uzalendo wa Zitto kwenye kutangaza mali zake uko wapi?
Kuhusu Nissan Patrol, Mkono alisema lilikodishwa kwa Zitto na mpaka sasa bado analipa gharama za kulikodisha. Kama tujuavyo kiongozi mzuri niyule anayetangaza mali zake pamoja na madeni yake kwa ufasaha, Zitto hajagusia lolote kuhusu ili gari kwenye maelezo yake hapo juu. Najiuliza je uzalendo wa Zitto aliokuwa anatuaaminisha uko wapi hapa?
Tafakari chukua hatua Chadema bora HAITAPATIKANA KWENYE UONGOZI WA MBOWE, WALA WA ZITTO bali mtu mwingine tofauti na hawa watu wawili ndio ataleta Chadema iliyobora.
Zito Hana wanachama hao ni mamluki wa ccm
Wanaomdanganya lakini hata yeye hio analijua
Na hata hawa wabwabwajaji wake Akina
Sixgate,and lb7fc wanajua kuwa CDM ni
Mpango wa Mungu haihujumiki
Wow mkuu umepata bahati ya kwenda kutuwakilisha kwenye bunge la katiba, nimefurahi kwani kwenye michango yako mingi sijakuona ukileta mambo ya ukabila. Nadhani unaweza kuwa na michango yenye tija kwa taifa hili. Ila ninakuomba sana ujitahidi wewe na wajumbe wengini muhakikishe mambo ya maamuzi ya kishabiki kama bunge hili yasipate nafasi humo ili tupate Tz bora. Nakuambia hivi kwani huwa nakuona una mawazo mazuriila una mapungufu ya ushabiki wakati mwingine lakini ukiweza kuuondoa pungufu hili utakuwa na michango bora.
mkuu..like zingekuwa zinafika kumi ningekupa..umenena sana..Tatizo sisi watanzania tumekaa kutumika tumika tu kwa maslai ya watu wachache wenye nafasi zao na pesa zao/..lakini sisi ambao hatujui kesho au leo tunakula nini hatuwezi kujipigania sisi wenyewe.. hatuwezi..duuh huyu aliyetuloga kama amekufa natamani afufuke ili aje kutengua huo mlogo,.maana HATUJITAMBUI.Mkuu nashukuru sana kwa wewe kuiona hoja yangu. Kwa mtazamo wangu mimi nadhani wale wanachama wa chadema ambao wanamapenzi mema na cdm ni bora wakajiepusha kwenda mahakamani hasa kwa dhana ya kufanya hili suala kama ni mechi ya simba na yanga, kwani hii inatoa mwanya kwa serekali na viongozi wake kupata mwanya wa kutokujali kupanda kwa bei ya umeme. Nadhani hata wageni toka nje ya nchi walio hapo Dar-es-salaam wakiona huo umati na wakiuliza nini kinaendelea wanabaki wanatushangaa muda wa kazi watu wanafuata ushabiki wa kijinga na kesho asubuhi rais wa nchi anapakia ndege kwenda nchi za nje kuwaomba msaada kwamba nchi yetu ni maskini.
Ili wakati huo huo ni muda muafaka wa cdm kurekebisha mapungufu yanayopelekea hali hii, na wakati huohuo iwapo Zito atashinda kesi hii wafuasi wake waachwe washerehekee usiku kucha kwani nchi yetu ni huru. Ila baada ya hapo tutawauliza bei ya umeme imeshuka baada ya kesi hii?
Mkuu mimi ni rafiki wa kila mtu, siasa sio uadui ndio maana napendwa, and gues what???? Nimekuwa proposed kuingia kwenye BUNGE la KATIBA, nikipitishwa historia ya kuitengeneza katiba ya nchi itanitaja kwa jina langu
endelea kukusanya watu wako wa ccm ila mmeshashindwa maana mshatupwa nje na kama kuna wengine wamesalia nao watatupwa nje soonHilo unalosema sio kweli, napigiwa simu na watu wa ccm wanataka nao wawepo kwenye #teamzitto , nimekataa, na sio tu kuwakaataa, nimekataa na hela zao pia ili kuondoa dhana ya wanaofanya hizi harakati ni ccm. Ulitegemea ccm wafanyeje??
Unganisha dots mkuu. Kwa nini wale washika mabango wa zito karibu wote wanatojea Temeke,Tandika nk?.Yule aliyepigwa nae nasikia anatokea Temeke! Angalia kwa jicho la tatu,utabaini kitu! Hapo hauwaoni wa jimbo la Ubungo,Ilala wala Kawe!
Baada ya hukumu ya pingamizi la Zzk kutosomwa jana kuaahirishwa mpaka leo saa nane mchana, hali ya taharuki kutokaana na matokeo ya hukumu hiyo imetanda, yamkini hukumu hiyo haikusomwa jana kw sababu ya tamko la mwanasheria wa CDM kuhusu uwepo wa Zitto CDM ni kw sababu ya kimahakama,kw hiyo mahakama inatambua impact ya maamuzi yaake leo.
Nimepita manzese nimepita buguruni, sasa tupo temeke mwisho tunatoka kuelekea mwembe yanga (sio viwanjani), yapo magari, na mapikipiki yamechomekeza bendera za chadema (wanasema wao ni wanachama,wanakuja H.C na kadi zao) woote ni #teamZitto ..nimepenyezewa ratiba ya wafuasi haawa wa Zitto naambiwa watawapitia wenzao wa buguruni, watapita manzese then wataingia mjini posta wakilakiwa na kundi jingine ambalo limejiandaa kuwafanyia mapokezi.
Historia inakwenda kuandikwa ambapo jiji la DSM litasimama kw muda kusubiri hukumu hiyo ya kihistoria mbayo itaandika dibaji katika harakati mpya za kidemocrasia.
-------------------------
-------------------------
More info:
Zitto anatarajiwa kuongea na wana wa hili taifa mida ya saa kumi, tutaawjulisha venue itaakuwa wapi..
---------------
---------------
Picha
Nitaendelea kuwaleteeni taarifa
![]()
--------------------------
--------------------------
Tumesimamishwa na polisi wale wa "pikipiki" (vodafasta) wanadai wametuona saa nyingi na hwatambui ni nini kinaendelea, wamekagua magari na pikipiki. Pikipiki zimeachiwa, gari niliopo aina ya Harrier limekutwa bima imeisha kama ina siku nne, wanapambana na dereva kidogo aliwajibu vibaya police kw hiyo wamekataaa gari isitoke wanataka tuende kituoni.
------------------
------------------
TAAHADHARI
Wapo kundi la vijana ambao ni wakutengenezwa nasikia wanasubiri tukifika HC waje kuanzisha fujo wajidai wanadai hela kutoka kwetu, eti tumewanunua n hatujawlipa..ninachosema hakuna anaetudai.
mkuu..like zingekuwa zinafika kumi ningekupa..umenena sana..Tatizo sisi watanzania tumekaa kutumika tumika tu kwa maslai ya watu wachache wenye nafasi zao na pesa zao/..lakini sisi ambao hatujui kesho au leo tunakula nini hatuwezi kujipigania sisi wenyewe.. hatuwezi..duuh huyu aliyetuloga kama amekufa natamani afufuke ili aje kutengua huo mlogo,.maana HATUJITAMBUI.
Magetisita leo unatupa taarifa kutoka Dar ya Kigoma au Tabora ya Temeke??
Mmewapa watu sembe sasa mnawatumia.
Masikini mateja wa Temeke.
mkuu..like zingekuwa zinafika kumi ningekupa..umenena sana..Tatizo sisi watanzania tumekaa kutumika tumika tu kwa maslai ya watu wachache wenye nafasi zao na pesa zao/..lakini sisi ambao hatujui kesho au leo tunakula nini hatuwezi kujipigania sisi wenyewe.. hatuwezi..duuh huyu aliyetuloga kama amekufa natamani afufuke ili aje kutengua huo mlogo,.maana HATUJITAMBUI.
ifweero utakuwepo HC?